Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

all the best ndugu hakika ma neuro s wanahitajika kwa wingi maaana kuna uhaba...

wish you the very best comrade...
Yaah kaka wachache tumejitoa sadaka
Miaka 12 darasani si mchezo kaka .... Uzuri frm 7th you are paid

Naishukuru timu yangu liva ... Siku ile tunaitoa barca nne ... Aisee i was real inspired that everythin is possible na hakuna kukata tamaa ni kwenda mbele

Maana ilkua wiki inayofuata nipost pone masmo eeh i was enlightened

I LOVE THIS TEAM ! 🚁
 
Hahahahhah kuna kaukweli fulani
Unaposema timu inapata matokeo yasiyokuridhisha unamaanisha nn!!? Ni matokeo gan ambayo unaona ww hayakupasa kuwa vile.Kumbuka timu zote tunazokutana nazo zinakuwa zimejiandaa vya kutosha ili kuhakikisha zinapata matokeo..... Na wanapata hasira sana hasa pale wanapokwama kupata matokeo kutoka kwetu...... Nikuambie kwa sasa hakuna timu ambayo haipendi kupata matokeo kutoka kwa Liverpool kwa sababu ya ubora ambayo Liverpool inayo..... Kwa maana kama timu itapata matokeo kutoka kwa Liverpool inakuwa imejiconsider kama ina muelekeo mzuri coz ni timu bora kwa sasa..... Kwa hyo ndgu tegemea kukutana na mechi ngumu sana hapo mbele yetu... Kila tunayekutana nae atakaza sana hata kama ni wa daraja gani afu wanacheza kwa umakini mkubwa sana kuogopa wasijefanyiwa kitu kibaya cha uzalilishaji.... Timu yetu ni bora kwa sababu inapata matokeo kwa nyakati zozote zile... Uwe ni mgumu ama sio mgumu..... Kama timu ingekuwa mbovu jana tungelazimishwa sare. Matokeo ambayo yangekuwa mabovu sana zaid kwetu... Lkn wachezaji wamejitahid na tumepata matokeo..... Kwangu naona tunapata matokeo mazuri japo tunapitia kipindi kigumu ambacho kila timu inakuwa chonjo kutokana na ubora ambao tunao kwa sasa.... #TIMU BORA INAPATA MATOKEO KWA NAMNA YOYOTE ILE.....!!!
 
Beki bora VVD
255762326991_status_6a5031a4f84b4538820206f5e4721d11.jpeg
 
Unajua kwanini....?? Kwa sababu mapambio ni mengi kiasi kwamba yeye ni beki bora kabisa duniani... Hatutegemei hayo kwa beki kisiki/stopper bora kabisa.
Na magwaya ndo beki ghali duniani au hujui hilo!!!?
 
Liverpool msipochanga karata zenu vizuri huenda mkatolewa group stage.

Kuna uchovu unawanyemelea mastaa wenu kutokana na kucheza game nyingi mfululizo bila kupumzika.

Mnapocheza game rahisi za ligi mjaribu kuwapa game tamu kina Origi na Shaqiri wawe na match fitness vinginevyo huko mbeleni mtaanza kupoteana.
Umeongea facts
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom