Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dah naishia kucheka tu yani ninaposoma Comments za baadhi ya Wadau!

Bora hata nisiwaquote niishie kuandika tu hapa!

Eti Midfielders wetu wanakazi maalum tofauti na Midfielders za Timu nyengine.

Kumbe Midfielders zetu hazina jukumu la kushambulia? 😀😀

Yani tuna Mido 3 (Hendo, Gini na Fabi) eti zote kazi yao ni Kustabalize Timu? 😀😀

Pale Fernandinho mmoja alipowaeka Mfukoni Mido zetu zote 3 kumbe Walikuwa wakistabalize Mfuko wa Fernandinho? 😀

Dah KDB anapiga Miassists ya mana halafu Mtu anakwambia Hendo hanajukumu la kuassists washambuliaji bali anakazi maalum anafanya! 😀😀 Kazi gani hiyo au ni Ajenti wa TISS ndani ya Liverpool anafanya kazi ya wasiojuilikana?

Huu ushabiki mwengine 😀😀
 
Aaah wap mwisho utabiri wangu utatimia tu ..mpaka December mutakuwa chini yetu au chini ya man city ..sisi tunawajua bwana..

Kila la kheri Chelsea
Mkuu Ollachuga Oc sio wewe tu... Its us against the rest.. Hivyo wewe endeleeni tu kutuombea tushuke lakini lol tupo pale pale kileleni...

Mtulie hivyo hivyo sindano izame.. Ni wakati wetu majogoo kutesa...

🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️👻👻👻👻👻
 
Mkuu Ollachuga Oc sio wewe tu... Its us against the rest.. Hivyo wewe endeleeni tu kutuombea tushuke lakini lol tupo pale pale kileleni...

Mtulie hivyo hivyo sindano izame.. Ni wakati wetu majogoo kutesa...

Kwa kikosi chenu hamna maisha marefu mkuu...kikosi finyu sana na wachezaji ndo hao hao wanakipiga mwanzo mwisho..

Kila la kheri Chelsea
 
Popote utapoenda hutokuta attacking midfielder kwa mpira wa klop, ndo maana ata coutinho alibadilishwa kuwa winger wakat alikuwa attacking midfielder
4-3-3 wanatumia CDM 1 na CM2 au vice versa
Au CDM na RM pamoja na LM
Attacking midfielder ni common kwa 4-4-2 au ata 5-3-1
Attacking midfielder atawekwa kwa kuforsiwa tu
Mario gotze?
 
Anapiga kazi kama ipi kwa Mfano?
Naomba jibu tusikimbiane
Napenda anajituma kwa kukaba.. ana long pass nadhan ni wa 4 ama 3 kwenye kikos, ni kiongozi anapokuwa uwanjani.

Ukisema ulete takwimu za hendo kwa kumshindanisha na wachezaj wengne wenye position moja utakuwa umemuonea sote tunajua hilo, maana msimu mzuri kwake alwah kuwa na assist 7 na goli kama 3 au 4 hv.

Lakn hao viungo wenye statxs nzuri mbona hatuon wamesaidia nn kwenye timu zao, kwanza jamaa huwa ana min chache za kucheza kulinganisha na wengne.

Pia huwez kuwa vzuri kila idala..mbona kuna team ziko na mids wazuri lkn hakuna kitu,

Siku zote anae tumia jitihada kufanikisha kitu kwangu mm ndio mzuri...
Hata hendo akotaftiwa mbadala wake nasi pale kati itabd apatikane ambae atakuwa na sifa kama za hendo.

Mimi sio shabik wa hendo lkn naona watu wanamshusha sana... kiasi kwamba hakuna anachofanya.

Muhimu ushindi unapatikana, ambao wana wachezaj wazur wanahangaika saiv siku zote watu huwa hawatoshek
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom