Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamaa wanawasumbuaga sana ,sijui kwann
Mkuu ilipotoka draw tu nikawaona Napoli nilihesabu palepale tumeshapoteza mechi ya kwanza Away,Manager wao ,Players walionao,na Style ya uchezaji wao ni kama ya kwetu hatutofautiani kabisa.
 
Tumepoteza ugenini na Naples
Hakuna haja ya kuanza kutukana kocha na wachezaji
Liverpool HALISI waachieni hiyo kazi ya matusi hao Liverpool-Pep wenye hasira na Norwich!
We stand pamoja,Liverpool hii game haina madhara yyt kwenda playoffs.
 
Mkuu ilipotoka draw tu nikawaona Napoli nilihesabu palepale tumeshapoteza mechi ya kwanza Away,Manager wao ,Players walionao,na Style ya uchezaji wao ni kama ya kwetu hatutofautiani kabisa.
Bakelele alichotufanyia Chelsea kwa penati aliyopiga haitofautiani kabisa na ujinga wa Pogba
 
Hivi hawa NAPOLI wana mpango kweli wa kuwaoa ndugu zetu, au wanataka kuwachezea tu?
Hilo kundi lina vichaa watupu, kasoro Genk mgawa point, ndio atawaachia msala wenzake , atakayeteleza kati ya Liverpool ,Napoli au RB tunampokea Europa ,

Hili kundi halina tofauti na kund lao mwakajana , game ya mwisho save ya Allison ndio inawapeleka round of 16
 
Acha unabii uchwara wewe kama unataka umaarufu wa Nabii Tito hauji kwa kulazimisha
Hilo kundi lina vichaa watupu, kasoro Genk mgawa point, ndio atawaachia msala wenzake , atakayeteleza kati ya Liverpool ,Napoli au RB tunampokea Europa ,

Hili kundi halina tofauti na kund lao mwakajana , game ya mwisho save ya Allison ndio inawapeleka round of 16
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom