Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kula tano mtu wangu Wa nguvu...

Safari bado ndefu lakini dalili zinaonekana tutafika pazuri...
 
Mimi namuona anakimbiza sana wapinzani labda kocha anampendea hilo kama jana Fab kafanya kazi mbili kukaba na kutawanya mipira maranyingi Hendo alikua winga au mbele kabsaa huku washambuliaji wakirudi kati ku dhibiti mipira
 
King Ngwaba been triggering top reds emotions since day 1. hahaha!!!

a pure form of a stubborn LFC fan..

he represents tabia za LFC fans around the world. its so hard to love us or contain us, club ikiwa inafanya vizuri.

Proud of this dude, a good & honest brother.
 
Jordan Henderson, scored a goal at Anfield for the first time since 2015 (4 STRAIGHT YEARS), but, as always watu wamesahau how shit he is, baada ya lile goal, ambalo ilikuwa ni lazma ajiongeze kufunga baada ya kusababisha goal la Spurs dakika za mwazo kabisa za mchezo (first half), alinyang'anywa mpira baada ya kuwa pressed, then wakati anaenda ku-track back, ended up got turned like a headless chicken na Son, kabla ya goal la Kane.

he was so so so useless in the first half, and below average in the 2nd half, but apparently kuna baadhi ya wachezaji wakifunga goal, ubovu wao wote unaondolewa. Salah kila siku anafunga magoal, but bado watu wanakosoa perfomances zake uwanjani, but Henderson kafunga goal, and he's hailed as a Captain material. Top reds never learns.

and, the sad part is, lile goal ndiyo limempatia free-pass ya kuanza kwenye games zote zilizobakia mpaka December.


We got punished dakika za awali, because of his blunder, we got lucky because Spurs are shit now, kama ndiyo ingekuwa City, tungekuwa tunaongea mingine now.

We should not allow any form of errors kama tunataka kushinda PL this season. if that blunder ingekuwa ni away from Anfield, against any top/organized side, then game ingekuwa imeshaisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…