Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwamba young na jones wazur kwa kuwa kila kocha kawabakisha?

Ngoj nikupe kitu kubak kwa mchezaj inafuatana na vile kocha anavyoona kupata mbadala ni vigumu pengine viwango vinafanana na unaetaka kumuuza na sokoni bei ipo juu kumwachia mchezaj ni ngumu ni bora uwe nae wakat unasaka mbadala

Mourinho alilazimika kumpa mkataba mpya fellain baada ya bodi kushindwa kutafuta mbadala wa fellain huwez kuuza mchezaj wakat huna uhakika wa kupata replacement.
Kuna Moja ya post yangu, nimesema Moja ya sababu ya Man Utd kutofanya vizuri ni kutokuwa na nidhamu nzuri ya baadhi ya wachezaji wazuri, sijamaanisha Jones na Young ni wachezaji wazuri hawapaswi kuondoka.

Wakati wa Mourinho kuna mchezaji wenu amewahi Kusema mwalimu ana mbinu mbaya (This is totally unprofessional). Baadhi ya mashabiki wakamuunga mkono huyo mchezaji na kutupa lawama kwa Mourinho (Licha ya mapungufu yake).

Point yangu naweza kuilezea hivi.
Imagine wewe ni coach unawachezaji wawili mmoja type ya Henderson na Mwingine aina ya Neymar very talented na very creative.
Huyu aina ya Neymar anachelewa mazoezini, penalty anapiga kwa kisigino, Hatoi pasi mpaka apige chenga watu 3, mechi anacheza Dakika 18 ameshachoka, mademu wake, ana magari 8 na Kwa wiki mna session 2 za mazoezini kwa siku 5, kila siku yupo saloon kubadili style ya nywele.

Na huyu aina ya Henderson, mazoezini wa kwanza, yeye hapigi chenga anajua pass. tu, anakaba, anawaongoza wenzake, ukimwambia kitu anakitimiza, Hana makuu nje ya uwanja..

Yupi utampanga kwenye timu yako?
 
Nakumbuka Baadhi ya Mashabiki wenzangu wamewahi kisema TAA anabebwa na Uingereza, fabinho mcheza rafu, Mane mchoyo, GINI Hamna kitu, firmino sio namba 9.

Ila hawa ndio leo watu muhimu kwenye timu, kwa maoni yangu mafanikio ya timu ni zaidi ya individual performance
 
Toa hizo post walizosema hivyo ili tu confirm usemayo
Nakumbuka Baadhi ya Mashabiki wenzangu wamewahi kisema TAA anabebwa na Uingereza, fabinho mcheza rafu, Mane mchoyo, GINI Hamna kitu, firmino sio namba 9.

Ila hawa ndio leo watu muhimu kwenye timu, kwa maoni yangu mafanikio ya timu ni zaidi ya individual performance
 
IMG_6448.JPG
 
Hao 3 Midfielders hawachezai kama Tunavyowaandika

Fabinho Huwa Nyuma ya Wote (GINI & HENDO)

GINI anacheza Center kutokea Kushoto.

Hendo anakuwa Mbele ya Wote (GINI & FABINHO) akitokea kulia ambaye anakuwa more offensive but anashindwa kudeliver chochote kwasababu sio creative.

What's your point kusema hatuna attacking Midfielder?

Ukisema hatuna attacking Midfielder manayake hatuna Link kutoka Kwenye Defenders na Washambuliaji! That means tunaplaye Bus-Parking football right?

Kama hivi ndo unavyodhani basi kafanye tena homework
 
Next game against Manure

Ni headache tu

Manure hata wawe wabovu vipi wakikutana na Liverpool hugeuka Mbogo aliyejeruhiwa

Kuna waliokwishajiwekea Matokeo yao Mfukoni lakini kwamimi nasema bado Nazi tunayo Manure hatokubali kupoteza game kwa Liverpool kwa gharama yoyote ile.
Mkuu una hofu ya bure tu. Kama sisi Arsenal na tactics mbovu za Unai tumepata suluhu OT.

Hawa jamaa mtawapiga goli chache sana 4.Wamejichokea sana.
 
Mkuu jamaa kakufafanulia vzr sana

Nenda You tube kaangalie klopp tactic zake utaona ndivyo alivyoeleza ,

Popote utapoenda hutokuta attacking midfielder kwa mpira wa klop, ndo maana ata coutinho alibadilishwa kuwa winger wakat alikuwa attacking midfielder
4-3-3 wanatumia CDM 1 na CM2 au vice versa
Au CDM na RM pamoja na LM
Attacking midfielder ni common kwa 4-4-2 au ata 5-3-1
Attacking midfielder atawekwa kwa kuforsiwa tu
 
Hii Liverpool haikatizi December, itakuwa ipo nafasi ya tatu kugombania na spurs uko au arsenal..

Tatizo nyie watu hamumuelewi huyu jamaa, huyu jamaa ni mchokozi, ni mleta vurugu, ni haimaanishi anachosema ni kweli au lah, ila ni anataka tu kuwakasirisha japo ata yy haamini anachoongea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom