21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
balaaa hili
balaaa hili
Mpka leo hamumkubali Vvd
Henderson such a crap
Gini sio Midfielder
ndio raha ya mpira ndugu usiyotarajia yanatokea ndio unaona jana uzembe umetu cost...Mnaongoza goli tatu na zinarud zote wakati munabeki bora kabisa vvd ..hii Liverpool ni uwezo binafs wa mchezaj mmoja mmoja ila timu imechoka aise ..
Kila la kheri Chelsea![]()
all the best ndugu hakika ma neuro s wanahitajika kwa wingi maaana kuna uhaba...Mi sio dgo nshamalza miaka sita ya medicine
Nmeenda kuspecialize we dgo mwaka wa tatu huu bdo minne (neurosurgical residency training.)
hilo nalo neno...kwa mchezaji kama Neres, Hakim nk wote wapo UCL sasa, labda waje kwa ajili ya ligi na waliopo waweze kupata muda wa kupumzika sio kila mechi kucheza dakika 80+....Wadau mnasahau hii ni champions league. Salzburg wachezaji wanajua dunia inawaangalia na wanatafuta soko la kununuliwa. Nani alitegemea napoli anhetoka sare na Genk? Naona watu wameshaanza kusema January tununue. Utamnunua wapi huyo mchezaji mzuri ambaye hachezi champions league??
Mjapan huyo yuko vizuri sana tatizo wachezaji kama hawa unatakiwa kuwafuatilia mechi nyingi ujuwe uwezo wake ila kwa jana alikuwa super anaonekana akili ya kusoma game na ufundi yuko vizuri. napata picha ndio anacheza nyuma ya Sadio, Bob na Mo yaani hatari kama namuona anapitisha pasi tu sehemu zake. kwa style yetu tunataka mchezaji kama huyo number 10 sababu haileti maana kuwa na Fab na Hender kucheza pamoja wanafana. Hender ni kama anatafutiwa position ya kucheza ila tukiwa na mtu kama Imunina basi Fab and Mid mwingine kufanya kazi ya ulinzi tu dogo kusambaza.Dogo kumbe bdo upo shule aise ..kuna mchina cjui mkorea anaitwa Imunina ni balaa ..kafunga goli la kibabe na kutoa assist moja qali sana ..mbele bek bora kabisa vvd..
Hivi braza huwezagi kabisa kusema dogo badala ya ndogo au madogo badala ya mandogo?hilo nalo neno...kwa mchezaji kama Neres, Hakim nk wote wapo UCL sasa, labda waje kwa ajili ya ligi na waliopo waweze kupata muda wa kupumzika sio kila mechi kucheza dakika 80+....
jana tumetia aibu...we couldnt kill the game...
mandogo walijiaada kupigwa sasa walivypota goli wakaona kumbe tunafungika wakaja kama mvua...alivyosherekea kocha wao mpaka kupigwa kadi ni furaha kwao kuwafunga Champions of Europe...hakika walistahili kutoka Anfield na goli zao
Salzburg kwa sasa ndiyo team inayoongoza kwa kuuza vipaji. Keita na sadio mane wote wamepita huko na wechazi kibao. RB Leipzig ya ujerumani wanachota sana wachezaji kule. Mimi kwa jana ungeniambia Liverpool tumchukue nani pale ningemtaka Minaminohilo nalo neno...kwa mchezaji kama Neres, Hakim nk wote wapo UCL sasa, labda waje kwa ajili ya ligi na waliopo waweze kupata muda wa kupumzika sio kila mechi kucheza dakika 80+....
jana tumetia aibu...we couldnt kill the game...
mandogo walijiaada kupigwa sasa walivypota goli wakaona kumbe tunafungika wakaja kama mvua...alivyosherekea kocha wao mpaka kupigwa kadi ni furaha kwao kuwafunga Champions of Europe...hakika walistahili kutoka Anfield na goli zao
Tungefungwa jana leo pasingekalika. Watu wanasubiria kwa hamu tuteleze.Halafu washabiki wengi wa Timu nyengine (isiyokuwa Liverpool) wamekuwa obsessed na VVD kupita kiasi.
Hii yote ni kuonesha Ubora wake Kuwa jamii kiasi ya kwamba wakiboronga kina Zouma na Lindelof hakuna anaewauliz. Lakini akikosea VVD game moja tu basi kelele kila Kona ya Dunia.
sawa kabisa pia kuna beki wao mmoja hivi black niliona ana utulivu sana...Salzburg kwa sasa ndiyo team inayoongoza kwa kuuza vipaji. Keita na sadio mane wote wamepita huko na wechazi kibao. RB Leipzig ya ujerumani wanachota sana wachezaji kule. Mimi kwa jana ungeniambia Liverpool tumchukue nani pale ningemtaka Minamino
tazama stat za Matip msimu huu EPL hakamatiki kabisaaa....ni jembe sanaSiku nyingi nilikuwa nampigania Matip kupewa sifa anayostahiki kuwa jamaa ni Top defender na ndiye anayeibalance Back line yetu kwa Msimu huu lakini bila ya kujua reason amekuwa ni underrated defender kiasi ya kwamba hawi regarded kwenye hata macho ya Washabiki wa Liverpool.
Sasa Jana kidogo nidhamu imeanza kurejea kwa Mkali huyu asiyependwa na Wengi na Comment za kumuombea arudi uwanjani ninaziona kila pahali.
ni kama jana msimu uliopita Salah alikua anatazmwa zaidi baada ya kufunga magoli mengi msimu wa kwanza...Halafu washabiki wengi wa Timu nyengine (isiyokuwa Liverpool) wamekuwa obsessed na VVD kupita kiasi.
Hii yote ni kuonesha Ubora wake Kwa jamii kiasi ya kwamba wakiboronga kina Zouma na Lindelof hakuna anaewauliza. Lakini akikosea VVD game moja tu basi kelele kila Kona ya Dunia.