TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,197
- 18,226
kwikwikwikwiLeo liverpool mtaruka ruka tu uwanjan, salzburg sio timu ya mchezo mchezo
kwikwikwikwiLeo liverpool mtaruka ruka tu uwanjan, salzburg sio timu ya mchezo mchezo
Umeamua kunilisha maneno sio...jaribu kuona uhalisia kwanamna gani Salah makali yake yamepungua ambapo sio kitu kigeni kwa wachezaji
Huyu bwana ni balaa ..jana beki bora kabisa VVd alipata tabu mnoo..
Hawa madogo wangekuwa kwao basi hii Liverpool ingepata tabu mnoo
Kila la kheri Chelsea![]()
Bora huku CL tuwape wengine ukweli kabisa Liverpool tunahitaji sana kushinda EPL kuliko CL. Ukiniuliza mimi kama mshabiki ubingwa gani utanipa furaha ya mwaka ni EPL. CL iwe kama bonus tu mwaka huu
Hiyo ndo tofauti ya Liverpool ya sasa na ya Zamani...... Unafikiri ile Liverpool ya msimu wa 13/14 tulikosea wapi kuchukua ule ubingwa!!? Tulifanya makosa madgo sana ambayo kwenye kikosi cha leo sidhani kama yanaweza kuonekana.Tatizo watu mnasahau sana. Liverpool pool ya zamani isingepata matokeo kwenye game ya Sheffield united na hii ya Salzburg .
Ule muda salzbug wanapiga come back 3-3,kwikwikwikwi

,mshukuru salah kwa lile gor, hii game liverpool hamtaisahau nadhan mmeona moto wa salzburg, dharau za kuona uefa ni rahisi Imeish kwakwakwakwaaaaaaUle muda salzbug wanapiga come back 3-3,
Ukumbi mzima ulizima, mim pekee ndio nilibaki nashangilia huku wengine wemeshikilia moyo
,mshukuru salah kwa lile gor, hii game liverpool hamtaisahau nadhan mmeona moto wa salzburg, dharau za kuona uefa ni rahisi Imeish
Yaan nyie liverpool mnapoelekea mnapaona wenyewe, haina haja ya kuambiwa, january msipo sajili basi hata hizo calabao mnazopotezea hamtapata
Sijasema mbovu brotherUnapozungumzia Kupungua Makali na Ubovu ni vitu viwili tofauti.
Hata Ronaldo kapungua Makali sio yule wa 2008/09 lakini sio mbovu.
Sasa Salah wa 2017/18 sasahivi amepungua Makali..
Sasa je Salah ni Mbovu au Kapungua Makali?
Sijasema mbovu brother
Mkiwa mnaporomosha porojo kama hz muwe mnamalizia na timu mnazozishabikia ili tujue kama tuwajibu au vp usikute tunabishana na shabik wa manyumbu bure kutupotezea muda tu na nguvuUle muda salzbug wanapiga come back 3-3,
Ukumbi mzima ulizima, mim pekee ndio nilibaki nashangilia huku wengine wemeshikilia moyo
,mshukuru salah kwa lile gor, hii game liverpool hamtaisahau nadhan mmeona moto wa salzburg, dharau za kuona uefa ni rahisi Imeish
Yaan nyie liverpool mnapoelekea mnapaona wenyewe, haina haja ya kuambiwa, january msipo sajili basi hata hizo calabao mnazopotezea hamtapata
Kumbe mashabiki wa liverpool tupo wengiUle muda salzbug wanapiga come back 3-3,
Ukumbi mzima ulizima, mim pekee ndio nilibaki nashangilia huku wengine wemeshikilia moyo
,mshukuru salah kwa lile gor, hii game liverpool hamtaisahau nadhan mmeona moto wa salzburg, dharau za kuona uefa ni rahisi Imeish
Yaan nyie liverpool mnapoelekea mnapaona wenyewe, haina haja ya kuambiwa, january msipo sajili basi hata hizo calabao mnazopotezea hamtapata
Gini awe anatokea benchi tu mkuuNi nani sasa
Kuna wabongo kiswahili kinawasumbua piaHuyu atakuwa ni mkenya
Henderson na Lallana magarasa first gradeYani Hendo huwa anatufanya tutimie 11 uwanjani.
Sasa wewe jamaa unaetaka huyo sala asikae bench kabisa yeye ni chuma kwamba hachoki au sio binadam kwamba hakosei?hebu angalia wale salzabag sub walizofanya hujui ni yupi kamshikia namba mwinzie.team inatakiwa iwe ya watu na sio ya mtu mpaka awe na kiburi ukumbuke kuvunjika ni rahisi sana ikimtokea unafanyaje? Nakushangaa unavyo mponda asie cheza hata dakika 30 umesahau kabla ya kina Salah huyohuyo ndo alitupeleka fainal ulaya ndogo namba aliipoteza alipo umia tena alikua na goli 6 kwenye mechi saba kama sijakosea.Salah jana aliokoa Jahazi lakini no one talks about him! The day atakapotoka uwanjani goalless ndiyo wataibuka watu from nowhere wamdismiss kuwa aekwe bench.
Siku atakayotokea Origi kufunga goli (Sorry sijui mara ya mwisho kuifungia goli Liverpool ni lini?) ndiyo utasikia Origi bonge la mchezaji aanze yeye Salah aekwe Benchi.
But mkali ataendelea Kuwa mkali tu
Don wao mmoja RedbullSalzburg kwa sasa ndiyo team inayoongoza kwa kuuza vipaji. Keita na sadio mane wote wamepita huko na wechazi kibao. RB Leipzig ya ujerumani wanachota sana wachezaji kule. Mimi kwa jana ungeniambia Liverpool tumchukue nani pale ningemtaka Minamino
just so wonderfull hearing how this great game and this special club inspired you in that way, for the love of the game now its has touched you and pushing you big time to better your life and help others in need of that medical field...Yaah kaka wachache tumejitoa sadaka
Miaka 12 darasani si mchezo kaka .... Uzuri frm 7th you are paid
Naishukuru timu yangu liva ... Siku ile tunaitoa barca nne ... Aisee i was real inspired that everythin is possible na hakuna kukata tamaa ni kwenda mbele
Maana ilkua wiki inayofuata nipost pone masmo eeh i was enlightened
I LOVE THIS TEAM ! 🚁
ndio raha ya mpira mzee baba unatukutanisha wote jamvini...Hatari sana Baba Swalehe yuko vizuri mnoo ..sisi wengine wa dasaa la saba tupambane na khali zetu
Kila la kheri Chelsea![]()
alitoka draw inaonekana msimu huu kama msimu uliopita UCL pale Red Star walitugeuzia ngia angani...maanake kila timu inashinda nyumbani...hili kundi bado sana aisee...Genk alishinda au ..
Hii Liverpool hata Genk atapata point..
Kila la kheri Chelsea![]()