Post yangu uliyoniquote kuhusu GINI ilikuwa hii ↓↓
View attachment 1233585
Nioneshe ni sehemu gani hapo nilipomponda GINI?
Nilizungumzia tu Kuwa
Yule wa Timu ya Taifa ni Tofauti wa Liverpool ikiwa ni indirect message Kuwa anakuwa Misused ndani ya Liverpool.
Sasa hizo habari za kuponda hapa umezitoa wapi?
Au ulikuwa Jukwaa la Mapishi ukahadithiwa Kuwa
King Ngwaba anaponda Wachezaji Wabovu ukaamua Kuingia Kwenye uzi wa Liverpool ukakurupuka kujibu tu kwenye post yangu?
Zipo njia nyingi za Kuwa Mchambuzi mzuri wa Mpira kwenye huu Uzi bila ya Kiquote kwa kukurupuka.
Kwanza soma kwa Makini na uelewe ndiyo uanze kuquote watu.
Mimi ninaowaponda hapa Wanajuilikana hebu uliza members wengine humu watakwambia. Sijawahi Kumponda GINI hata kwa bahati mbaya.
Narudia tena acha Unafiki