Bengalisis
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 1,851
- 2,771
Umetumia vigezo gani mpaka kusema usingependa alison apangwe kwa sababu ya kukaa nje miezi miwili?
mechi yetu na united inaweza kuwa ngumu cause ya team selection inayopenda kufanywa na klop kwa mfn utashangaa kumpiga benchi trent pia unakuta kaanza na kiungo cha milner,hendo na gini na kama klop atastick na timu selection nzuri tutapata ushnd mapema na mkubwa af kingine nimesikia Allison anarud game ya united mm kiukweli nisingependa hyo game acheze Allison kwan amekaa nje miez miwili so anatakiwa arud taratibu