Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hiyo ya kwako mkuu ktk watu ambao walitangazwa wakuwepo kuwaangalia madogo bas ni huyo kocha

Wenzetu ukishakabidhi ofisi na lako halipo
Haya ndugu Ole wako huyu hapa

Ole said: "But he [Ferguson] would be welcome to have his talk to the players if the gaffer wanted to, because we know how much it meant to him to overtake Liverpool [in terms of titles won]. Our players know what this game means for everyone at Manchester United.”
 
Akikubishia tena nitag nimtumie video kabisa..hakumbuki game ya man u na juve (Kama sijakosea) mkubwa alitia mbinu zake na game nyingi Fergie anachangia hasa kubwa kubwa na muhimu Kama ya leo
 
Liverpool mmenusurika kupakatwa leo viazi nyie .
Sio Liverpool tu , japo Man u ni mbovu hakuna timu kigogo katika EPL inayoweza kwenda pale OT ikiwa na 100% inakwenda kushinda. Vile vile hakuna Kigogo katika EPL anayewezakusema hafungwi na Man U ii mbovu akiwa uwanjawake wa nyumbani. Man U itabakiki kuwa man U japo kwasasa wanapigia katika changamoto.
 
"Usikimbie sanaa"
tapatalk_1571589826776.jpeg
 
Anaogopa rekodi yao kuvunjwa..ya makombe epl
Baada ya kuona atafia kazini akikimbiza rekodi za Liverpool UCL na Carling Cup aliamua kuachia ngazi..

Imagine Kwa miaka 30 hatujachukua kombe la EPL na wao wanatuacha Kwa makombe mawili tu 18 em 20 Pamoja na wao kututawala Kwa miaka yote hio..

Credit to babu though 13 he won sio haba

Damn ain't we special even without EPL for so long we refuse to back down nor give up..
 
Sio Liverpool tu , japo Man u ni mbovu hakuna timu kigogo katika EPL inayoweza kwenda pale OT ikiwa na 100% inakwenda kushinda. Vile vile hakuna Kigogo katika EPL anayewezakusema hafungwi na Man U ii mbovu akiwa uwanjawake wa nyumbani. Man U itabakiki kuwa man U japo kwasasa wanapigia katika changamoto.

Hapo mmetoka droo mngeshinda sijui ingekuwaje?

Ndio mlichobakiza sasa hivi maana hakuna kingine tena .
Utofauti wa Liverpool na man u ni point 15 mpaka sasa Nakukumbusha tu mkuu.
 
Hapo mmetoka droo mngeshinda sijui ingekuwaje?

Ndio mlichobakiza sasa hivi maana hakuna kingine tena .
Utofauti wa Liverpool na man u ni point 15 mpaka sasa Nakukumbusha tu mkuu.
Tatizo Lenu mlikua mkijiamini mtaifunga Man U OT tena kwa idadi kubwa ya magoli, pale OT ni mwaka unakwenda wa 6 Liver hajaifunga Man U tena ii ni Man U mbovu kabisa katika miaka 30 kuwai kutokea tena yenye wachezaji under 20. Ni jambo la aibu kwa Liver.
 
Mkuu li timu lao halina muelekeo,Hawajui wanatafuta nini kwenye ligi wapo wapo tu kama mazombi flani hivi kwanini wasifanye sherehe kwa hii sare.
Man u ilisha Anguka miaka 6 iliyopita, kwasasa inaanza kujijenga upya lakini vigogowa EPL bado wanahangaika kuifunga.Man U wakisha Inuka kutoka apa walipo tegemea miaka 20 tena ya ubabe EPL na Europe.
 
Hahaaaaaaaa Rashfod umebeba mzigo au huoni maana naona unakata mbuga tu kama hujaguswaaaa.
IMG-20191020-WA0018.jpeg
 
Haya ndugu Ole wako huyu hapa

Ole said: "But he [Ferguson] would be welcome to have his talk to the players if the gaffer wanted to, because we know how much it meant to him to overtake Liverpool [in terms of titles won]. Our players know what this game means for everyone at Manchester United.”
Mbona kaongea vizur mkuu " to have talk" ma legends kuongea na wachezaj wao kawaida sana labda aondoke kwa bifu kama roy keane kurud ni ngumu

Drogba aliongea na wachezaj wa chelsea baada ya kusuasua lakin si kutoa mbinu kwa kocha maana bench la ufundi lina watu wake ingekuwa ndio hivyo huu mwaka 6 hamna mabadiliko kwa nini asingerud 2015 au kwa msotish mwenzie moyes had alitimuliwa?

Tena kuna "if"

Ferguson hawez kutoa mbinu kwa kocha aliekabidhiwa timu maana alishastaafu ni sawa na kuingilia kaz ya mwenzio ingekuwa ndio hivyo hata pogba asingekuwepo pale hawaiv na ferg

Yaani ferguson amuogope liverpool had amsaidie ole? Acha hizi mkuu hamna timu niliyoigopa duniani kama barcelona ya pep 2008/9 na itachukua muda sana kuona timu ya manyanyaso kama ile tena
 
Unajuwa sisi tumekuwa tunamsema sana wakati mwingine Mo japo kuna wakati anakuwa na game mbaya ila mfumo wetu umejengwa na yeye kuwepo tumoena jana Sadio na Bob kuna kitu walipoteza kumkosa Mo ila mwisho wa siku tukubali kuwa kocha wetu kidogo alichelewa Keita na Oxy inabidi wawe wanacheza game katikati sababu ni wako creative zaidi ila Captain itabidi zile game tunalinda matokeo aingie kukaba ila kama kushambulia hapana sio sehemu yake. jana sababu ya Mo hakuwepo tulipwaya 433 mpaka tulipokwenda 442 tukaanza kucheza mpira lazima viungo tuwape chance kubwa Keita na Oxy japo najuwa walikuwa majeruhi kwa muda ni wakati wakuwapa muda zaidi. Man u sio team nzuri ni kule kujituma tu kumewasaidia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom