Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Napoli wanaonekana kwenye Midfield tu ambapo wametawala kwa 100%

Lakini tukiwadhibiti kwenye Mido basi tunamaliza kazi
 
Nisaidie Mkuu ni msaada gani wanaotupatia?
Au ndiyo Yale wazuri wakiwa hawana Mpira?
Ndio wanacover nafasi jamani watu Napoli wangetumaliza ...hebu niambia atoke Milner Hendo aingie Nani wa kuicheza hii game Yani aimalize salama
 
Ndio wanacover nafasi jamani watu Napoli wangetumaliza ...hebu niambia atoke Milner Hendo aingie Nani wa kuicheza hii game Yani aimalize salama

Kwahiyo better to play kwa Mentality ya Kudefend instead of attack attack attack?
 
hahaha mkuu una roho ngumu...salute you comrade in what you believe and see in Hendo...

good thing is we all want what the best for this great TEAM...
No other options Mi naikubali bidii yao kwenye kutafuta mipira japo Napoli wanatujulia pale kati nakumbuka hata huyo fabinho game ya msimu uliopita na Hawa Hawa Napoli away alichemka vibaya sana lakini leo tunaonekana tumo nafasi zimetengenezwa tumeona na bidii ipo na kila mtu akitimiza kazi yake ipasavyo tunashinda ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom