Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Origi ana goli
Hachezi leoMO SALAH my Boy
Don't disappoint me, Please Please Please.
Hahahahahahahahah Umeibuka leo.Leo mtatukoma,ndo mtajua sisi Man united ndo wafalme wa kaskazini .
Nahesabu dakika,naamini Man united leo tutaishangaza dunia.Najua kila mtu anatu underestimate.Hahahahahahahahah Umeibuka leo.
Mh, hii mechi. Naomba tu tutoke na point 3 lakini .....Katika mehi zetu rahisi tangu dunia iumbwe basi ni mechi ya leo. #Ynwa
Ana mawili Kwa hii defence ya 3 nyuma Kwa Manu mbona Leo Origi anafanya kama kawaida yake raising to the occasionOrigi ana goli
Nafasi mliopo inashangaa zaidi...Nahesabu dakika,naamini Man united leo tutaishangaza dunia.Najua kila mtu anatu underestimate.
ORIGI has to improve his work rate without the ball today..ALLISON...VAN DYK .MATIP...ROBERTSON..ALEXANDER...HENDESON...GEORGINHO...FABINHO..ORIGI..MANE.AND FIRMINHO
Aisee Vic anachemka Ole kuwarudisha kwenye kilele mlichozoea itakua powa arudi kazini babu Fergie maana sasa ndani ya miaka 6 tangu ang'oke mmeajili makocha wanne na bado hamsomeki je mkikaa kama sisi miaka 30 si mtakua mashakua na makocha 100...Leo mtatukoma,ndo mtajua sisi Man united ndo wafalme wa kaskazini .
Unajua mashabiki wa liva hamna wanakojigambaLeo mtatukoma,ndo mtajua sisi Man united ndo wafalme wa kaskazini .



Leo mtatukoma,ndo mtajua sisi Man united ndo wafalme wa kaskazini .
Si mnajiamini eti. Leo ndoa mtajua Red devils ndo wafalme wa North of England.Unajua mashabiki wa liva hamna wanakojigamba
Yaani leo...