Na huyu aina ya Henderson, mazoezini wa kwanza, yeye hapigi chenga anajua pass. tu, anakaba, anawaongoza wenzake, ukimwambia kitu anakitimiza, Hana makuu nje ya uwanja..
Yupi utampanga kwenye timu yako?
Kumbe humu tuna Watu wanaotazama Mpira kwenye Magazeti badala ya TV.
Eti Henderson anapiga Pasi!!! Pasi zipi kwa mfano?
Eti Henderson anakaba!! Anamkaba nani kwa Mfano?
Sasa nimeshwaelewa kwanini Nikawaletea Stats za Hendo munazikataa! Kumbe munaongea kwa hisia badala ya Facts.
ONLY NUMBER TALKS kwahiyo ninakuja tena na Stats za kukaba pamoja na kupiga pasi hizo ulizomsifia Henderson.
KWENYE KUPIGA PASI:
√ Henderson katuka
Michezao 8 ya EPL amepiga
Complete passes 186 na Kuwa yupo
nafasi ya 124 katika orodha ya Wachezaji waliopiga Complete passes nyingi EPL.
√ Fabinho amepiga Complete passes 401
√ Gini amepiga complete passes 336
Hapo Hendo anaonesha ni Kiungo aliyepiga Pasi Kidogo kuliko Viungo wetu wote katika Viungo wetu 3 (Gini, Fabinho na Hendo) halafu Mtu anakwambia anapiga pasi!! Ukimwambia alete stats anakwambia Hataki stats lakini Hendo anapiga kazi.
Pasi gani hizo Mkuu ulizokusudia?
KWENYE KUKABA:
√ Mane ni Mshambuliaji lakini ameshacheza
Tackles 14 kwenye EPL
√ Henderson anayeitwa Mkabaji amecheza
Tackles 12 tu na Kuwa ni
Mtu wa 65 katika wachezaji waliocheza tackles nyingi EPL.
Sasa kama hawezi hata kucheza Tackles na anashindwa na Forward kucheza Tackles nyingi, anamkaba nani labda?
Acheni kuongea kwa kuhadithiwa Fuatilieni mpira kwanza muone uwezo wa mchezaji.