Ficha ujinga wako



Nenda kawaambie kina jones hayo maneno
Lakin mkuu VVD sioni kama ana tofauti sana na Zouma, Sema labda experience tu na ilikuwa ni wakati wake wa kushine ..mim naona radika yupo sawa tu ..magwaya is better so far than VVD ..

VVD wa msim uliopita ni tofauti sana na msimu huu..kiwango chako kinazidi kushuka taratibu..

Uwepo wa Allison unaficha makosa mengi ya VVD

Najua mutabisha lakini VVD time will tell..

Kila la kheri Chelsea
 
Katika mashabiki wa MANCHESTER UNITED humu JF ambao hawajui chochote kuhusu mpira RADIKA ni namba 1.

Kwa sababu nimesema VVD ni zouma aliechangamka et? Basi nakazia hapohapo VVD ni ZOUMA aliechangamka
 
Kuna watu wana uzayuni aisee...

Ona hii kitu:

√ Tunaposema Alisson ni Kipa bora
Jibu lao huwa hili: "ALISSON HAMNA KITU ANALINDWA NA BEKI TU"

√ Haya basi tunasema VVD beki bora (Si ndiye anayemlinda Alisson?)
Jibu lao huwa hili: "VVD HAMNA KITU NI ZOUMA ALIYECHANGAMKA"

Dilemma iliyopo: Alisson si kipa analindwa na Beki, Beki ni mbovu anamlindaje kipa?

Nadhani ni Chiellini ndiye Beki anauekodiwa kila game ya Liverpool kuja kumlinda Alisson

Naona mmejaa upepo mpira ni utani wengi mnachukulia serious mwisho wa siku mtang’oa viti shauli yenu
 
haha Radika tulia japo Vidic, Rio pamoja na ubora wao hawakushinda Super Cup...VVD sio level ya akina Zumas...

Zuma akija kua nominated tuzo za VVD ni tagg...

VVD mchezaji bora EPL msimu 2018-2019...

Mchezaji bora msimu EUROPE 2018-2019

Mchezaji bora wa DUNIA fifa 2018-2019 Loading

Mchezaji bora wa Dunia Ballon 2018-2019 loading

karejesha imani kwamba kupata tuzo binafsi na mataji makubwa sio mpaka kuchezea Real au Catalans...

ni mengi sana anayofanya huyu jamaaa...

Zuma hata robo haingii...

Maguire better take notes...

Mkuu angalau wewe nakupa heshima hapa ktk jukwaa hili unajadili mpira ila sio kumshambulia mtu unakuja na starts ambazo za kimpira heshima kwako huu sasa ndo ushabiki sio wenzio wanaongozwa na hasira wanasahau mpira huambatana na utani bila utani na dhihaka hamna mpira jamaa zako kama wawili humu wametoa povu sema hamna viti wengeshang’oa
 
Ficha ujinga wako



Nenda kawaambie kina jones hayo maneno

Hizi ni hasira za kukaa muda mrefu bila kubeba kitu chochote muda wote zinatoka kauli za ajabu ajabu ulitegemea mimi nitamsifia VVD? Bila utani unafikir haya majukwaa yangekuwepo? Muwe mnapunguza mihemko sio kila anaeleta utani ni mjinga hapo mjinga unaweza kuwa wewe umeona post ya kijinga halafu una m-qoute mjinga unategemea mjinga atabadilika baada ya ww ku m-quote?
 
Akashabikie ragbi kama vip huwez ongea mataputapu kama yale juu ya VVD kama sio wivu au uzwazwa

Mfalme VVD kwamba toka liverpool ianze huyo ndo bek bora kuwahi kuichezea hii timu? Yaani unashupaza kabisa et hawez kuongea mataputapu wakat juz katoa assist like phil jones tofaut ni kuwa anachezea timu iliyoshinda kikombe
 
Back
Top Bottom