kapambana sana tu bila yeye pengine yangekua zaidi ya hayo mawilivipi leo pamoja na umiliki wa namba kafanyaje?
na nimeshafika mkuu sio vitakujaDah vitakuja humu kuongea
Shit ....
Wewe binti upo!?Utaumbuka
na mwaka jana pia waliwapigaNAPOLI Hatuwawezi huo ndio ukweli Pre season wametupiga na Leo kwenye UCL wametupiga tena.
Wewe nenda kwenye genge lenu la MATAPUTAPU FC huku haupawezi.Akifungwa mashabiki bana
Tatizo wewe jamaa unapenda sana mipasho mipasho,unapenda vimaneno vya umalaya umalaya,Acha mambo ya ovyo usijifanye una Hati miliki ya kuishabikia Liverpool.
We unataka angeanza nani game kama ya leo Vs Napoli pale katibidii ziko wapi?
Leo utalala na Furaha sana.Hawa wana malengo nao,hii ndoa imeshatangazwa 😂😂😂
he is the best back up keeper to play for us for the past seasons....Nilijua tu hii game itatupa challenge kubwa sana....
Yaan mpaka tumemsahau Adrian bana dah so sad...hasa hasa goli la 2..jepesi sana![]()
Hapana walituzid hata sub alizoziweka ni plan B pia..ila alifeli tu kwa leoMr Klopp hana plan B kwa timu za aina ya Napoli
Ni mtazamo wangu Mimi tu.
haha we are square sasa wekedi naeda kwake kutonesha kidonda...Uzuri Chelsea na yy kalambwa
Ila chelsea kachepuka kwenye kitanda cha mumewe leo kapewa mimba alafu katolokwa, mapenzi ya wizi mabaya sana yaani bao moja tuu mimba.Chelsea hapati ushindi leo labda ushindi sabuni ya kufulia maana ina povu la kutosha.... niongeze sauti?
tell herTatizo wewe jamaa unapenda sana mipasho mipasho,unapenda vimaneno vya umalaya umalaya,Acha mambo ya ovyo usijifanye una Hati miliki ya kuishabikia Liverpool.
ata lalalana tuWe unataka angeanza nani game kama ya leo Vs Napoli pale kati
Ameshinda ngapiMbona game iko wazi kabsa Chelsea ashashinda
ImeishajeChelsea inasinda mapema sana hii game