Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,860
- 89,767
Hawa wana malengo nao,hii ndoa imeshatangazwa 😂😂😂Hivi hawa NAPOLI wana mpango kweli wa kuwaoa ndugu zetu, au wanataka kuwachezea tu?![]()
Hawa wana malengo nao,hii ndoa imeshatangazwa 😂😂😂Hivi hawa NAPOLI wana mpango kweli wa kuwaoa ndugu zetu, au wanataka kuwachezea tu?![]()
Hahahah kuna Liverpool pep tena ?Tumepoteza ugenini na Naples
Hakuna haja ya kuanza kutukana kocha na wachezaji
Liverpool HALISI waachieni hiyo kazi ya matusi hao Liverpool-Pep wenye hasira na Norwich!
We stand pamoja,Liverpool hii game haina madhara yyt kwenda playoffs.
Mbona una hasira ,tuliza munkariAcha unabii uchwara wewe kama unataka umaarufu wa Nabii Tito hauji kwa kulazimisha![]()
Mimi nilishaonya hapa Naples sio watu wazuriTumepoteza ugenini na Naples
Hakuna haja ya kuanza kutukana kocha na wachezaji
Liverpool HALISI waachieni hiyo kazi ya matusi hao Liverpool-Pep wenye hasira na Norwich!
We stand pamoja,Liverpool hii game haina madhara yyt kwenda playoffs.

Bora mi mwenye hasira zitaisha kuliko wewe u ayejipigaga ban jumlaMbona una hasira ,tuliza munkari

ni wepesi,wanajua wapi wasimame kuzuia mashambulizi, hawapoteani uwanjani ovyo, wakishambulia wanaacheza kama 3 nyuma na 4 kati....Hawa jamaaa Hawa! Ninawaogopa.
kapigwa 2 bilaMwanangu ukishasema tunashinda ndo tunafungwa ..ila ngoja tuone labda leo unaeza patia ..
Kila la kheri Chelsea![]()
bidii ziko wapi?No other options Mi naikubali bidii yao kwenye kutafuta mipira japo Napoli wanatujulia pale kati nakumbuka hata huyo fabinho game ya msimu uliopita na Hawa Hawa Napoli away alichemka vibaya sana lakini leo tunaonekana tumo nafasi zimetengenezwa tumeona na bidii ipo na kila mtu akitimiza kazi yake ipasavyo tunashinda ...
ndio mpira ulivyo ndugu...unapigwa leo unarudi kujipanga upya kupambana siku nyingine...Pole mkubwa mwenzangu kwa kupoteza.
Sisi wakubwa leo tumepigwa
Kila la kheri Chelsea![]()
bado dakiki ya 70 mnaweza kushindaAngalia goli alilokosa Mane angalia pasi ngap zinamfikia Salah anafanya Nini na Yuko position gani na zinatoka kwan Nani tazama vizuri
Kwahiyo hapa unachat na mzimu?Bora mi mwenye hasira zitaisha kuliko wewe u ayejipigaga ban jumla![]()
vipi leo pamoja na umiliki wa namba kafanyaje?kipindi kile Fabby alikua haja settle na kupata umiliki wa namba...
ila duhhh Adriana amekua msaada sana kwetu..
Here we go 2nd round
Mr Klopp hana plan B kwa timu za aina ya Napoli
Ni mtazamo wangu Mimi tu.
hana wachezaji wa Plan B wala C...kwa matokeo kama haya ndio utaona Keita akiwaishwa kurudi uwanjani...Mr Klopp hana plan B kwa timu za aina ya Napoli
Ni mtazamo wangu Mimi tu.
mbona Livescore naona mbili uku mkuuTumepigwa moja
Tatizo wewe jamaa unapenda sana mipasho mipasho,unapenda vimaneno vya umalaya umalaya,Acha mambo ya ovyo usijifanye una Hati miliki ya kuishabikia Liverpool.Tumepoteza ugenini na Naples