Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Na wamejuta kweliLeo hii mivalencia itajuta
Na wamejuta kweliLeo hii mivalencia itajuta
Coutinho Yes Keita ndio mchezaji wa Plan B na C ..ni sawa kwanini Ox hujamuweka hapo hakufaa kweli !!?hana wachezaji wa Plan B wala C...kwa matokeo kama haya ndio utaona Keita akiwaishwa kurudi uwanjani...
kwa timu staili kama hawa Naples unahitaji mchezaji aina ya Fekir ama Countino....sasa unategemea hao Mido wetu ndio watupie pasi.chokozi...
hata hivyo nafasi tumepata hatakua makini kwenye umaliziaji...
Hahahah jamaa huwa anawatilia gundu,unakumbuka hata na man u alisema hivo hivo, muwe mnamzuia asianzishe Uzi za kusema mnafungwa.Mwanangu ukishasema tunashinda ndo tunafungwa ..ila ngoja tuone labda leo unaeza patia ..
Kila la kheri Chelsea![]()
Coutinho Yes Keita ndio mchezaji wa Plan B na C ..ni sawa kwanini Ox hujamuweka hapo hakufaa kweli !!?hana wachezaji wa Plan B wala C...kwa matokeo kama haya ndio utaona Keita akiwaishwa kurudi uwanjani...
kwa timu staili kama hawa Naples unahitaji mchezaji aina ya Fekir ama Countino....sasa unategemea hao Mido wetu ndio watupie pasi.chokozi...
hata hivyo nafasi tumepata hatakua makini kwenye umaliziaji...
tell her
Leo utalala na Furaha sana.
Mr Klopp hana plan B kwa timu za aina ya Napoli
Ni mtazamo wangu Mimi tu.
1.Ww ni me au ke?Liver namtabilia kushindwa kutoboa kwenye Makundi
Chambo bado hajawa fit 100% kwa mikiki ya hawa jamaa na pia ukumbuke wekedi alicheza zaidi ya dakika 65 na pia ukumbuke Jumapili tutakua darajani ambapo ni moja ya uwanja usiokua rafiki kwetu kimatokeo....Coutinho Yes Keita ndio mchezaji wa Plan B na C ..ni sawa kwanini Ox hujamuweka hapo hakufaa kweli !!?
utanuna aisee....🤗🤗🤗Nitalala kwa furaha zaidi kikiwakuta kama kilichowakuta leo ifikapo tarehe 27/11
YNWA ✌✌😂
sio hana Plan B au C pia hana wachezaji wa kubadili set up endapo.iliyopo haileta anachokihitaji...Hili kuna watu watakuambia ni Tusi umemtukana Kocha.
Huyu kama sio nyumbu basi atakua yatima fc.1.Ww ni me au ke?
2.ww ni cheltako au nyumbu?
Kufungwa kwenye mechi ya ni kujipanga zaidi!Liver namtabilia kushindwa kutoboa kwenye Makundi
Ok mi naona kama hizo Plan B na C unazosema tungeanza na mbele kwanza ..mpira ni magoli nafasi zimetengenezwa tumeshindwa kutumia ...angekwepo striker(s) lenye uwezo wa kuscore kama yakina lewandoski ...etc ndo ingekuwa plan B na C ya leo ...pale mbele napo hatukuwa makini..(mtazamo)Chambo bado hajawa fit 100% kwa mikiki ya hawa jamaa na pia ukumbuke wekedi alicheza zaidi ya dakika 65 na pia ukumbuke Jumapili tutakua darajani ambapo ni moja ya uwanja usiokua rafiki kwetu kimatokeo....
Jpili bila shaka ataanza...
Yap jibu zurisio hana Plan B au C pia hana wachezaji wa kubadili set up endapo.iliyopo haileta anachokihitaji...
we lack the players or the bench to rechange the system for us now its all 4 3 3....
ni wepesi,wanajua wapi wasimame kuzuia mashambulizi, hawapoteani uwanjani ovyo, wakishambulia wanaacheza kama 3 nyuma na 4 kati....
kwa staili ile ya uchezaji wao ni mwendo wa kuwapiga kaunta kwa vile hatuna mchezaji wa kuwachana na kutupia pasi ya mwisho...
wanastahili pongezi....
Kwa niaba ya wenzangu kutoka pale OT napenda kuwafikishia salamu za rambirambi. Licha ya marehemu kuwa mjivuni mno na mwenye mdomo mrefu,hatuna budi kuwafariji kwani ni muhimu na inapendeza sana. Asubuhi wachache tutakuwa hapa tukigawa chai na wengine wataenda kule ddarajani. Tumeona ni vyema kujigawa ili kuwapa faraja ya kweli wafiwa. Hiki ni kifo cha ghafla sana, marehemu alikuwa mbabe jamani! |
sio hana Plan B au C pia hana wachezaji wa kubadili set up endapo.iliyopo haileta anachokihitaji...
we lack the players or the bench to rechange the system for us now its all 4 3 3....
for all that we are is down to Klopp magic touch and wisdom...surely he is the engine...he looked relaxed today pamoja na matokeo haya...
its a shame though bench haina any established Forward baada ya Origi kuumia...
....hahahaha "marehemu alikua mbabe jamani"
Kwa niaba ya wenzangu kutoka pale OT napenda kuwafikishia salamu za rambirambi. Licha ya marehemu kuwa mjivuni mno na mwenye mdomo mrefu,hatuna budi kuwafariji kwani ni muhimu na inapendeza sana.
Asubuhi wachache tutakuwa hapa tukigawa chai na wengine wataenda kule ddarajani. Tumeona ni vyema kujigawa ili kuwapa faraja ya kweli wafiwa. Hiki ni kifo cha ghafla sana, marehemu alikuwa mbabe jamani!