Ndio wanacover nafasi jamani watu Napoli wangetumaliza ...hebu niambia atoke Milner Hendo aingie Nani wa kuicheza hii game Yani aimalize salama
Kweli naona Adrian anajiamini sana sahiv hana makosa ya kizembeUnakumbuka juzi nakuuliza Alison wa nini?
Yap na uzuri isigne na lazano wametolewa so beki at least zinarelax ...bado martensAnaehusika kuingia tayari ameshaingia uwanjani
Ni GINI WIJNALDUM
Hendo yupo anacover freshAnaehusika kuingia tayari ameshaingia uwanjani
Ni GINI WIJNALDUM
Duuuu!Tumepigwa moja
Hahahahahahahahah kama kuna mechi ambayo nilikuwa naamini hatushindi ni hii Pole sana mkuuUsingizi hauji
Asante mkuuHahahahahahahahah kama kuna mechi ambayo nilikuwa naamini hatushindi ni hii Pole sana mkuu