lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,201
- 28,088
Maisha Yana Kasi Sana leo hii Manchester United anashangilia draw nyumbani dhidi ya Liverpool.....havha ha ga
Unajifariji,wanaoshangilia draw wanajulikana. |
Maisha Yana Kasi Sana leo hii Manchester United anashangilia draw nyumbani dhidi ya Liverpool.....havha ha ga
Unajifariji,wanaoshangilia draw wanajulikana. |
Hahaaaaaaaa Rashfod umebeba mzigo au huoni maana naona unakata mbuga tu kama hujaguswaaaa.View attachment 1239741
Beki wa kawaida sana huyu. Angekuwa Maguire tusingelala. | |
Mbona mnaremba sanaUnajuwa sisi tumekuwa tunamsema sana wakati mwingine Mo japo kuna wakati anakuwa na game mbaya ila mfumo wetu umejengwa na yeye kuwepo tumoena jana Sadio na Bob kuna kitu walipoteza kumkosa Mo ila mwisho wa siku tukubali kuwa kocha wetu kidogo alichelewa Keita na Oxy inabidi wawe wanacheza game katikati sababu ni wako creative zaidi ila Captain itabidi zile game tunalinda matokeo aingie kukaba ila kama kushambulia hapana sio sehemu yake. jana sababu ya Mo hakuwepo tulipwaya 433 mpaka tulipokwenda 442 tukaanza kucheza mpira lazima viungo tuwape chance kubwa Keita na Oxy japo najuwa walikuwa majeruhi kwa muda ni wakati wakuwapa muda zaidi. Man u sio team nzuri ni kule kujituma tu kumewasaidia.
Nilijua tu Manure hata ashuke Daraja hakubali kufungwa na Liverpool OT
Na Ndiyomana Matokeo ya Jana siyalalamikii wala Sitafurahii
Na pia Simlaumu Kocha wala Wachezaji kwa ajili ya Matokeo ya Jana.
Duniani wenye bahati zaidi wapo aisee... Henderson yumo kwenye hio listi...Mbona mnaremba sana
Captain anabebwa na Uingereza wake tu hana lolote
Adam Lallana, Henderson ni magarasa
Tunamuhitaji Milner tena tu pale tunapohitaji kukaba
Powa Mkuu Radika...Mbona kaongea vizur mkuu " to have talk" ma legends kuongea na wachezaj wao kawaida sana labda aondoke kwa bifu kama roy keane kurud ni ngumu
Drogba aliongea na wachezaj wa chelsea baada ya kusuasua lakin si kutoa mbinu kwa kocha maana bench la ufundi lina watu wake ingekuwa ndio hivyo huu mwaka 6 hamna mabadiliko kwa nini asingerud 2015 au kwa msotish mwenzie moyes had alitimuliwa?
Tena kuna "if"
Ferguson hawez kutoa mbinu kwa kocha aliekabidhiwa timu maana alishastaafu ni sawa na kuingilia kaz ya mwenzio ingekuwa ndio hivyo hata pogba asingekuwepo pale hawaiv na ferg
Yaani ferguson amuogope liverpool had amsaidie ole? Acha hizi mkuu hamna timu niliyoigopa duniani kama barcelona ya pep 2008/9 na itachukua muda sana kuona timu ya manyanyaso kama ile tena
13 minutes onlyView attachment 1239839
And its fact Klopp is clueless how to unlock their stubborn parked train...Klopp: "When we came here this year, last year and the year before they just defended, it’s not a criticism, it’s a fact."
Maranyingi Walalamikaji wa mechi dhidi ya Manure ni wale Wanaoingia Vibanda umiza na Matokeo yao Mfukoni.
Ingawa tuliwatahadharisha kuhusu kujipangia Kumfunga Manure goli Nyingi lakini waliendelea kujibebesha False Hope.
He is whining mara VAR mara refa should have given a foul for Origi bla bla... Utadhani hio imetoka dakika 94...Na Kitu pekee ambacho hatupaswi kujifanya hatukioni ni kwamba KLOPP ni Kocha Mzuri lakini ukweli usiofichika ni Kwamba Tayari AMEPROVE FAILURE KUMFUNGA MAN UNITED
Bila Degea hawa jamaa tungeshajipigia mpaka basi..
Degea Kwa kweli namkumbali...
Sasa dalili mapema ni hayumo aafu tushindwe lol..
I predict we will score 3 em 1
Kama kwenye mkeka wako ulichora hivi,pole sana mkuu. |
Kama kwenye mkeka wako ulichora hivi,pole sana mkuu.
Liverpool anaenda kushinda 2+ baada ya mechi nitafute
Vipi mkuu? Naona huamini kama unashangilia draw.😂 |