Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hii VAR tuliyoambiwa imeekwa EPL sijui inasaidia nini!
Tusipochomoa hili goli kabla ya Half time tumeumiaMpaka sasa ni dk ya 21 hatujapiga hata shoot 1. Hatujacreat nafasi hata 1. Nachokiona hapa ni kile kilichowapata spurs. Jamaa wanadefend kwa nidhamu ya hali ya juu.