Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na Kuwa kukumbushia tu ingawa Partnership ya VVD-MATIP kwasasa ndiyo inayoonekana Kuwa positive, But hii sio sababu inayoweza kumfanya Gomez aonekane ni Mbovu! Gomez yupo vizuri tu ila tatizo lake hana Match Fitness since alipotoka kwenye longtime injury.

Kwahiyo watu wasije wakamdharau Gomez kwa mechi ya jana tu.
 
Salah jana aliokoa Jahazi lakini no one talks about him! The day atakapotoka uwanjani goalless ndiyo wataibuka watu from nowhere wamdismiss kuwa aekwe bench.
Siku atakayotokea Origi kufunga goli (Sorry sijui mara ya mwisho kuifungia goli Liverpool ni mini?) ndiyo utasikia Origi bonge la mchezaji aanze yeye Salah aekwe Benchi.

But mkali ataendelea Kuwa mkali tu
Brother una mipasho sana utadhani game unaangalia peke yako...Salah bado hayupo kwenye rythm yake anakosa clear chances nyingi na kushindwa kufanya maamuzi sahihi awapo na mpira
 
Halafu washabiki wengi wa Timu nyengine (isiyokuwa Liverpool) wamekuwa obsessed na VVD kupita kiasi.

Hii yote ni kuonesha Ubora wake Kwa jamii kiasi ya kwamba wakiboronga kina Zouma na Lindelof hakuna anaewauliza. Lakini akikosea VVD game moja tu basi kelele kila Kona ya Dunia.
Akiboronga VVD kelele kila kona ila akibolonga Magwaya kimyaaaa 😂😂😂
 
Akiboronga VVD kelele kila kona ila akibolonga Magwaya kimyaaaa
Unajua kwanini....?? Kwa sababu mapambio ni mengi kiasi kwamba yeye ni beki bora kabisa duniani... Hatutegemei hayo kwa beki kisiki/stopper bora kabisa.
 
Liverpool msipochanga karata zenu vizuri huenda mkatolewa group stage.

Kuna uchovu unawanyemelea mastaa wenu kutokana na kucheza game nyingi mfululizo bila kupumzika.

Mnapocheza game rahisi za ligi mjaribu kuwapa game tamu kina Origi na Shaqiri wawe na match fitness vinginevyo huko mbeleni mtaanza kupoteana.
Mjapan huyo yuko vizuri sana tatizo wachezaji kama hawa unatakiwa kuwafuatilia mechi nyingi ujuwe uwezo wake ila kwa jana alikuwa super anaonekana akili ya kusoma game na ufundi yuko vizuri. napata picha ndio anacheza nyuma ya Sadio, Bob na Mo yaani hatari kama namuona anapitisha pasi tu sehemu zake. kwa style yetu tunataka mchezaji kama huyo number 10 sababu haileti maana kuwa na Fab na Hender kucheza pamoja wanafana. Hender ni kama anatafutiwa position ya kucheza ila tukiwa na mtu kama Imunina basi Fab and Mid mwingine kufanya kazi ya ulinzi tu dogo kusambaza.
 
Huyo minamino game na Genk alifunga na kuassist na game ya jana kafunga na kutoa assist pia ila mbaya zaidi na Halland na yule Mkorea
Mjapan huyo yuko vizuri sana tatizo wachezaji kama hawa unatakiwa kuwafuatilia mechi nyingi ujuwe uwezo wake ila kwa jana alikuwa super anaonekana akili ya kusoma game na ufundi yuko vizuri. napata picha ndio anacheza nyuma ya Sadio, Bob na Mo yaani hatari kama namuona anapitisha pasi tu sehemu zake. kwa style yetu tunataka mchezaji kama huyo number 10 sababu haileti maana kuwa na Fab na Hender kucheza pamoja wanafana. Hender ni kama anatafutiwa position ya kucheza ila tukiwa na mtu kama Imunina basi Fab and Mid mwingine kufanya kazi ya ulinzi tu dogo kusambaza.
 
Liverpool msipochanga karata zenu vizuri huenda mkatolewa group stage.

