TAA Kuna muda anajisahau kukaba Milner anaweza kuwa back up nzuri...la sivyo Gomez akipige..TAA & Milner bench..Napoli pembeni wako vizuri kushambulia
Mkuu Gomez huyu wa sasa siye wa last season.
Kwa Gomez huyu basi TAA >>>>>>>>>> Gomez
Gomez hawezi kuwa hata mbele ya Matip kwasasa! Kwahiyo na vilevile hawezi kuwa Mbele ya TAA.
Hata last season alipokuwa mzima Gomez alikuwa mzuri kwenye Kukaba tu! Lakini kwenye kushambulia sio mzuri sana! Wakati TAA kwenye kukaba sio mzuri lakini kwenye kushambulia yupo vizuri kuliko Baki 2 yeyote yule Duniani kwa muda huu.
Na kumbuka kuwa kutokana na kuwa na Fake Mido / Yes ninaiita Fake kwasababu ni Kombi ya Mido pekee duniani ambayo ukiwaunganisha kwa pamoja (Gini-Hendo-Fabi) hawafikishi Assists 10 wala Goli 10 in all competitions jambo ambalo ni Wonder of the Century....
Mido mmoja tu (AM) anatakiwa kwa Msimu mmoja amalize na 10+ assists with 10+ goals in all competitions. Sasa sisi uwachukue Mido wetu wote watatu combined hawafikishi assists 10 na goli 5 per season! Kwanini nisiwaite Fake Midos???
AM wetu ni Hendo sikumbuki kufika 5 assists au 5 goals katika season yoyote ile (Kama ipo nakubali kukumbushwa).
Kwahiyo hatutegemei Mido kwenye Kutengeneza Nafasi bali tunategemea Mabeki wa Pembeni (TAA & ROBBO) na Mabeki wa Kati Hasa MATIP yupo vizuri kwenye kuanzisha mashambulizi! Kwahiyo haitowezekana Kumueka Bench TAA kwa reason yoyote ile kwani Ndiye tunayemtegemea kwa asilimia zaidi ya 70% kwenye kutengeneza Nafasi na Kuassists Mafoward wetu.
Milner amekwisha hawezi kabisa kuendana na Pace ya Vijana! So, kumieka Beki wa Pembeni ni kujirisk tu pale anapokutana na Winger mwenye Pace.
Ni bora awe sabu tu kwenye Midfield