Leo naamini tunaharibu sikukuu yenu ya kufululiza ushindi.Mpira bado mkuu Vick
Tumia lugha nzuri nduguMpo nyie wehu wehu ?
Hahahaha bado Sana ndugu24 points is enough for today![]()
Yani uoga wa klop unatugharimu leo,full back zetu leo anard na robertson hawapandi- mido hazipeleki mipira mbele
Utani bwana,we the North. Usikasirike. Leo tunaharibu sherehe zenu.Tumia lugha nzuri ndugu
Ulie nini sasa! Kule kwenye taharuki jukwaa la siasa mbona hukulia?Asante VAR,nusu nilie wallah.
Hamna pengo la salah wachezaji waliopo nje wanaweza kuliziba vizuri tu sema klopp mipango yake hovyo anaogopa mechiPengo la salah umeliona
Yani uoga wa klop unatugharimu leo,full back zetu leo anard na robertson hawapandi- mido hazipeleki mipira mbele
Mazee Nani huyuMpo nyie wehu wehu ?

Yani uoga wa klop unatugharimu leo,full back zetu leo anard na robertson hawapandi- mido hazipeleki mipira mbele
No sio kweli Salah na ubinafsi wote lkn mchango wake ni mkubwa Sana hapo mbele matokeo yyt tutayoyapata,bado Salah ni mchezaji muhimu Sana Sana kwetu na binafsi leo nammissTutashinda leo sababu salah hayupo yeye ndo huzinguaga OT
Hapana Kwa formation wanaocheza Manu ni ngumu kuona RB na LB muda wote wakiwa mbele Kwa mbele tulivyozoea..Yani uoga wa klop unatugharimu leo,full back zetu leo anard na robertson hawapandi- mido hazipeleki mipira mbele
Pengo la salah umeliona
Kafanya kosa gani Henderson!!!Huyu captain bora atoke tucheze 10 uwanjani tutatosha