Kuna uchovu unawanyemelea mastaa wenu kutokana na kucheza game nyingi mfululizo bila kupumzika.

Mnapocheza game rahisi za ligi mjaribu kuwapa game tamu kina Origi na Shaqiri wawe na match fitness vinginevyo huko mbeleni mtaanza kupoteana.
Big point
 
Wadau mnasahau hii ni champions league. Salzburg wachezaji wanajua dunia inawaangalia na wanatafuta soko la kununuliwa. Nani alitegemea napoli anhetoka sare na Genk? Naona watu wameshaanza kusema January tununue. Utamnunua wapi huyo mchezaji mzuri ambaye hachezi champions league??
Hatununui kwa ajili ya uefa bali kwa ajili ya epl
Uefa hawa hawa wanatosha
 
Kuna jambo la kujifunza hapa kwa kile kinachoendelea liverpool kwa sasa, timu inapata matokeo kwa performance isiyoridhisha, ili jambo laashiria nini?
 
Team nyingi huwa zinakuja kwa woga pale Anfield laknin so kwa wale madogo
 
Kuna jambo la kujifunza hapa kwa kile kinachoendelea liverpool kwa sasa, timu inapata matokeo kwa performance isiyoridhisha, ili jambo laashiria nini?
Unaposema timu inapata matokeo yasiyokuridhisha unamaanisha nn!!? Ni matokeo gan ambayo unaona ww hayakupasa kuwa vile.Kumbuka timu zote tunazokutana nazo zinakuwa zimejiandaa vya kutosha ili kuhakikisha zinapata matokeo..... Na wanapata hasira sana hasa pale wanapokwama kupata matokeo kutoka kwetu...... Nikuambie kwa sasa hakuna timu ambayo haipendi kupata matokeo kutoka kwa Liverpool kwa sababu ya ubora ambayo Liverpool inayo..... Kwa maana kama timu itapata matokeo kutoka kwa Liverpool inakuwa imejiconsider kama ina muelekeo mzuri coz ni timu bora kwa sasa..... Kwa hyo ndgu tegemea kukutana na mechi ngumu sana hapo mbele yetu... Kila tunayekutana nae atakaza sana hata kama ni wa daraja gani afu wanacheza kwa umakini mkubwa sana kuogopa wasijefanyiwa kitu kibaya cha uzalilishaji.... Timu yetu ni bora kwa sababu inapata matokeo kwa nyakati zozote zile... Uwe ni mgumu ama sio mgumu..... Kama timu ingekuwa mbovu jana tungelazimishwa sare. Matokeo ambayo yangekuwa mabovu sana zaid kwetu... Lkn wachezaji wamejitahid na tumepata matokeo..... Kwangu naona tunapata matokeo mazuri japo tunapitia kipindi kigumu ambacho kila timu inakuwa chonjo kutokana na ubora ambao tunao kwa sasa.... #TIMU BORA INAPATA MATOKEO KWA NAMNA YOYOTE ILE.....!!!
 
ndio raha ya mpira ndugu usiyotarajia yanatokea ndio unaona jana uzembe umetu cost...

pazuri ni pointi tatu muhimu sana zimepatikana hayo mengine naamini Klopp na jopo lake wapo kazini tayari kuyarekebisha...

zaidi ya yote Genk kumkomalia Napoli imelifanya hili kundi kua balance zaidi..
Genk alishinda au ..

Hii Liverpool hata Genk atapata point..

Kila la kheri Chelsea
 
Liverpool msipochanga karata zenu vizuri huenda mkatolewa group stage.

Kuna uchovu unawanyemelea mastaa wenu kutokana na kucheza game nyingi mfululizo bila kupumzika.

Mnapocheza game rahisi za ligi mjaribu kuwapa game tamu kina Origi na Shaqiri wawe na match fitness vinginevyo huko mbeleni mtaanza kupoteana.
Bora huku CL tuwape wengine ukweli kabisa Liverpool tunahitaji sana kushinda EPL kuliko CL. Ukiniuliza mimi kama mshabiki ubingwa gani utanipa furaha ya mwaka ni EPL. CL iwe kama bonus tu mwaka huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom