Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ancelotti acha uhuni bhana! 😀😀😀

Ancelotti after the game: ‘‘Don’t you worry, if you lose in Naples, then you end up winning the Champions League.”
 
To be honest! Adrian na Fabinho jana wamecheza kwa kiwango kikubwa cha ajabu sana

Yani Fabinho alizungukwa na Misukule tu (Hendo & Milner) lakini hilo halikumfanya kupotea Bali alipambana kiume.

Ilikuwa ni kazi kubwa kwake kucheza namba Yake na kuziba namba nyengine mbili (Ya Hendo na ya Milner).

Injury ni kitu kibaya sana kwa vipaji vya Wachezaji!!!!

Imagine tungelikuwa na Mido ya
KEITA - FABINHO - OX ?

Yani Mane, Bobby na OX wasingelishuka chini hata Mara moja kuna kutafuta mipira! Wangelikuwa wanaganda tu kwenye box la opponents kusubiri Mipasi ya OX na Keita watubukize kwenye Nyavu.

Lakini leo wapi!!! Tuna Milner na Hendo
 
VVD ni zuma aliechangamka kaanza sasa shughuli zake
Radika utulie hivyo hivyo....VVD ni mshinda wa Uefa, SuperCup na sasa ndio mchezaji bora wa Europe..na hivi karibuni atakua mchezaji bora wa dunia....

Dhamani ya sasa imeongezeka maradafu...

Zuma mfananishe na akina Maguire...

rudi kwangu angalau wakifikia robo ya mafanikio yake
 
Vvd anacheza zama za wakina rashford na abraham hamna kitu mule sema ni zuma aliechangamka tu
 
Vvd anacheza zama za wakina rashford na abraham hamna kitu mule sema ni zuma aliechangamka tu

Kuna watu wana uzayuni aisee...

Ona hii kitu:

√ Tunaposema Alisson ni Kipa bora
Jibu lao huwa hili: "ALISSON HAMNA KITU ANALINDWA NA BEKI TU"

√ Haya basi tunasema VVD beki bora (Si ndiye anayemlinda Alisson?)
Jibu lao huwa hili: "VVD HAMNA KITU NI ZOUMA ALIYECHANGAMKA"

Dilemma iliyopo: Alisson si kipa analindwa na Beki, Beki ni mbovu anamlindaje kipa?

Nadhani ni Chiellini ndiye Beki anauekodiwa kila game ya Liverpool kuja kumlinda Alisson
 
Watu wanaweweseka na Game ya Jana (UCL vs Napoli) lakini Mimi mwenzenu sio Siri ninaweweseka na Game ya EPL vs Chelsea! Hiyo ya Napoli hata hainijalishi coz CL sio First priority yangu season hii.

CL tumeshachukua last season! Kwa season hii nimeridhika hata kama tutatolewa kwenye Makundi.

Ila First Priority yangu season hii ni EPL kuibeba hata kama kwa Ulozi.

Hii game ya vs Chelsea kwakweli imenipatia homa ya gafla! Yani nahitaji point(s) kwa hali yoyote ile.

Hii michelsea najua itatukazia tu (isipokuwa wale wanaoingia na matokeo yao mfukoni kama walivyoingia kibanda umiza na Matokeo yao ya Napoli ndiyo watasema wanaenda kishinda Darajani).

Tukipoteza naweza hata kuangukia ICU.
 
Katika mashabiki wa MANCHESTER UNITED humu JF ambao hawajui chochote kuhusu mpira RADIKA ni namba 1.
 
Vvd anacheza zama za wakina rashford na abraham hamna kitu mule sema ni zuma aliechangamka tu
haha Radika tulia japo Vidic, Rio pamoja na ubora wao hawakushinda Super Cup...VVD sio level ya akina Zumas...

Zuma akija kua nominated tuzo za VVD ni tagg...

VVD mchezaji bora EPL msimu 2018-2019...

Mchezaji bora msimu EUROPE 2018-2019

Mchezaji bora wa DUNIA fifa 2018-2019 Loading

Mchezaji bora wa Dunia Ballon 2018-2019 loading

karejesha imani kwamba kupata tuzo binafsi na mataji makubwa sio mpaka kuchezea Real au Catalans...

ni mengi sana anayofanya huyu jamaaa...

Zuma hata robo haingii...

Maguire better take notes...
 
Watu wanaweweseka na Game ya Jana (UCL vs Napoli) lakini Mimi mwenzenu sio Siri ninaweweseka na Game ya EPL vs Chelsea! Hiyo ya Napoli hata hainijalishi coz CL sio First priority yangu season hii.

CL tumeshachukua last season! Kwa season hii nimeridhika hata kama tutatolewa kwenye Makundi.

Ila First Priority yangu season hii ni EPL kuibeba hata kama kwa Ulozi.

Hii game ya vs Chelsea kwakweli imenipatia homa ya gafla! Yani nahitaji point(s) kwa hali yoyote ile.

Hii michelsea najua itatukazia tu (isipokuwa wale wanaoingia na matokeo yao mfukoni kama walivyoingia kibanda umiza na Matokeo yao ya Napoli ndiyo watasema wanaenda kishinda Darajani).

Tukipoteza naweza hata kuangukia ICU.
Hii gemu tunashinda...hatuna main worry with new injuries...

kupoteza jana kunaweza kua Blessing in disguise umakini uongezeke ma ndogo wajue we aint immune tunafungika hivyo umakini unahitajika...

Napoli.katangulia na baiskeli ya miti, UCL hua na matokeo ya kushangaza usije ukaona wakipigwa na Genk ama RB...

Tuliteleza hatujaanguka...

we lost learnt our lesson pick ourselv and focous next game...
 
Ww ni abnormally izo loading labda wakampee sala sala au kibiti
haha Radika tulia japo Vidic, Rio pamoja na ubora wao hawakushinda Super Cup...VVD sio level ya akina Zumas...

Zuma akija kua nominated tuzo za VVD ni tagg...

VVD mchezaji bora EPL msimu 2018-2019...

Mchezaji bora msimu EUROPE 2018-2019

Mchezaji bora wa DUNIA fifa 2018-2019 Loading

Mchezaji bora wa Dunia Ballon 2018-2019 loading

karejesha imani kwamba kupata tuzo binafsi na mataji makubwa sio mpaka kuchezea Real au Catalans...

ni mengi sana anayofanya huyu jamaaa...

Zuma hata robo haingii...

Maguire better take notes...
 
ni lini hamkuwahi kuitamani EPL mkuu?last season au?maana hili kombe kuna raia wametoka academy hapo liver na wameshastaafu now lakini hawakulinusa,dah aiseeeeeeeeeeeehhhhh
Na nyie mna miaka kumi na tano hamjalinusa ama ndio unatimiza ule msemo wa "Maiti iliyokufa leo inaicheka iliyoitangulia kufa"
KUFA NI KUFA TU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom