radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
VVD kama ramine moro wa Yanga
Watakuua mkuu shauli yako
VVD kama ramine moro wa Yanga
mimi ni msanii sio mbungeWatakuua mkuu shauli yako
1.Ww ni me au ke?
2.ww ni cheltako au nyumbu?

Mfalme VVD kwamba toka liverpool ianze huyo ndo bek bora kuwahi kuichezea hii timu? Yaani unashupaza kabisa et hawez kuongea mataputapu wakat juz katoa assist like phil jones tofaut ni kuwa anachezea timu iliyoshinda kikombe




Lakin mkuu VVD sioni kama ana tofauti sana na Zouma, Sema labda experience tu na ilikuwa ni wakati wake wa kushine ..mim naona radika yupo sawa tu ..magwaya is better so far than VVD ..
VVD wa msim uliopita ni tofauti sana na msimu huu..kiwango chako kinazidi kushuka taratibu..
Uwepo wa Allison unaficha makosa mengi ya VVD
Najua mutabisha lakini VVD time will tell..
Kila la kheri Chelsea![]()
Dah halafu kweli aise ..kakutana na watoto walaini laini akina Rashid, lingard, angekutana na minjemba akina Didier, CR7 uko..
Tunalitamani Sana na tunajitahidi Sanani lini hamkuwahi kuitamani EPL mkuu?last season au?maana hili kombe kuna raia wametoka academy hapo liver na wameshastaafu now lakini hawakulinusa,dah aiseeeeeeeeeeeehhhhh
Clean sheet watolee wapi mkuu wakati VVD yupoBest comment of all time
Leo umemkana kaka yako Peni
Hivi Liverpool wana clean sheet ngapi msimu huu



Hahahaha Rose Barkley na Pogba wana tofauti gani mkuu.. kama yeye akiwa lain lain basi ujue na pogba Naye yumooooHao laini Barkley hayupo![]()



Uyu VVD alivyokuwa Soton ..mbona walikuwa wanachezea nyingi tu ...me nadhani uko sawa mkuu mfumo unam'beba sana jamaa...Kuna sehemu nilisoma
Jamaa anasema VVD anabebwa na mfumo/shape wa timu defensively
Hata Phil Jones akiwekwa kwenye set up ya Liverpool atang'ara![]()



Kuna sehemu nilisoma
Jamaa anasema VVD anabebwa na mfumo/shape wa timu defensively
Hata Phil Jones akiwekwa kwenye set up ya Liverpool atang'ara![]()
Uyu VVD alivyokuwa Soton ..mbona walikuwa wanachezea nyingi tu ...me nadhani uko sawa mkuu mfumo unam'beba sana jamaa...
Ukicheki pale nyuma kuna Lovren tena ..dah kwa nin VVd apate tabu![]()
Ishu unataka acheze nani wakati ndo tuliokuwa nao hao ...sababu Napoli kutupiga..!!? mbona ligi tuko nao hao hao na game nyingi wameanza na ligi game nyingi kuliko hiyo Ucl hujaongelea hapo hata hizo takwimu ulizotoa tayari ni history...Hii game ya Liverpool vs Barca imewamislead wengi
Mtu unamuekea Game zaidi ya 10 kubwa tulizoharibu kwa Mido yenye Combi ya MILNER - HENDO
1) vs Madrid (Fainali UCL)
2) vs Roma (Semi Final UCL)
3) vs Napoli Away (UCL 2018/19)
4) vs Napoli Away (UCL 2019/20)
5) vs Red Star Away (UCL 2018/19)
6) vs PSG Away (UCL/2018/19)
7) vs Man City (EPL 2018/19)
8) vs Manure (EPL 2018/19)
9) vs Barca (UCL 2018/19)
Na mifano mengine mengi tu...
Lakini still Mechi yake moja vs Barca tuliyomfunga 4 kwa Mido hiyo ndiyo imekiwa best example ever kuwa hawa ndiyo Best Mido 1/9 ni hesabu ndogo sana lakini kuna watu wanaifanya hawaielewi.
Haya bhana hii mechi vs Barca tuliyompiga 4 wacha tuifanye ndiyo ya kujifariji milele na milele
Kama mpaka kwa mifano niliyokupa bado hujaelewa udhaifu wa hawa watu! Basi Nainua mikono joo sinauwezo tena wa kudebate na wewe! Itabidi uendeleee tu kujifariji kuwa tulimpoga 4 Barca tukiwa na MILNER-HENDO.
pamoja ndugu yangu...ni kweli mpira bila utani haunogi bana...Mkuu angalau wewe nakupa heshima hapa ktk jukwaa hili unajadili mpira ila sio kumshambulia mtu unakuja na starts ambazo za kimpira heshima kwako huu sasa ndo ushabiki sio wenzio wanaongozwa na hasira wanasahau mpira huambatana na utani bila utani na dhihaka hamna mpira jamaa zako kama wawili humu wametoa povu sema hamna viti wengeshang’oa
Ollachuga Oc mtulie sidano iingie haha...huyu VVD anawatesa sana wapinzani....hakika sis mashibiki wa Majogoo ni zamu yetu...Clean sheet watolee wapi mkuu wakati VVD yupo
Tatizo ni VVD ..Siku asipocheza watapata tu..
Hii picha bado sijaielewa mpaka leo kila nikitazama nacheka sanaOllachuga Oc mtulie sidano iingie haha...huyu VVD anawatesa sana wapinzani....hakika sis mashibiki wa Majogoo ni zamu yetu...
wewe hangaika na Zuma huyu tuachieni sisi...
Jumapili naja mazima kuchukua pointi hapo hapo Darajani...![]()


bado sijaelewaaa

hahaha 🤗🤗🤗😎😎....baada ya mechi ya Jpili utailewa......Namba 4 in Red si mchezo kwa vichwaHii picha bado sijaielewa mpaka leo kila nikitazama nacheka sanabado sijaelewaaa
View attachment 1211572
Ishu unataka acheze nani wakati ndo tuliokuwa nao hao ...sababu Napoli kutupiga..!!? mbona ligi tuko nao hao hao na game nyingi wameanza na ligi game nyingi kuliko hiyo Ucl hujaongelea hapo hata hizo takwimu ulizotoa tayari ni history...
Ollachuga Oc mtulie sidano iingie haha...huyu VVD anawatesa sana wapinzani....hakika sis mashibiki wa Majogoo ni zamu yetu...
wewe hangaika na Zuma huyu tuachieni sisi...
Jumapili naja mazima kuchukua pointi hapo hapo Darajani...🤗🤗🤗
Mbona Lovren alichezeshwa na VVD lakini alifeli, kwanini na Jones asifeli?