Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hawa watafanya grupu lenu liamuliwe mech za mwisho kama msimu uliopita ,maana watagawa point 6 kwa kila mtuSamatta wameshapigwa 5 wakati ndiyokwanza HT
Hawa watafanya grupu lenu liamuliwe mech za mwisho kama msimu uliopita ,maana watagawa point 6 kwa kila mtuSamatta wameshapigwa 5 wakati ndiyokwanza HT
Wale jamaa kwao ni hatari sana si wazuri wanaweza kupiga mtu 7 leoSamatta wameshapigwa 5 wakati ndiyokwanza HT
Angalia goli alilokosa Mane angalia pasi ngap zinamfikia Salah anafanya Nini na Yuko position gani na zinatoka kwan Nani tazama vizuriNafasi tumetengeneza kutoka Fullbacks kama kawaida yetu, No from Midfield
kipindi kile Fabby alikua haja settle na kupata umiliki wa namba...No other options Mi naikubali bidii yao kwenye kutafuta mipira japo Napoli wanatujulia pale kati nakumbuka hata huyo fabinho game ya msimu uliopita na Hawa Hawa Napoli away alichemka vibaya sana lakini leo tunaonekana tumo nafasi zimetengenezwa tumeona na bidii ipo na kila mtu akitimiza kazi yake ipasavyo tunashinda ...
Adrian nakuandalia Dada yangu
aaa jamaa binafsi sikutarajia atakua na kiwango hiki...Leo kakugusa, kuna save kadhaa alizifanya nikampasisha.
Sina wasiwasi naye kabisa.
Huyu aliyewapiga 3 alifunga goli 9 mechi 1, kwenye under 20 Norway against HundorasWale jamaa kwao ni hatari sana si wazuri wanaweza kupiga mtu 7 leo
Dah Ali Becker naanza kumsahau sijaamini nachokionaThat is Adrian!
I told you guys.
Diiih tumuombee samatta jaman wasije aibika jamanHuyu aliyewapiga 3 alifunga goli 9 mechi 1, kwenye under 20 Norway against Hundoras
Alichokifanya ni kawaida ya strikers wote tatizo linakuja yakiwa mazoeaNilipokuwa namtetea Salah nilijuwa Makosa mchezoni kila Mtu anafanya
Nadhani mumekiona alichokifanya Mane
Dah Ali Becker naanza kumsahau sijaamini nachokiona
Hii VAR ni upumbavu kama upumbavu mwengine tu! TAA kanawa na Refa kapotezea hana haja ya VAR
Anyway haya ni maamuzi ya kutufavour sisi
Kuan chandimu huku kitaa kuna jamaa alshika wakaktaa kuangalia VarNahisi ile sheria mpya wameamua kuikaukia, hata game ya City Vs Norwich kuna Man City alishika wakakausha.
Marefa wenyewe wamenogewa na game acha tukipige kavu kavuHii VAR ni upumbavu kama upumbavu mwengine tu! TAA kanawa na Refa kapotezea hana haja ya VAR
Anyway haya ni maamuzi ya kutufavour sisi