Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa bahati mbaya hakuna tena timu vigogo za kutisha kivile...mpira umebadilika sana
Vigogo wenyewe Juve, Bayern, PSG, Barca, Maybe Atletico, Man City, PSG n.k hakuna hata team moja inayotisha hapo. Zote tia maji tia maji.
 
Mimi ninapodebate kitu huwa naweka stats au Mifano ili Mtu akiamua kutrace back aweze Kuconfirm usahihi wa nilichokiongelea.
Na ndiyomana nikakuekea aina ya game hapo na Misimu ya game hizo.

Lakini ukiniambia Kuna "Game Nyingi" tu hapo nitashindwa kukucomment chochote coz sijui hizo Game nyingi nitazijuaje kuweza kuziconfirm!

Weka examples hapa hizo game nyingi ni zipi na Misimu yake ni ipi ili niweze kucomments.

Kama zipo kweli basi utaweza kuzitaja hapa hizo game! Lakini kama hazipo hizo game walizoshinda, Basi tutosheke na kuwa Zipo nyingi tu kama ulivyosema.
Mkuu sorry ..hivi game zote za liverpool unaangalia kweli hivi kweli unataka kusema Kuna game tumecheza bila either J.milner au Hendo kuwepo !??? mpaka utake nikuorodhoshee line ups za game zote 38 za premier league za msimu uliopita ujue walianza nani wakati takwimu zipo ..we unaleta game ya kupoteza na man city draw ya man u na everton au kupoteza away games za Ucl ..bila kuwapa credit za game walizoanza na kupata matokeao wakati unajua kabisa game zote za msimu uliopita ngapi tulipoteza!???...
Mi nachotetea ni kwamba wale wana umuhimu Tena mkubwa na wametusaidia pakubwa lazima tuwaheshimu hata msimu huu unbeaten nao wana mchango wao mwalimu anapowaamini na kuleta matokeo chanya Zaid ya hasi (unazozileta hapa ) inamaana bado wanaperform vizuri...
Mfano: Messi na Ronaldo inajulikana ni wachezaji bora wa dunia mpaka Sasa ila timu zao utasema walipocheza hazijawahi kufungwa au hawajawahi kukosea kwa game zao!!!?? kwanini tusiangalie makosa ya watu wengine tuwalaumu Hendo na Milner tu pekee ...
Hatuna mbadala sawa lakini kwani Sasa tuko kubaya mpaka useme wao hawafai kuanza ..!!? Haya hawafai aanze Nani Sasa unayemuamini ataperform ipasavyo...nijuze!!?
 
Kuna watu wana nyota tu ya kupendwa, kama VVD

Wewe si unaona Pogba akizingua, kuna watu wanataka watuaminishe kwamba shida ni kwamba hajazungukwa na World Class Palyers, wakati makosa ni yake binafsi

Najaribu kufikiria, ile assist ya £75m angeitoa huyo Lovren au Matip angeshambuliwa kiasi gani

Nilijaribu kupitia kwenye Uzi wenu baada ya Mechi ya Juventus vs Napoli ambayo Koulibaly alijifunga! Nilichokikuta ni kwamba Mashabiki wa Man United walikuwa Wakitiririka kwa kumponda Koulibaly kwamba sio baki wakafika hadi kumfananisha na Smalling!

Sababu nikagundua ni moja tu ambayo Man United tokea wampate Maguire basi Mabeki wote waliobakia Duniani ni Wabovu! Yani kwenye ulimwengu wa sasa wa Soka munapata ujasiri wa kumpota Koulibaly????

Turudi kwa VVD...

Ni kweli Juzi alifanya Blunder iliyopelekea goli lakini you know why tumenyamaza hatumlaumu?

Ni kwasababu tunatofautisha One error dhidi ya error prone.

VVD anawezafanya only one mistake kwenye Msimu mzima in all competitions, kwahiyo hapo tutamuhesabu yeye ni human being hawezi kukwepa kukosea. Na hakuna beki yeyote duniani hata awe bora kiasi gani ambaye anacheza Msimu mzima bila ya error leading to goal..
Kama yupo nieleweshe.

Lakini Mkuu Lovren ni error prone ambaye anajuilikana kama Mzee wa accident waiting to happen.
Kwenye kila mechi anayocheza lazima atafanya error tu! Sasa beki kama huyu lazima angelifanya yeye kwenye ile game ya juzi basi tungemshambulia mwanzo mwisho coz tusingeona ni bahati mbaya Bali ni kawaida yake.

Lakini wakati muna Maguire najua mutazidi kusema VVD si beki.

Lakini nawahakikishia tu kuhusu huyo Maguire wenu ni Only Matter of Time kabla ya kuanza kumkataa kwenye Uzi wenu.

Narudia tena kwa ufasaha nikwamba! "Ni suala la Muda tu lakini mutakuja kumkataa Maguire".
 
Kuna moja kati ya mawili:

1) Umyabadilisha maongezi yetu kwa kuchange gia angani

2) Au hujaelewa tunachokijadili bali umekamata treni njiani

Tuanze na Namba 1:
Tumeanza kujadili kuwa combi ya HENDO-MILNER ikipangwa kwenye big game haileti Matokeo chanya Bali inaishia kupoteza mchezo huo.
Na ndiyo nikaweka mifano ya hizo Big mechi hapo juu kwamba walipangwa tukaishia kufungwa.

Note: Mechi zote za CL ninaziregard kuwa ni Big Match.

Lakini nakushangaa unaleta hesabu za Mechi 38?????? How???????

Liverpool vs West Ham ni big Match ???

Hebu pitia post zetu za awali kuhusu mjadala wa Hendo na Milner ujue ulipoanzia.

Mkuu endelea kukataa lakini Kwasasa Combi ya Hendo-Milner inaoongoza kutufungisha na Mifano nimekuekea.

Combi pekee kwasasa inayotupa Matokeo kwenye Big Match ni:
GINI - FABINHO - HENDO

Na Mifano ipo na kama utaitaka nipotayari kukuekea.

Naheshimu mawazo yako lakini usiwe wa kuupinga ukweli wakati mpira unachezwa uwanjani tunauona.

Milner Msimu wake wa mwisho kucheza vizuri ni 2017/18
 
EE0gDBIXUAE8muX.jpgsmall.jpg
EE0gw16XsAAxAtG.jpgsmall.jpg
 
Mkuu Umekuja kwenye combi we jamaa mi nimekwambia game gan either milner au Hendo hawajaanza wakashindwa perform ..mi natetea sababu hata walizozingua Kuna pia walizopatia nazo ni nyingi Zaid walizozingua (ndo maana hadi hapa tulipo mchango wao ni mkubwa )..kuwa umeorodhesha game moja moja tulizopoteza (kwanini wao tu tuwalaumu wao tu wanacheza wao pekee kikosi kizima!??)vipi kuhusu tulivyorudiana na redstar ...Bayern...Napoli..Barca ..Roma .game ya Man u ya awali n.k zote si kubwa hizo mbona hujaorodhesha plus Kuna timu zilikuwa zinatusumbua sana Epl misimu miwili iliyopita tulifanya fresh nazo si game kubwa kwetu!?? Au unataka kusema mpaka tucheze na big 4 ndo useme ndo game kubwa..redstar sawa how about Crystal palace ...!??.
Ucl is the champions league team tournaments so utalinganisha league wanapocheza redstar na Crystal palace ..!??huu ni mfano mmoja wapo Mkuu zaidi ya hapo namimi am done nimekunyooshea mikono
 
Dah! Yani ukitaja Jumapili mimi nakosa Amani. You know why?
Ukweli ni kwamba tukipoteza tu hiyo game PEP ataregain confidence na atakuja tena kwa Nguvu zote.
Relax kaka its will be a cracker...hatumwi mtu dukani..

Stamford is not one of our happy hunting grounds of late hilo pekee linatisha kimtindo,but kama umeangalia mechi za hivi karibuni utaona we are playing very composed football hatuna papara...

Darajani watoto wao kumekucha....

Experience will win us this game...

tuna constitency especialy Defence and Front

no major concern of injuries

we are way 'above' Man citi pointwise that will push the boys to perfom better
 
Kuna watu wana nyota tu ya kupendwa, kama VVD

Wewe si unaona Pogba akizingua, kuna watu wanataka watuaminishe kwamba shida ni kwamba hajazungukwa na World Class Palyers, wakati makosa ni yake binafsi

Najaribu kufikiria, ile assist ya £75m angeitoa huyo Lovren au Matip angeshambuliwa kiasi gani
sahihi kabisa ndugu...

Pogba kuna wakati anazingua anafanya makosa ya ajabu ambayo sio level yake..mpira ni mchezo wa makosa kutumika kuumizwa mshindani wako akilitumia vzuri hilo kosa..kosa la VVD na Robbo limetu cost goli Naples..

ubora wa mchezaji haumwodolei kinga ya kufanya makosa ishu inakua pale yanajirudia mara kwa mara kama alivyo Lovren..
 
Lakin mkuu VVD sioni kama ana tofauti sana na Zouma, Sema labda experience tu na ilikuwa ni wakati wake wa kushine ..mim naona radika yupo sawa tu ..magwaya is better so far than VVD ..

VVD wa msim uliopita ni tofauti sana na msimu huu..kiwango chako kinazidi kushuka taratibu..

Uwepo wa Allison unaficha makosa mengi ya VVD

Najua mutabisha lakini VVD time will tell..

Kila la kheri Chelsea
Hahahhaha acha utani aisee kwamba VVD unamfananisha na magwaya?
 
Nilijaribu kupitia kwenye Uzi wenu baada ya Mechi ya Juventus vs Napoli ambayo Koulibaly alijifunga! Nilichokikuta ni kwamba Mashabiki wa Man United walikuwa Wakitiririka kwa kumponda Koulibaly kwamba sio baki wakafika hadi kumfananisha na Smalling!

Sababu nikagundua ni moja tu ambayo Man United tokea wampate Maguire basi Mabeki wote waliobakia Duniani ni Wabovu! Yani kwenye ulimwengu wa sasa wa Soka munapata ujasiri wa kumpota Koulibaly????

Turudi kwa VVD...

Ni kweli Juzi alifanya Blunder iliyopelekea goli lakini you know why tumenyamaza hatumlaumu?

Ni kwasababu tunatofautisha One error dhidi ya error prone.

VVD anawezafanya only one mistake kwenye Msimu mzima in all competitions, kwahiyo hapo tutamuhesabu yeye ni human being hawezi kukwepa kukosea. Na hakuna beki yeyote duniani hata awe bora kiasi gani ambaye anacheza Msimu mzima bila ya error leading to goal..
Kama yupo nieleweshe.

Lakini Mkuu Lovren ni error prone ambaye anajuilikana kama Mzee wa accident waiting to happen.
Kwenye kila mechi anayocheza lazima atafanya error tu! Sasa beki kama huyu lazima angelifanya yeye kwenye ile game ya juzi basi tungemshambulia mwanzo mwisho coz tusingeona ni bahati mbaya Bali ni kawaida yake.

Lakini wakati muna Maguire najua mutazidi kusema VVD si beki.

Lakini nawahakikishia tu kuhusu huyo Maguire wenu ni Only Matter of Time kabla ya kuanza kumkataa kwenye Uzi wenu.

Narudia tena kwa ufasaha nikwamba! "Ni suala la Muda tu lakini mutakuja kumkataa Maguire".
Nakubaliana na ww , Kuna mchezaji kufanya kosa Mara moja ndan ya mech hata 30 ,kuna anayefanya makosa kama kawaida tu, sasa mashabik wengi hatutofautishi yule anayefanya kila siku na yule wa Mara moja, tunakimbilia kuwaweka grupu moja .
 
Dah! Karius Kwaulisha Besiktas Jana kwa uzembe wake

Mwisho wa Msimu huu anamaliza muda wake wa Mkopo na anarudi Liverpool

Ivi hakuna Timu inayomtaka huyu kumnunua?
 
Nakubaliana na ww , Kuna mchezaji kufanya kosa Mara moja ndan ya mech hata 30 ,kuna anayefanya makosa kama kawaida tu, sasa mashabik wengi hatutofautishi yule anayefanya kila siku na yule wa Mara moja, tunakimbilia kuwaweka grupu moja .

Tatizo lao tokea wampate Maguire na Wan Bisaka basi wanaona Mabeki wote Duniani ni Wabovu isipokuwa Maguire na Wan Bisaka.

Sasahivi wanawahesabia Timu nyengine Idadi ya Clean Sheet walizonazo bila ya kujihesabia wao kiwa Wameshaconcede magoli mangapi.

Lakini mimi nimeshawaambia kuhusu Maguire na Wan Bisaka kuwa ni Suala la Muda tu! Watakuja kuwakataa Wenyewe kwenye Uzi wao.
 
Maguire na Bissaka ni amateurs until proven at the highest level.. huwezi kuwalinganisha na combonation ya Matip VVD huo utakua ushabiki wa uswazi...

kwanza mpaka wawaletee Man U angalau kombe hata moja..otherwise maneno mengi wala haisaidii

kipindi cha nyuma tulizimwa humu kwamba VVD hakuna kitu mpaka aje ashinde Kombe,...sasa Ma Kombe anayo tena kubwa lao UCL na Super Cup kaenda mbali zaidi kapata Mchezaji bora wa Europe..sasa hoja wapinzani wetu wamehamia kwenye clean sheets msimu huu, bila kusoma ubao wa pointi

Msimu uliopita tulipata clean 21 na bado tukaukosa ubingwa, hapa ishu kuu sio clean sheets mbali ubao wa pointi unasoma vipi..

kwa mfano De Gea ana clean sheet 2 msimu huu na Adrian ana clean sheet 1 sasa njoo kwenye pointi msimamo wa EPL Liverpool tupo na point 15 huku Manu wenye clean sheet nyingi wana pointi 8..

Kinachohitajika ni ushindi tu na kupata pointi 3 muhimu...
 
Maguire tatizo hana speed tu ila naona kama ni mzuri kuliko Matip
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom