Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Weka akiba ya maneno...Mpira dk 90

Hapo nimeongea kwa kujiamini Mkuu! Sina cha kueka Hakiba ya Maneno.

Lallana kufunga goli hakuondoshi Facts Kuwa yeye ni Mbovu.

Mkuu Lallana ni Mbovu hata Kama kawafunga Man United.

Haya magoli ya kuokoteza ndiyo yaliyowafanya Watu wamuone Origi ni Neymar! Angalia sasa Origi ni Mchezo wangapi huu na hajabahatisha tena ata goli la offside!!!

Tuwe wakwwli bhana Lallana, Origi na Henderson ni Wabovu wa kucheza West Ham na si Liverpool.
 
Matatizo ya Henderson
1. Ni kiungo asiye na uwezo wa kupunguza mtu hata mmoja, kiungo anayeweza kupunguza watu anafanya akabwe na watu zaidi ya mmoja hivyo kufungua Nafasi kwa wenzake,
2. Kiungo unatakiwa use na toward thinking, Henderson anapass mpira kwa mabeki zaidi kuliko washambuliaji
3. Mpira wa soon hizi kabla hujapokea mpira unatakiwa kujua unampa nani, Henderson Hana hiyo hivyo anaslow mashambulizi.
 
Hapo nimeongea kwa kujiamini Mkuu! Sina cha kueka Hakiba ya Maneno.

Lallana kufunga goli hakuondoshi Facts Kuwa yeye ni Mbovu.

Mkuu Lallana ni Mbovu hata Kama kawafunga Man United.

Haya magoli ya kuokoteza ndiyo yaliyowafanya Watu wamuone Origi ni Neymar! Angalia sasa Origi ni Mchezo wangapi huu na hajabahatisha tena ata goli la offside!!!

Tuwe wakwwli bhana Lallana, Origi na Henderson ni Wabovu wa kucheza West Ham na si Liverpool.
Origi is just as good as coming from the bench sio proven starter...
 
IMG_6493.JPG
 
View attachment 1239331View attachment 1239331
Ole, Carrick and Fergie at Carrington ground spotted this week..

Hahaha kweli Ole kaishiwa mpaka kamuita babu Fergie ampe mbinu za kutufunga...
Kwani kocha wa manure ni nani jamani????

Hiki kibabu si kilishastaafu au haiwezekani tuandamane bwana yaani wanakodi mpaka makocha wa ziada???usishangae hapo pembeni alikuwepo Moyes,Van Gaal,Mourinho na Giggs
 
View attachment 1239331View attachment 1239331
Ole, Carrick and Fergie at Carrington ground spotted this week..

Hahaha kweli Ole kaishiwa mpaka kamuita babu Fergie ampe mbinu za kutufunga...
We nawe upo kama kigogo wa twita sir alex alienda kuangalia mech ya under 18 ambayo iliisha 1-1 dhid midd wadogo na solskajaar na carick walikuwepo maana viwanja vinapakana kwa nini asimsaidie moyes?
19926372-7591285-Sir_Alex_Ferguson_was_at_Carrington_visiting_Ole_Gunnar_Solskjae-m-16_157151...jpeg
 
Kwani kocha wa manure ni nani jamani????

Hiki kibabu si kilishastaafu au haiwezekani tuandamane bwana yaani wanakodi mpaka makocha wa ziada???usishangae hapo pembeni alikuwepo Moyes,Van Gaal,Mourinho na Giggs
Hahahaha pengine nao walitoa mbinu kimya kimya...

Hua ikifika mechi ya Liverpool utamuona babu Fergie mara hapa mara pale...
 
We nawe upo kama kigogo wa twita sir alex alienda kuangalia mech ya under 18 ambayo iliisha 1-1 dhid midd wadogo na solskajaar na carick walikuwepo maana viwanja vinapakana kwa nini asimsaidie moyes?
View attachment 1239538
Alifika mapema Sana kabla ya hio mechi.. Alichokifuata sio under 18,mbali ni kutoa mbinu za kutufunga...
 
Umecheki hata statistic kweli?
Mkuu usiangalie umilki wa mpira na kupiga pasi angalia mara ngapi kipindi cha kwanza umemfikia kipa

Kuna ile chelsea ya sarri yule jorginho alikuwa akiongoza kupiga pass zisizo na maana anagongeana na Rudiga bas mashabik wa chelsea walikuwa wakifurahi mpira unachezwa zone yao mwisho wa siku wanadundwa ila mpira wanao wao
 
Another poor display from Henderson.

If we really dont want to come short again kwenye league this season, ni muda wa Keita/Ox kuanza kupata a full run-in kwenye First XI.
Klopp boy don't see him going anywhere..

But in real sense we might find ourselves where we ended previous season by Klopp insisting with this Brexit...

Hendo covered the most ground than any other Reds player 1st half but calculate that impact he had brings nothing..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom