Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ilianza kwa Bobby Duncan, Sasahivi ni kwa Ryan Kent kulalamika.

Kwanini madogo sasahivi wanatulalamikia? Kuna kitu gani behind the scene tunachowafanyia hawa Madogo?
Mkuu namba kupata ngumu sahivi hata carabao cup hawawezi kupangwa..huyo Duncan mwache atafute challenge kwengine ...japo ryan Kent ana kipaji ila sio dogo anahitaji kukipiga zaidi....Yuko na Gerrard sio mbaya....yaani aachwe kuanza Origi awekwe Duncan ,ye alalamike na H.Wilson je!?...mbona glatzel kaongeza mkataba.
 
Ilianza kwa Bobby Duncan, Sasahivi ni kwa Ryan Kent kulalamika.

Kwanini madogo sasahivi wanatulalamikia? Kuna kitu gani behind the scene tunachowafanyia hawa Madogo?
wanavyokua wanasaini mikataba wanapewa na ahadi pia watacheza kikosi cha kwanza...lakini pia ushauri kutoka kwa mawakala na watu wa karibu nalo ni janga kwa hawa makinda

kwa ushindani uliopo wanaishia kucheza kikosi cha kwanza pre season tu na sio EPL matokea yake zinatokea timu zinawahitaji na huku bado tunawakomolia wasaini long term contract ili wasiodoke na wenyewe hawataki kucheza under23 tena mbali wanataka wawe kikosi cha kwanza na Klopp hapo anakua hana namna zaidi ya kuwaachia wasepe zao...

tazama walivyoodoka Camacho, Suso, Ryn, Duncan nk
 
sijui lile HUG la Klopp lina effect kwa hawa wachezaji japo sio wote wapo waliobakia alipowakuta akina Hendo, Lovren, Lallana nk hawakuedelewa wame stuck kabisaaaa...

otherwise wengi wao wamekua moto wanaelewa somo nini wafanye na wakati gani wafanye, ni total game awareness, ufundishangi wa Klopp upo tofauti sana ndio hilo la kuwaona kama wachezaji wengine anaonunua ni wa kawaida lakini akishm profile mchezaji basi kinachofuata ni kum accomodate kikosini ili afit kwenye system...

ukiangalia namna alivyosuka hiki kikosi cha sasa ni kama mchezo wa Chess...all are well calculated players aliowaleta so far...imagine Keita akiwa mzima in full throttle weka hapo na Grujic...yupo na ndogo mmoja Allan mbrazil sijui alishauzwo....

Klopp huangalia mahitaji ya leona yajayo na yajayo ni balaa mno.bei za wachezaji hazieleweki kabisaaaa...

kua na kikosi ambapo Rhian, Origi, Keita hawapo kwa sasa na tupo kamili ni ishara we are heading somewhere nice, zamani hatukua na hio bahati ya kikosi kidogo lakini cha kazi kazi...ni ngumu kushindana mokombe yote lakini upo uwezekano kupata angalau mawili kati ya hayo matano msimu huu palipobaki...

kila mchezaji ana bei na endapo msimu huu tutapata EPLbasi wengi wao watahitaji new challenges hilo halizuiliki...lakini pia ni muhimu kua na wachezaji wenye kutaka kuwepo kikosini Anfield hapo tutafika mbali...akitokea yeyote ajifanye yeye ni zaidi ya timu basi ataodoka kama wengine na tutaedeleza mapambano....

Gini bana ni unsung hero wa Klopp..when he is song he is unstoppable...vs Ganaz, Vs Burnley ameonyesha some flashes za yule Gini tunaemjua...
Yan muogope sana mtu mwenye uwezo binafsi-kipaji alafu anatumia miguu yote miwili...japo ni kiungo lakini anauwezo wa kufunga Sana siku izi gari limewaka...nasubiri siku akipigwa 9 ya uongo kama boby...
Lallana hawezi kuingia kwa mfumo sahivi ...Hendo ana umuhimu wake yule ni wa kufuata maelekezo uzuri yuko sharp na pasi za movement pale kati hana mambo mengi ..ana back up nzuri..fabinho/keita/gini/chambo acha zali liendelee kumtembelea ...maana bila kupambana zaidi asingeweza pata zali leo..
always.lfc_-20190910-0001.jpeg
 
Baada ya kutembelea Nyuzi tofauti za Soccer hapa JF siku hizi kuna Washabiki wa aina Mbili:

1) Wale wanaomani uwezo wa Mchezaji anapokuwa na Mpira Mguuni na kuweza Ku-offer kinachopelekea positive results. (Mimi ni mmoja wapo)

2) Wale wanaoamini ubora wa Mchezaji asipokuwa na Mpira uwanjani ni muhimu zaidi akiwa anazurura huku na kule bila ya Mpira kwa reason ya kuwa anacover empty places.
 
Baada ya kutembelea Nyuzi tofauti za Soccer hapa JF siku hizi kuna Washabiki wa aina Mbili:

1) Wale wanaomani uwezo wa Mchezaji anapokuwa na Mpira Mguuni na kuweza Ku-offer kinachopelekea positive results. (Mimi ni mmoja wapo)

2) Wale wanaoamini ubora wa Mchezaji asipokuwa na Mpira uwanjani ni muhimu zaidi akiwa anazurura huku na kule bila ya Mpira kwa reason ya kuwa anacover empty places.
teh teh
jesse lingard anawekwa kundi la pili na fans wa man utd.
 
Mkuu kumbe unatembelea 90min.com ?

Yani hako kakijiwe kinapost Pumba tupu ili kuvutia Viewers wengi

Na kibaya zaidi wanaweka bonge la Headline lakini ukifungua ndaniyake kilichomo ndani ni tofauti na Headline.
Nilipitia juu kwa juu tu Mkuu..
 
teh teh
jesse lingard anawekwa kundi la pili na fans wa man utd.

Na Huku Nyumbani kwenye huu uzi kuna baadhi ya Mashabiki wenzetu wanatuambia Henderson ni bonge la Mchezaji akiwa hana Mpira!

Nadhani kuna umuhimu wa Timu zetu kuajiri Makocha ambao watakuwa ni Specialist off Ball Coach ili kuscout na kusajili Wazururaji tu ambao watawatrain kutokugusa Mpira kwa dakika zote 90 ili wawe wanazurura tu.
 
Waliishia wapi msimu uliopita? Maana mlisema hayo hayo mnayosema sasa hivi,maneno yenu tunayakumbuka.
Mimi ni mwana Liverpool kama wewe. Naples wako vizuri sana. Msimu uliopota kundi letu lilikua gumu. Kama utakumbuka Naples walitusumbua sana.
 
Klopp on Alisson and Keita:

On Alisson: "Ali looks good & is improving, but we can't put pressure on him. The target was after the next international break, but we don't know.”

On Keita: “Naby is close. I think he could be in training when we come back from Napoli."
IMG_20190913_170303.jpeg
 
Klopp on Alisson and Keita:

On Alisson: "Ali looks good & is improving, but we can't put pressure on him. The target was after the next international break, but we don't know.”

On Keita: “Naby is close. I think he could be in training when we come back from Napoli."View attachment 1206470

Kwa injuries hizi za kila siku! Karibu nita declare kuwa kwa Keita tumepigwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom