Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Sijui huyu Keita alidanganya umri maana mifupa ni ya babu babuka...Binafsi nimeshakata tamaa kuhusu uzima wa Keita.
Injury imeshamtoa kwenye reli
Sijui huyu Keita alidanganya umri maana mifupa ni ya babu babuka...Binafsi nimeshakata tamaa kuhusu uzima wa Keita.
Injury imeshamtoa kwenye reli
Punguza povu mzeekuna mawili hapo....
Hukuangalia game ila ulihadithiwa tena na mtu ambaye hajui hizi timu
Au
Huijui Arsenal so hata first eleven yake huijui.....pia hata timu unayoishabikia pia huijui maana huwezi sema milner,ox,origi,lalana,keita ni u23
Na kama ni hivyo usiwe unaropoka kama kitu hujui![]()
Punguza povu mzee


hata ukilike comment za wenzio tu tutajua uwepo wako mkuu

Sijui huyu Keita alidanganya umri maana mifupa ni ya babu babuka...

Naona unaendelea kutoa povu, anyway pole sanaKwani lazima uandike na wewe ujulikane upo????hata ukilike comment za wenzio tu tutajua uwepo wako mkuu
Sasa hapo povu lipo wapi???hivi kwanini mtu unakuwa tayari kuondoa hadhi yako ilimradi tu utetee kile unachokipenda hata kama ni batili![]()
Curtis Jones huyu jamaa dah, JK mwangalie huyu mtoto.Talent sana more than hendo.
Kuna watu wanataka acheze kama Firmihno nawashangaa sanaOrigi is more effective playing as a center foward Klopp aanze kumtumia pale kati sio pembeni
Kwa hiyo mkuu Origi unataka acheze namba ya Firminho halafu Firminho akae benchi??Kuna watu wanataka acheze kama Firmihno nawashangaa sana
kipindi kigumu ndo hichi sasa ..hatari sanaView attachment 1250435
Hapo Kazi ni December tu, November ni Fixture ya kawaida tu haina shida yoyote
Hahaha yaaani hawa RB wametupiga Mkuu si bure...Isije ikawa ya Essien![]()
TrashJordan Henderson, scored a goal at Anfield for the first time since 2015 (4 STRAIGHT YEARS), but, as always watu wamesahau how shit he is, baada ya lile goal, ambalo ilikuwa ni lazma ajiongeze kufunga baada ya kusababisha goal la Spurs dakika za mwazo kabisa za mchezo (first half), alinyang'anywa mpira baada ya kuwa pressed, then wakati anaenda ku-track back, ended up got turned like a headless chicken na Son, kabla ya goal la Kane.
he was so so so useless in the first half, and below average in the 2nd half, but apparently kuna baadhi ya wachezaji wakifunga goal, ubovu wao wote unaondolewa. Salah kila siku anafunga magoal, but bado watu wanakosoa perfomances zake uwanjani, but Henderson kafunga goal, and he's hailed as a Captain material. Top reds never learns.
and, the sad part is, lile goal ndiyo limempatia free-pass ya kuanza kwenye games zote zilizobakia mpaka December.
We got punished dakika za awali, because of his blunder, we got lucky because Spurs are shit now, kama ndiyo ingekuwa City, tungekuwa tunaongea mingine now.
We should not allow any form of errors kama tunataka kushinda PL this season. if that blunder ingekuwa ni away from Anfield, against any top/organized side, then game ingekuwa imeshaisha.
When will these fuvking arguments stop?Ohhh Buvac ndiyo kilikuwa kichwa cha Klopp-Mkapata aibu
ohh ukiunganisha Barca na Liverpool hamna mchezaji wa Liver ata anza- mkapata aibu
Ohhh Klopp hajawahi shinda final-Mkapata aibu
Ohh Hendo hana uwezo wa kuongoza team kwenye mafanikio -mkapata aibu
Sasa mnaenda kupata tena aibu ya mwaka,Hendo ananyanyua kwapa May kuchukua EPL
Na msivyo na aibu mtaweka picha zake ananyanyua kwapa kama mlivyo weka picha za UCL
Yaani humu ndani kuna mashabiki wananishangaza sana, wanajifanya wanajua kuliko klopp...Ohhh Buvac ndiyo kilikuwa kichwa cha Klopp-Mkapata aibu
ohh ukiunganisha Barca na Liverpool hamna mchezaji wa Liver ata anza- mkapata aibu
Ohhh Klopp hajawahi shinda final-Mkapata aibu
Ohh Hendo hana uwezo wa kuongoza team kwenye mafanikio -mkapata aibu
Sasa mnaenda kupata tena aibu ya mwaka,Hendo ananyanyua kwapa May kuchukua EPL
Na msivyo na aibu mtaweka picha zake ananyanyua kwapa kama mlivyo weka picha za UCL
When will these fuvking arguments stop?
Usimzuie yupo huru kuongea kama nyinyi kila mara hamuachi kutukana wachezaji wenu msiowapendaWhen will these fuvking arguments stop?
Roy Keane alipata kusema kwamba Hendo alitakiwa kuwepo studio na sio uwanjani and by the way hiyo ilikuwa ni katika mechi za kimataifa Hendo akichezea England national teamYaani humu ndani kuna mashabiki wananishangaza sana, wanajifanya wanajua kuliko klopp...
wao ni kutaka hendo aondoke, mara akae bench, hawajui sababu ya klopp kumuweka na timu inashinda...
Wenyewe kila siku wanalilia usajili na kusahau kuwa kila mchezaji mpya atahitaji muda aweze kuendana na falsafa ya mwalimu na akishindwa ni hasara kubwa....yaani tabia za mashabiki wa MAN U zimehamia humu...kutaka kila kitu (TAMAA)..TUBADILIKE...kama mtu unaona huendani na falsafa ya klopp unataka afanane na PEP...Hamia kwa PEP