Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Thank you vijana wetu!
Mmepambana ugenini
Point 1 toka kwa wapinzani wetu wakubwa sio mbaya
Sasa tunarudi home kujiandaa na SPURS
 
Mkuu naelewa derby ila kwa hawa man ni hawana chakutuzidi yaani hawawezi kufunga goli mbili mechi moja ,tuogope kisa derby?

Mechi ilikuwa ya ushindi kwa uwanjani man u walivyocheza sijaona mpira wa man u wakutisha kama tulivyocheza na chelsea.
Mpira unaweza usione pengune huangalii unaangalia timu yako kipind cha kwanza liverpool hawakuwa vizur mtu wa mpira atakwambia jamaa yako yupo sahihi
 
FT United 1-1 Liverpool
Keita keita keita.

Huyo jamaa klopp anamwonea sana. Kabadilisha game kabisa.

Lalana katuokoa kwenye aibu.

YNWA
Keita kabadili game balaa angeingia kpnd cha pili mwanzoni tungekuwa na matokeo ya ushindi sasa ni dhahiri henderson hatufai kabisa mid yetu iwe widj- fabinho- keita au chambo- fabinho - keita
 
Tupunguze maneno yasiyo na maana yyt!
Klopp anajua nani yupo fit nani acheze kuliko yyt hapa!
Tupo imara na Klopp tumuache afanye kazi yake
 
spurs anajichukulia point zake 3
Ha ha haa,hongera washabiki wa man u kwa kubana na kupata droo nyumbani.
Yaani ww umeshindwa kuchukua point 3 kwako unauzia kesi wenzako wachukue.unadhani ni rahisi kihivyo.
 
Inauma sana nasemaje inauma sana lkn sina namna hio dhambi ya waingereza na klopp kuforce hendo kua first Xi aisee

Tazama keita anavyonyumbulika jambo ambalo hendo hata awe analala anapiga mazoezi ya koni hawezi kulifanya ,tazama keita anavyopiga penetration jambo ambalo hendo hata alale anajaribu hawezi , tazama keita alivyo na utulivu pale kati jambo ambalo hendo kashaga lishindwa yeye ni mzee wa mapressure na mabackup pass sasa KLOPP apewe nini cha zaid aamini kua Keita ni the best 100000000xhendo's ability .





Tukiswitch na kua na dimba lenye Faby,keita,ox amini kua EPL ni yetu yaan gini awe anaingia kumaliza gem tu yaan kudefence . hendo awe anacheza FA na vikombe vya chai vingine huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom