Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Maguire tatizo hana speed tu ila naona kama ni mzuri kuliko Matip

Matip ni Genius kwenye kuplay ball na kupiga Pasi.

Pia anauwezo Mkubwa sana wa kuanzisha Mashambulizi

Na Ndiyomana (Kwa uoni wangu) Matip anakaba lakini kwenye kuplay mpira, kupiga pasi na kupenetrate from defence line na kuunganisha mashambulizi yanayotokea Nyuma basi Matip ni bora kuliko VVD (Of course wote VVD na MATIP ni wazuri) but Matip yupo bora zaidi.

Na Ndiyomana Napenda sana kuiona Combi ya MATIP-VVD kuliko GOMEZ-VVD coz VVD anakaba (Yupo bora zaidi kuliko Matip), Naye MATIP anaiunganisha Mido/Washambuliaji kutoka kwenye Defence kwa kutuliza na kuucheza mpira na kupiga pasi ndefu kwenda mbele (Yupo bora kuliko VVD), hata Matip akikokoto mpira basi unamkuta anapenetrate mpaka kukaribia Box la opponents jambo ambalo ni Mabeki wachache mno (Kama wapo) ndiyo wenye uwezo wa kufanya hivyo.
 
Ollachuga Oc mtulie sidano iingie haha...huyu VVD anawatesa sana wapinzani....hakika sis mashibiki wa Majogoo ni zamu yetu...

wewe hangaika na Zuma huyu tuachieni sisi...

Jumapili naja mazima kuchukua pointi hapo hapo Darajani...
Una kipa Adriana una beki Vvd unategemea kuchukua point apo darajani!! Iyo gemu mukikaza sana basi ni draw ...

Kila la kheri Chelsea
 
Mkuu kama huwa unasoma coments mbili tatu ninazowekaga mimi (nafahamu huwa unasoma) huwa si mtu wa kulaumu laumu wachezaji wetu au hata makocha, ninafanya hivyo mchezaji anapokubuhu kufanya makosa na kutoheshimu badge (najua wewe huwa unawalaumu sana hata Klop huwa unalaumu)

Mfano mzuri Jose pamoja na mapungufu yake nilikuwa namheshimu kwa kile kidogo alichofanya United, japo nilikuwa namkosoa respectifully pale anapozingua. Kwa sasa kuna watu wanahoji uwezo wa OGS mapema yote, wakati ndio kocha wetu aliyopo na kuna vitu positive tunaona anavifanya. Kitu kikubwa kwangu mchezaji asifanye makosa makubwa yazidi vitu vizuri anavyovifanya (hapo nitakosoa)

Nafahamu Maquire hawezi kuwa perfect 100‰, lakini kuna kipindi kops mlitaka kutuaminisha kwamba VVD huwa ni perfect player. Na hata hapo umesema anaweza kufanya kosa moja, sidhani kama ni perfect kiivyo, point ya msingi makosa yasi over shadow mazuri

Umenihakikishia kwamba tutamkataa Maquire kwa kufanya makosa uwanjani, na mimi nikuhakikishie hatutamkataa kwa hilo.

Mwisho wa siku Maquire akikosea mtamzodoa na mtatukumbusha bei aliyonunuliwa nayo. Sasa kwanini mkuu na sisi tusimponde VVD akizingua (after all ndio upinzani na ushabiki huo) Mfano mechi ya Newcastle alinipigia pasi hiyo hata sijui ilikuwa inaenda wapi.

Nikuhakikishie tu as long as VVD anaendelea kucheza soka, kuna siku atazingua tu, na Maquire hana Kinga ya hilo, lakini kwangu nakubali changu, namkubali Maquire ni best center half available in EPL. Koullibally ni best center half available in Seria A

Mwisho mkuu, sometime huwa tunakosea ku generalize kama kuna mashabiki kadhaa wa United wamemponda Koullibaly, si wote. Nyie wenyewe humu nawaona mnatofautiana kuhusu Klop, Hendo n.k
Nilijaribu kupitia kwenye Uzi wenu baada ya Mechi ya Juventus vs Napoli ambayo Koulibaly alijifunga! Nilichokikuta ni kwamba Mashabiki wa Man United walikuwa Wakitiririka kwa kumponda Koulibaly kwamba sio baki wakafika hadi kumfananisha na Smalling!

Sababu nikagundua ni moja tu ambayo Man United tokea wampate Maguire basi Mabeki wote waliobakia Duniani ni Wabovu! Yani kwenye ulimwengu wa sasa wa Soka munapata ujasiri wa kumpota Koulibaly????

Turudi kwa VVD...

Ni kweli Juzi alifanya Blunder iliyopelekea goli lakini you know why tumenyamaza hatumlaumu?

Ni kwasababu tunatofautisha One error dhidi ya error prone.

VVD anawezafanya only one mistake kwenye Msimu mzima in all competitions, kwahiyo hapo tutamuhesabu yeye ni human being hawezi kukwepa kukosea. Na hakuna beki yeyote duniani hata awe bora kiasi gani ambaye anacheza Msimu mzima bila ya error leading to goal..
Kama yupo nieleweshe.

Lakini Mkuu Lovren ni error prone ambaye anajuilikana kama Mzee wa accident waiting to happen.
Kwenye kila mechi anayocheza lazima atafanya error tu! Sasa beki kama huyu lazima angelifanya yeye kwenye ile game ya juzi basi tungemshambulia mwanzo mwisho coz tusingeona ni bahati mbaya Bali ni kawaida yake.

Lakini wakati muna Maguire najua mutazidi kusema VVD si beki.

Lakini nawahakikishia tu kuhusu huyo Maguire wenu ni Only Matter of Time kabla ya kuanza kumkataa kwenye Uzi wenu.

Narudia tena kwa ufasaha nikwamba! "Ni suala la Muda tu lakini mutakuja kumkataa Maguire".
 
Upo vizuri Mkuu
sahihi kabisa ndugu...

Pogba kuna wakati anazingua anafanya makosa ya ajabu ambayo sio level yake..mpira ni mchezo wa makosa kutumika kuumizwa mshindani wako akilitumia vzuri hilo kosa..kosa la VVD na Robbo limetu cost goli Naples..

ubora wa mchezaji haumwodolei kinga ya kufanya makosa ishu inakua pale yanajirudia mara kwa mara kama alivyo Lovren..
 
Naby Keita back in training, Alisson Becker making "big progress" says Klopp. Origi will be assessed "day by day."
Screenshot_20190920-133951.jpeg
 
Matip ni Genius kwenye kuplay ball na kupiga Pasi.

Pia anauwezo Mkubwa sana wa kuanzisha Mashambulizi

Na Ndiyomana (Kwa uoni wangu) Matip anakaba lakini kwenye kuplay mpira, kupiga pasi na kupenetrate from defence line na kuunganisha mashambulizi yanayotokea Nyuma basi Matip ni bora kuliko VVD (Of course wote VVD na MATIP ni wazuri) but Matip yupo bora zaidi.

Na Ndiyomana Napenda sana kuiona Combi ya MATIP-VVD kuliko GOMEZ-VVD coz VVD anakaba (Yupo bora zaidi kuliko Matip), Naye MATIP anaiunganisha Mido/Washambuliaji kutoka kwenye Defence kwa kutuliza na kuucheza mpira na kupiga pasi ndefu kwenda mbele (Yupo bora kuliko VVD), hata Matip akikokoto mpira basi unamkuta anapenetrate mpaka kukaribia Box la opponents jambo ambalo ni Mabeki wachache mno (Kama wapo) ndiyo wenye uwezo wa kufanya hivyo.
Ila hili jamaa Matip limenoga sasa hivi , linacheza vizuri lina win aerial duel , linapiga pass za mashambulizi vzr , limemnyang'anya namba Gomez kirahisi sana.
 
Lakin mkuu VVD sioni kama ana tofauti sana na Zouma, Sema labda experience tu na ilikuwa ni wakati wake wa kushine ..mim naona radika yupo sawa tu ..magwaya is better so far than VVD ..

VVD wa msim uliopita ni tofauti sana na msimu huu..kiwango chako kinazidi kushuka taratibu..

Uwepo wa Allison unaficha makosa mengi ya VVD

Najua mutabisha lakini VVD time will tell..

Kila la kheri Chelsea
hivi nyie washangiliaji wa kwasukwasu fc ya london muna nini lakini?sasa hapo katika red ndio umeandika kitu gani?si ndio nyie ambao mlikuwa mnampambanisha Allison na Kepa na kusema Kepa ni bora kuliko Allison kwa hoja kuwa Allison analindwa zaidi na backline yake......alafu leo mnamfananisha Virgl na Zouma sasa mbona huyo Zouma hamlindi Kepa asitobolewe na kina Rodrigo hahahahahaha

au ndio viceversa is true?
 
Matip ni Genius kwenye kuplay ball na kupiga Pasi.

Pia anauwezo Mkubwa sana wa kuanzisha Mashambulizi

Na Ndiyomana (Kwa uoni wangu) Matip anakaba lakini kwenye kuplay mpira, kupiga pasi na kupenetrate from defence line na kuunganisha mashambulizi yanayotokea Nyuma basi Matip ni bora kuliko VVD (Of course wote VVD na MATIP ni wazuri) but Matip yupo bora zaidi.

Na Ndiyomana Napenda sana kuiona Combi ya MATIP-VVD kuliko GOMEZ-VVD coz VVD anakaba (Yupo bora zaidi kuliko Matip), Naye MATIP anaiunganisha Mido/Washambuliaji kutoka kwenye Defence kwa kutuliza na kuucheza mpira na kupiga pasi ndefu kwenda mbele (Yupo bora kuliko VVD), hata Matip akikokoto mpira basi unamkuta anapenetrate mpaka kukaribia Box la opponents jambo ambalo ni Mabeki wachache mno (Kama wapo) ndiyo wenye uwezo wa kufanya hivyo.
Matip sio beki makini ndugu yangu, anajitahidi kuimprove lakini bado sana
 
lakini kwangu nakubali changu, namkubali Maquire ni best center half available in EPL.

Kama nipo sahihi Maguire tokea mumsajili hauzidi mwezi mmoja mpaka sasa!

Sasa mwezi mmoja umekutosheleza kumclassify Maguire ni best CB in EPL ahead of VVD and Laporte?

Hapo umeongea kishabiki Mkuu japo ni Maoni yako na nayahishimu.

Hizo ni sifa za Mashabiki wa Chelsea kuweza kusifia Timu/Wachezaji wao kwa ushindi wa Mechi moja tu kama wanavyomtangaza na kumbatiza Abrahama kuwa ni New Drogba.

Nakushairi kuwa mpe muda kwanza Maguire wa japo msimu mmoja aweze kuprove himself ubora wake wa kuwa ni World Class au even ni best Centre Back in EPL.

Hawa Laporte na VVD wameshaprove kuwa ni Best Centre Back and World Class.

Ukweli kwasasa namba zipo hivi

1) VVD/Laporte - World Class
2) VVD/Laporte - World Class
3) Rudiger - Normal Class
4) Maguire (Needs to prove his class first)

VVD, Laporte na Ridiger tayari wameshaprove ubora wao

Na namba moja na mbili nimewaweka wote wawili (VVD na Laporte) kwasababu kulingana na Maoni yangu mwenyewe sijui ni yupi bora hapo kuliko mwenzake! Naona wote ni bora simjui nani zaidi.
 
Matip sio beki makini ndugu yangu, anajitahidi kuimprove lakini bado sana

Ndiyomana kukabuniwa Msamiati unaitwa "MAONI" kwasababu kama hizi.

Kulingana na Maoni/Mtazamo wa Mourinho Robben hakuwa mchezaji wa maana, Lakini kulingana na Maoni ya LVG Robben ni one of the Best player in last Two decades.
Kama hao Magwiji wawili katika ukocha wametofautiana Mtazamo juu ya mchezaji mmoja basi hakuna sababu ya kuwa Mimi na wewe tusitofautiane kwa mchezaji mwengine mmoja as long as tutaheshimiana kwenye kutoa Maoni yetu.

Kwa uwezo wangu hata kama ni mdogo wa kutazama mpira basi nasema popote kuwa Matip ni miongoni mwa mabeki bora japo hajafikia level za kina VVD.

Mimi Beki ninampima kwa Vitu viwili tu!

1) Uwezo wake wa kukaba
2) Kutokuwa na error prone zinazoleading to goal

Sasa Matip tumchambue katika mambo hayo Mawili!

1) Je ni error prone?
2) Je from last season to this season amefanya error ngapi zilizopelekea goli?
3) Amekuwa mzembe kwenye kukaba au anashindwa kabisa kukaba kwenye Defence?
4) Naomba mifano ya hizo mechi ambazo utazijibia hayo maswali.

Nadhani ukijibu hayo maswali ndiyo yatatupa picha kuwa Matip ni beki wa aina gani.

Lakini tukiendelea kusema/kuamini tu kuwa Matip ni beki mbovu bila ya kuthibitisha huo ubovu wake na kwa Mechi zipi! Hapo itakuwa tunazungumzia ubovu wa kinadharia.

Kwamfano Mimi ukinihoji kwanini ninasema Hendo mbovu?
Nitakujibu kuwa Hendo ni Attacking Midfielder (AM)

Kwahiyo AM ninampima kwa mambo hayo.

1) Assists
2) Goals
3) Take on
4) Touch
5) Passes complete
6) Dribbling

Sasa kama Ndani ya Msimu mzima hafiki ata Assists 7 wakati Beki TAA ana 13 hapo nitamuelewaje?
Nikitazama Wachezaji wa Kawaida tu kina Fraser wana takriba Assists 15 kwenye EPL tu, yeye kwenye all competitions hafikishi hata assists 7 halafu mtu aniambie ni Mzuri kwasababu akiwa hana mpira ni Mkali?

AM hafikishi hata Goli 5 per season in all competitions?

AM hawezi hata kukokota mpira na kudrible?

Kwahiyo nakuomba ujenge hoja kwa mifano juu ya ubovu wa Matip na si kushikilia misimamo tu kuwa Matip ni Mbovu.
 
Ww jamaa unajua sana kujenga hoja
 
Mkuu kama huwa unasoma coments mbili tatu ninazowekaga mimi (nafahamu huwa unasoma) huwa si mtu wa kulaumu laumu wachezaji wetu au hata makocha, ninafanya hivyo mchezaji anapokubuhu kufanya makosa na kutoheshimu badge (najua wewe huwa unawalaumu sana hata Klop huwa unalaumu)

Mfano mzuri Jose pamoja na mapungufu yake nilikuwa namheshimu kwa kile kidogo alichofanya United, japo nilikuwa namkosoa respectifully pale anapozingua. Kwa sasa kuna watu wanahoji uwezo wa OGS mapema yote, wakati ndio kocha wetu aliyopo na kuna vitu positive tunaona anavifanya. Kitu kikubwa kwangu mchezaji asifanye makosa makubwa yazidi vitu vizuri anavyovifanya (hapo nitakosoa)

Nafahamu Maquire hawezi kuwa perfect 100‰, lakini kuna kipindi kops mlitaka kutuaminisha kwamba VVD huwa ni perfect player. Na hata hapo umesema anaweza kufanya kosa moja, sidhani kama ni perfect kiivyo, point ya msingi makosa yasi over shadow mazuri

Umenihakikishia kwamba tutamkataa Maquire kwa kufanya makosa uwanjani, na mimi nikuhakikishie hatutamkataa kwa hilo.

Mwisho wa siku Maquire akikosea mtamzodoa na mtatukumbusha bei aliyonunuliwa nayo. Sasa kwanini mkuu na sisi tusimponde VVD akizingua (after all ndio upinzani na ushabiki huo) Mfano mechi ya Newcastle alinipigia pasi hiyo hata sijui ilikuwa inaenda wapi.

Nikuhakikishie tu as long as VVD anaendelea kucheza soka, kuna siku atazingua tu, na Maquire hana Kinga ya hilo, lakini kwangu nakubali changu, namkubali Maquire ni best center half available in EPL. Koullibally ni best center half available in Seria A

Mwisho mkuu, sometime huwa tunakosea ku generalize kama kuna mashabiki kadhaa wa United wamemponda Koullibaly, si wote. Nyie wenyewe humu nawaona mnatofautiana kuhusu Klop, Hendo n.k

Well said Mc cane....

Human is to mistakes and we all make them and this players are all human beings sio machines or robots

na hata Makocha pia hufanya mistakes, tuliona fainali ya Super Cup Klopp alimuacha benchi Bobby na timu hai ku click kabisa mpaka alivyoingia ndio uhai ukapatikana na hatimae kutoa assist mbili za nguvu...

ishu ya Hendo kwangu simkumbali kamwe sio ishu ya kipi amesaidia au ya badge mbali mpaka sasa sijawai kuelewa seriously ni kipi Klopp huona kwa huyu jamaa maana hata Keita, Gini, Fabby, Ox, Shaqir wawe wazima bado Klopp anakomaa na jamaa...pengine kuna siku Klopp atafunguka in depth why anamchagua above all those Mdfs, sababu huyu jamaa kwenda mbele hana assist hata 5 msimu mzima haya kurudi defending nako sidhani kama ana proper tackle hata 8 msimu mzima...sasa najiuliza anacho offer in terms of scoring,interception, tackling, assist nk..

Ole bado anahitaji angalau dirisha zingine mbili za usajili, Klopp vile vile alichukua hiki kikosi tukiwa na straika Benteke, Baloteli, Markovic n.k imemchukua miaka 3 kupata kikosi chake alichokihitaji...Ole naamini with the right resources na asikomae na na hawa natives basi atafanya vyema sana msimu ujao..

Maguire and his Crew bado ni ma amateurs just like VVD alivyokua Jan 2019...sasa kazi kwao wapambane angalau wapate makombe nao waingie kwenye kundi la Champions..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom