Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hii comment ndo tofaut ya passionate na reason
Ukiendelea kufikiri hivi utajiumiza sana na stats zako mkuu
Utaona kama nakuponda ila jarb kuangalia mpira kwa jicho la tatu na si stats
Kwanza kabisa Mimi sijui Mpira unaangaliwaje kwa Jicho la 3 na wala sina mpango wa kuangalia Mchezaji kwa Jicho la 3. Only Chief-Mkwawa ndiyo anayeangalia Mpira kwa Jicho la 3.
Sasa kama unaona Stats sio Kureasoning! Basi endelea kumuangalia Hendo kwa Jicho la 3.
But unakataa Stats za Hendo kwasababu you know exactly linapokuja suala la Stats he is nothing inside the pitch that's why unajaribu kumpamba kwa Maneno matupu na Mazuri.
Anacho-offer ni only pointing a finger to his teammates warudishe Mpira Nyuma pamoja na kufokea Marefa.

16 Years Ago Today:
Steven Gerrard was named
710 Games
186 Goals
115 Assists
Anfield Legend.