Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Bado Spurs wanayonafasi ya kusawazisha katika hii game
Hendo ni mashine ya kazi....Leo Echo lazima wamrate Henderson 10/10
Hendo ni habari nyingine anafumba watu midomo hukuMkejelini tena the kapteni tena.
Mtamuelewa tu1-1 Captain anaturudisha kwenye game....
YNWA
Hahaha he was lucky still he is a bamJordan Henderson
Sina cha kuongezea
Utasubiri Sana ndugu...Leo tuna uhakika Spurs hatotuangusha ..
Pochettinho ana uhakika wa kuondoka na point tatu apa.
Kila la kheri Spurs
Tumeshinda lakini ninamashaka na uwezo wa hii Timu
Pole mzee. Kalale.Piga mbuzi hao...
Kwa upande wangu Fabinho kaupiga mwingi sanaKwangu MOTM ni Robbo. Kaupiga sana.