Jamaa alisha komplain kua hana mahusiano mazuri na baadhi ya ndugu zake huku afrika na wanamroga, i dont want make you to believe it or not lakini alishasema kua anarogwa na na baadhi ya ndugu zake baada ya kusajiliwa liverpool
jamani jamani kumbe ilikua 'kweli' baadhi ya mashabiki wa Nando kusema Drogba alikua anamroga pale Chelsea....

kweli Afrika hakuna matata...
 
Jamaa alisha komplain kua hana mahusiano mazuri na baadhi ya ndugu zake huku afrika na wanamroga, i dont want make you to believe it or not lakini alishasema kua anarogwa na na baadhi ya ndugu zake baada ya kusajiliwa liverpool

Dah!
 
Newcastle today will be full cracker, niliangalia gemu yao vs Spurs na walikua wavumilivu mno hawakua na papara...

vizuri tupo nyumbani so the Anfield effect will make them shiver a bit..
 
Madogo sometime wanakuwa na Tamaa na Kikosha ushauri Mzuri unaochangiwa na Mawakala wao wanaposikia Majina Makubwa kama Barcelona, PSG na Juventus.

Hivi munawakumbuka hawa Madogo walivyokuwa na Bright Future za kuja kuwa World Class na Most talented Young boys kwenye hii Syari?

1) Draxler (move to PSG)
2) Malcolm (move to Barca)
3) De Jong (move to Barca)
4) De Ligt (move to Juventus)

Sasahivi wameshasahaulika kama Wanaexist katika hii sayari na ulimwengu wa Football.

Vijana hawa Walitakiwa na Timu mbalambali Kubwa za Ulaya ambazo wangeliweza kuingia moja kwa moja kwenye kwenye kikosi cha kwanza lakini wakajiona wakienda kwenye Timu walizozichagua watapata hela nyingi zaidi (Crazy Salaries) na watakuwa na Majina makubwa zaidi ya Waliyonayo.

Liverpool tulimtaka Draxler akaona bora aende PSG! Sasahivi hajuilikani tena wakati angelikuja Liverpool sasahivi angelikuwa ni New Coutinho na Engine kwenye Midfield.
 
Watu kama hao wakiamua kuja wanajikuta wanasugua benchi kama shakiri ..sijui ilikuaje akaichegua stoke Kipindi kile..
 
123 Reactions
Reply
Back
Top Bottom