HahahaYani nashangaa sana sikuhizi!
Hapa tulipokuwa tunachekwa na Washabiki wa Timu nyengine kuwa tuna Zero Trophy, tulikuwa pekeyetu tunapeana challenge na Malafyale!
Lakini tangia tubebe UCL kumeibuka Washabiki wa Kiajabuajabu wa Liverpool from nowhere wanaoweza hata kupingana na kaka yetu MosDef wakati sisi sote humu hatuthubutu hata kumquote MosDef bali tunaishia Kumpa Like tu.
Yani hata hujui Wanaandika nini! Wanapinga nini! Wanakataa nini! Wanakubali nini! Wao wapowapo tu!!!!!
If his 100% ndio hio ya kumcost Allison much needed clean sheet then he is deluded big time
Mtoto pendwa Wa kocha wetu huyu tunae tuvumiliane Sana tu...🤔🤔🤔🤔Umenena mkuu
Hendo na magarasa menzake waondoke bure tu hamna noma
Hahahaha aise ci uwe shabiki wa Liver mbna unateseka hiviHahahaaaaaa nimecheka sana .....ila ndio kawaida mkuu timu kupata mashabiki wapya kipindi cha mafanikio hasa kipindi hiki cha KISULISULI WIND kwahiyo mujifunze kuwavumilia maana huu upepo unachukua mpaka makapi kwahiyo mjipange kisaikolojia.Ingawa hawahawa wanaokuja sasa nao wapo ambao watakuwa mashabiki wazuri wa Liverpool,inawezekana ukawa ni ugeni tu unawasumbua hawajajua taratibu za hapa,so muwavumilie watakaa kwenye mstari mtakuja ongea lugha moja....
Mashabiki wa kweli hujulikana mkuu,binafsi katika hizi nyuzi maarufu sio mgeni,nawatambua MAMBA na KENGE katika nyuzi mbalimbali,na hawa wafuata mkumbo wa matokeo(KENGE) ndio wanaowadhalilisha mpaka huko katika nyuzi za jirani...kwa kucomment shudu ambazo sio tamaduni ya hapa.....
Unakuta mtu anachangia shudu alafu anajitamba yeye ni shabiki wa Liverpool hahaha huwaga nikifikiria mashabiki wa liver ninaowajua huwaga nacheka sana.....
Big up mashabiki wa kweli wa Liverpool mnaokuwepo hapa katika vipindi vyote vya masika na kiangazi mkiongozwa na mLIVERPOOL HALISIA
NANI HAYAJUI MAJOGOO?????








Ukweli kabisa mkuu bora Lallana kuliko Hendomid iwe faby keita ox ituprove wrong ili akiwekwa kepitein tuseme ehh wale walishindwa",.
mtu anamtetea hendo ila kila timu inapozidiwa hutolewa yeye imagine milner at 34' anaingizwa anaonekana nafuu...
Bora angebaki Joe Allen kuliko Hendo. Na kuliko abaki hendo lallana aondoke iwe vice verser tu.
Hapa sasa nimekuelewaKuna watetezi wa Hendo humu balaa. Yaani yule skipper wetu hana cha ziada. Hajui kupress wala nini, back pass na sideway nyingiiiii
Glujic anatarajiwa kung'ara zaidi ya MilinerSasa wewe unaposema Milner aachwe ili Grujic acheze. Kwani lazima Grujic acheze? Yeye ni nani haswa? Tunaangalia maslahi ya team na sio maslahi ya mchezaji mmoja mmoja ndio maana ya kusema timu ni kubwa na muhimu zaidi kuliko mchezaji. Rudi shule kajifunze lugha kama Kiswahili ni kigumu kuelewa.
Matokeo ya leo, inategemea na jinsi klopp atakavyopanga midfielders wetu. Kama ataanza Captain hakika mpira utapoa. Kama ataanza Keita na Ox nategemea pressing za maana.Spurs hakuna team work now days so itegemee kuchakazwa ama kichapwa ( 4_0 )
Nyie mnaomfanannisha Lalana na Hendo naumia sana jamaa anakipaji mjue majeruhi tu yanampoteza.mid iwe faby keita ox ituprove wrong ili akiwekwa kepitein tuseme ehh wale walishindwa",.
mtu anamtetea hendo ila kila timu inapozidiwa hutolewa yeye imagine milner at 34' anaingizwa anaonekana nafuu...
Bora angebaki Joe Allen kuliko Hendo. Na kuliko abaki hendo lallana aondoke iwe vice verser tu.
Na ndio maana sijawahi kumulaumukumulaumu hata siku mojaNyie mnaomfanannisha Lalana na Hendo naumia sana jamaa anakipaji mjue majeruhi tu yanampoteza.
Hendo hata kugeuka na mpira hawezi mnamfananisha na mtu ambae anachagua mpira aupokee na mguu gani kweli?
Katika mechi tatu Lalana hakosi kukupa kitu cha kuisogeza team mchunguzeni.
Leo jogoo lazima atage.
Usicheze mbali ndugu Lukesam... Kule Pukki sio mtu mzuri Sana aisee kuweni makini
Mimi nilishakubali kila hali mkuu. |