SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,444
Anajisahaulisha tu.Na magwaya ndo beki ghali duniani au hujui hilo!!!?
Anajisahaulisha tu.Na magwaya ndo beki ghali duniani au hujui hilo!!!?
Huyo usijichoshe naye ndugu. Wapoteza muda.Sielewi kwa nini umeniquote wakati sijakuuliza wewe
Brother una mipasho sana utadhani game unaangalia peke yako...Salah bado hayupo kwenye rythm yake anakosa clear chances nyingi na kushindwa kufanya maamuzi sahihi awapo na mpira
AhahahHuyo usijichoshe naye ndugu. Wapoteza muda.
He can do better than that broAnayekosa nafasi nyingi lakini akafunga Magoli Mawili ni bora kuliko yule asiyekosa nafasi nyingi lakini hafungi goli hata moja
Sijawahi kumkubali huyo magwaya , ukiacha World cup alivyopambana , maana hata pale Leicester yule Soyuchu kaziba pengo lake vzr ,utadhan hakukuwahi kuwepo MTU anaitwa magwaya ,
Sikatai kuhusu usemayo kwa Mo, tatizo ni game ya jana unavyomsema,
Weka nutmeg alizopigwa hapa au errors ambazo zimesababisha direct goals since ajiunge paleNa magwaya ndo beki ghali duniani au hujui hilo!!!?
Tunaangali makosa ambayo yapo attached kulingana na quality and other things...Magwaya ndio beki ghari duniani
Yani Hendo huwa anatufanya tutimie 11 uwanjani.
Hapana sema jamaa ana damu ya kunguni tu, tukumbuke timu ina uchovu sana after all tumepata matokeoYani Hendo huwa anatufanya tutimie 11 uwanjani.
Ni beki mmoja mzito , ukiacha zile Aerial dual , anazidiwa na mustafi,We jamaa comment yako inachekesha sana.
Beki bora VVDView attachment 1222574
Unapoteza muda wako kuwa QUOTE watu wa ovyo kama hao,nikuwapuuza tu.Mbona hakuna tatizo hapo labda kama sio shabiki wa mpira ndio unaweza kushangaa au unaleta ubishi wa simba na yanga
Umeamua kunilisha maneno sio...jaribu kuona uhalisia kwanamna gani Salah makali yake yamepungua ambapo sio kitu kigeni kwa wachezajiMkuu huyo Liverpool nzima kwakr mchezaji ni Origi tu! Sasa kelele zote hizo ni kwanini Salah haekwi benchi anachezeshwa Origi tu?
Sasa sijui kocha gani Dunia hii atakae mueka Benchi Salah Kwa kumchezesha Origi?
Huyu alikuwa kama nani? Zouma maboko?Huyu jamaa ni Kama Zouma tuuView attachment 1222649
kumbe ukiweka mipaka ya mtu wa kukusaidia jibu?Sielewi kwa nini umeniquote wakati sijakuuliza wewe