Klopp Press Conference
(Key Points)​

  • Alisson expected to return after October international break​
  • Keita could be back in training next week​
  • Pleased Mane and Salah were spared international duty​
  • Mane happiness and squad morale​
  • Talks extending the Anfield unbeaten run​
  • And your standard wary of Newcastle soundbite​
 
Yan muogope sana mtu mwenye uwezo binafsi-kipaji alafu anatumia miguu yote miwili...japo ni kiungo lakini anauwezo wa kufunga Sana siku izi gari limewaka...nasubiri siku akipigwa 9 ya uongo kama boby...
Lallana hawezi kuingia kwa mfumo sahivi ...Hendo ana umuhimu wake yule ni wa kufuata maelekezo uzuri yuko sharp na pasi za movement pale kati hana mambo mengi ..ana back up nzuri..fabinho/keita/gini/chambo acha zali liendelee kumtembelea ...maana bila kupambana zaidi asingeweza pata zali leo..View attachment 1206073
haha Hardest job inamfaa sana VVD he just make everything look very easy.....

Mkuu kuhusu hili la Hendo sidhani kama atakuja kubadilika mi hua namuona ni mwenye bahati zaidi ya wote pale klabuni....

nabaki kusema ni Klopp tu mwenye jibu sahihi inakua aje huyu Hendo awe juu ya Gini, Faby, Ox, Keita, Millie,Shaqir hua sielewi kabisaa ni lipi alionalo Klopp na sisi wengine hatuoni...
 
Na Huku Nyumbani kwenye huu uzi kuna baadhi ya Mashabiki wenzetu wanatuambia Henderson ni bonge la Mchezaji akiwa hana Mpira!

Nadhani kuna umuhimu wa Timu zetu kuajiri Makocha ambao watakuwa ni Specialist off Ball Coach ili kuscout na kusajili Wazururaji tu ambao watawatrain kutokugusa Mpira kwa dakika zote 90 ili wawe wanazurura tu.
Hahahhahaaaaaaaaaaa
 
Newcastle - W
Napoli - D
Chelsea - D
MK Dons - W
Sheffield - W

• 7 points EPL
• 4 points UCL

Only my view
hata Chelsea ni win hopefuly hatutapata shinda na hii break iliyotokea maana kuna wakati hua inazingua....

Naples hii will go any way wale jamaa wali match whatever we threw last season sasa msimu huu bado makini sanaa...

Mk wapewe akina Kijana, Lallana, Shaqir, Lovren nk wapambane nao...

The Blades tempo itakua imerejea hivyo tutakwenda sawa na hapo ushindi upo....
 
Klopp on Alisson and Keita:

On Alisson: "Ali looks good & is improving, but we can't put pressure on him. The target was after the next international break, but we don't know.”

On Keita: “Naby is close. I think he could be in training when we come back from Napoli."View attachment 1206470
Keita abakie kwenye rehab hatuna haraka ya kumuona aafu ghafla mechi mbili aumie tena...

ni bora watulie nae mpaka awe fit kuliko hii cure and rush haimbariki kamwe...
 
IMG_6259.JPG
 
haha Hardest job inamfaa sana VVD he just make everything look very easy.....

Mkuu kuhusu hili la Hendo sidhani kama atakuja kubadilika mi hua namuona ni mwenye bahati zaidi ya wote pale klabuni....

nabaki kusema ni Klopp tu mwenye jibu sahihi inakua aje huyu Hendo awe juu ya Gini, Faby, Ox, Keita, Millie,Shaqir hua sielewi kabisaa ni lipi alionalo Klopp na sisi wengine hatuoni...
Kweli mi naona VVD kawabadilisha backline yote ya liver sahiv hawana papara kukaba /kumkumba striker akiwa na mpira (utasema anawapa uhuru vile kumbe la)...wanasemaga Kuna wachezaji wakiwa na mpira unauona ni mchezo rahisi...Sasa VVD akikaba na kuzuia utasema kirahisi vile Kama 'kifaza' flan...sikushangaa Kampany kumkubali zaidi ya wote waliokipiga EPL maana wengine nirafu tu hawakuwa smart ...kweli ila skipper Hendo yupo na watu Bora sasa ana bidii muache ale maisha..English player.
 
ni sahihi Hendo ni typical English player ale tu maisha kwa kweli...he is our Captain hatuna namna tutake tusitake the gaffer always stand by him hata akiboronga yumo tu...

VVD anaelekea kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia, anafahamu hard work pays hivyo atazidi kujituma zaidi awapo uwanjani na kwa vile Ramos anaelekea ukingoni naona Madrid wakija mazima...

VVD has made our backline so solid that super flop to be Matip sasa amekua ngangari mno na wengine wameongeza kazi kazi....

Sky is the limit for the boys
 
Back
Top Bottom