Napenda anajituma kwa kukaba..
Hebu tupe evidence ya kuprove Kuwa anakaba ili Wadau tuone huo ukabaji wake.
Upo kwenye daylight dream Mkuu? Enewey Tumeshacheza michezo 8 ya EPL tu naomba unitajie Mpira mmoja tu Mrefu (Long ball) aliwahi kupiga kwenye hiyo michezo 8 na Matokeo ya Mpira huo.
Msimu mzuri kwake alwah kuwa na assist 7 na goli kama 3 au 4 hv.
Kumbe unajua Kuwa ni Garasa lakini tu unajitia Upofu.
Lakn hao viungo wenye statxs nzuri mbona hatuon wamesaidia nn kwenye timu zao?
Kama nani Kwa Mfano Ni Kiungo Mzuri Aliyekuwa hasaidii chochote Kwenye Timu Yake?
Mimi nilimtolea Mfano KDB je hujui anachoisaidia Man City?
Guandogan?
Silva?
Kante?
Fernandinho?
Veratti?
Matuidi?
Pjanic?
Kwanza jamaa huwa ana min chache za kucheza kulinganisha na wengne.
Wewe kumbe hufuatilii Mpira nimegundua hilo!
Henderson amecheza dakika 412
Kante amecheza dakika 287
James Milner amecheza dakika 226
Lucas Torreira amecheza dakika 202
Hao wote kwenye EPL wamecheza dakika chache msimu kuliko Henderson but wameshafunga au Kuassist msimu huu in all competitions.
Mbona kuna team ziko na mids wazuri lkn hakuna kitu.
Hii sio point ya Msingi coz hapa hatuzungumzii Mafanikio ya Timu bali tunazungumzia Uwezo binafsi wa Mchezaji.
Ni sawa na Kusema Messi mbovu kuliko Origi kwasababu tu Liverpool ya Origi imemfunga Barcelona 4 - 0
Siku zote anae tumia jitihada kufanikisha kitu kwangu mm ndio mzuri...
Hendo kafanikisha Lipi Ndani ya Liverpool???
Kabla ya kubeba CL alikuepo Liverpool takriban Misimu 7 alitupatia nini?
Si baada ya Kuja Kina Mane, VVD, Salah, Fabinho, Alison, Robertson, Matip, TAA, GINI ndiyo tukapata Mafanikio? Au umesahau?
Sasa kusema Hendo kafanikisha kitu wakati waliojitoa na kufanikisha tumewaona itakuwa ni jambo la ajabu.
Bado hujanipa sababu za ubora wa Henderson