Kuwa na akiba ya mijineno
TANGAZO.
"Leo kuna msiba hapa" ...kilisikika kipaza sauti...
![]()
TANGAZO.
"Leo kuna msiba hapa" ...kilisikika kipaza sauti...
![]()
Jamaa ana damu ya chora huyoPole mzee. Kalale.
Nyie mnaomfanannisha Lalana na Hendo naumia sana jamaa anakipaji mjue majeruhi tu yanampoteza.
Hendo hata kugeuka na mpira hawezi mnamfananisha na mtu ambae anachagua mpira aupokee na mguu gani kweli?
Katika mechi tatu Lalana hakosi kukupa kitu cha kuisogeza team mchunguzeni.
SPIRIT FIGHTING ya hali ya juu mno
We deserved 3 point
Kwangu MOTM ni Robbo. Kaupiga sana.
Kula tano mwanaFT
Liverkuku 2
Spurs 1
Man Klopp is one unpredictable fellow...Tumeshinda lakini ninamashaka na uwezo wa hii Timu
Man huyu jamaa si Wa kawaida ana roho ya paka pori...Wazee .... wazee ... FABINHO IS THE POWERHOUSE!
Hatari sanaMan huyu jamaa si Wa kawaida ana roho ya paka pori...
Leo kapiga kazi...
Huyu naona PSG, Barca, Real wakileta ofa June 2020...
Fabby the steel master..
Bald baddest HM in the EPL..
Mzee ana handle mpaka mtu mbili. Inakukabia na bado kwenye mashambulizi unaiona inakusambazia mpira kama server. Asee hapa tumepata replacement ya Alonso kabisa yani!Man huyu jamaa si Wa kawaida ana roho ya paka pori...
Leo kapiga kazi...
Huyu naona PSG, Barca, Real wakileta ofa June 2020...
Fabby the steel master..
Bald baddest HM in the EPL..
Game ya pili hii tunaokolewa na magarasa yetu Lallana na Hendo resp
Bwana wee huyu ndogo ndio kwanza ana miaka 26 hivyo tunae Sana tu pale kati hana Wa kumtoa Kwa sasa..Mzee ana handle mpaka mtu mbili. Inakukabia na bado kwenye mashambulizi unaiona inakusambazia mpira kama server. Asee hapa tumepata replacement ya Alonso kabisa yani!
Sana ndugu...Hatari sana

