Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 13,576
- 28,546
jamani jamani kumbe ilikua 'kweli' baadhi ya mashabiki wa Nando kusema Drogba alikua anamroga pale Chelsea....Jamaa alisha komplain kua hana mahusiano mazuri na baadhi ya ndugu zake huku afrika na wanamroga, i dont want make you to believe it or not lakini alishasema kua anarogwa na na baadhi ya ndugu zake baada ya kusajiliwa liverpool
Jamaa alisha komplain kua hana mahusiano mazuri na baadhi ya ndugu zake huku afrika na wanamroga, i dont want make you to believe it or not lakini alishasema kua anarogwa na na baadhi ya ndugu zake baada ya kusajiliwa liverpool
Lol bora EPL imerejea upya na pazuri tupo nyumbani sitarajii the international break hangover iwepo kabisaaaa....Saturday 14
Liverpool – Newcastle
Time: 14:30
Venue: Anfield
Result: Liverpool WIN
wale mnaotaka jiunga premierbet online click linnk hyo chini
Tunahitaji point 3 tu kutoka kwa Newcastle leo na sio vinginevyo.
Lol bora EPL imerejea upya na pazuri tupo nyumbani sitarajii the international break hangover iwepo kabisaaaa....
tunahitaji kujikusanyia pointi nyingi mapema tu....
Liverpool tulimtaka Draxler akaona bora aende PSG! Sasahivi hajuilikani tena wakati angelikuja Liverpool sasahivi angelikuwa ni New Coutinho na Engine kwenye Midfield.
Hahaha Adrian ana mikwala sana Kama p.reina yule jamaa kismati kimemtembelea vizuri ...unashangaa anatoboa uzeeni kama babu wa loliondo...kweli kwenye maisha hakuna kukata tamaa.Hutaki tena Clean Sheet? Ha ha ha ha ha
Adrian anaweza kupiga clean sheet ya kibabe Mkuu
Watu kama hao wakiamua kuja wanajikuta wanasugua benchi kama shakiri ..sijui ilikuaje akaichegua stoke Kipindi kile..Madogo sometime wanakuwa na Tamaa na Kikosha ushauri Mzuri unaochangiwa na Mawakala wao wanaposikia Majina Makubwa kama Barcelona, PSG na Juventus.
Hivi munawakumbuka hawa Madogo walivyokuwa na Bright Future za kuja kuwa World Class na Most talented Young boys kwenye hii Syari?
1) Draxler (move to PSG)
2) Malcolm (move to Barca)
3) De Jong (move to Barca)
4) De Ligt (move to Juventus)
Sasahivi wameshasahaulika kama Wanaexist katika hii sayari na ulimwengu wa Football.
Vijana hawa Walitakiwa na Timu mbalambali Kubwa za Ulaya ambazo wangeliweza kuingia moja kwa moja kwenye kwenye kikosi cha kwanza lakini wakajiona wakienda kwenye Timu walizozichagua watapata hela nyingi zaidi (Crazy Salaries) na watakuwa na Majina makubwa zaidi ya Waliyonayo.
Liverpool tulimtaka Draxler akaona bora aende PSG! Sasahivi hajuilikani tena wakati angelikuja Liverpool sasahivi angelikuwa ni New Coutinho na Engine kwenye Midfield.
Mpaka sasa ni dk ya 21 hatujapiga hata shoot 1. Hatujacreat nafasi hata 1. Nachokiona hapa ni kile kilichowapata spurs. Jamaa wanadefend kwa nidhamu ya hali ya juu.Tumepumuliwa kimoja huko mnaocheki gemu timu ina muunganiko kweli Au Leo tujiandae kisaikolojia kwa lolote