Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ha ha haa,hongera washabiki wa man u kwa kubana na kupata droo nyumbani.
Yaani ww umeshindwa kuchukua point 3 kwako unauzia kesi wenzako wachukue.unadhani ni rahisi kihivyo.
Ndio nakuambia next game na spurs hupati hata goli moja ni kipigo
 
Bahati nzuri mpira hauchezwi chumbani,. Klopp anajua ila hajui kitu kwa Henderson hata mimi ninamshinda. Lallana ni mbovu ila Henderson ni mbovu zaidi aise,. Ox amepiga hope 2-3 shots Hendo labda cross 2-3 bila madhara.
Nikumbushwe hendo amepiga tackling ngap kwa leo.
Mtu anakuambia hendo ni bora wakat kila siku anatolewa timu ikicheza ovyo na ikiwa nyuma. Mtu anaweza kukuambia ni game plan, kwa nini iangukie kwane kila mechi, mechi ya tatu in a row anatolewa na akitolewa timu inacheza na matokeo yanapatikana.
Keita
faby
ox
gini
Hawa ndio wapishane hapo kwenye mid.
 
Considering our form at OT, cant complain about the results

But, Klopp being a pussy, didnt help us at OT kwa mara nyingine tena.
It's makes wonder... There is no us without 4 3 3...Klopp need to borrow some notes on to win at OT he seems damn clueless

Ole did his homework properly and surely he tamed us big time..
 
Mkuu spurs anakuja pale anfield,ambapo atukumbuki mara y mwisho tulifungwa lini.

Anfield sio mahala Salama,wewe endelea kuota tu
Hiyo ni historia tu, na mara nyingi huwa inavunjwa. Mimi nina imani na spurs kuchukua point zake tatu bila wasiwasi
 
Sisi Arsenal ni vitoga. Man U wako half way to relegation zone but they put one hell of a fight. Liva ilibidi wafanye subs tatu ili kupata goli moja na suluhu yao ya kwanza.

Imeprove pia kua hii timu kuna players wasipokuepo inakua mtihani kidogo.

Kesho tunakutana na Sheffield. Wazee wa 3 5 2 kazi tunayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom