ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
#King. Football is a game of team work. Mfano:Juu ya kuwa Salah kaonesha ubinafsi!! Lakini kwa Mantiki hiyo hata VVD akipata mbadala (Aliyemzidi) anaweza kuekwa benchi.
The same kwa Messi, Ronaldo na Neymar wakipatikana Wabadala wanaowazidi watawaweka benchi.
Tuache chuki za kiajabuajabu hakuna Kocha anayeweza kumueka benchi Salah kwa timu yoyote ile duniani kwa sasa.
Hata Salah afanye ubinafsi lakini anayoyafanya uwanjani ni makubwa kuliko hayo unayoyaona ni Makosa.
Kama Salah si mchezaji bora kwa sasa ndani ya Liverpool hebu hao Liverpool wamueke Sokoni kwa £ hata 120m uone kama yatapita Massa 24 hajachukuliwa.
Salah hata akienda Mans City kwa Guardiola atacheza kila mechi labda aumie au aumwe
Mechi ya Arsenal last week @Salah,asingepewa zile through pass hata ile penati asingepata.
Wenzake wanampa clear passes za kufunga. Huwa hawaangalii Nani atafunga.
What if akina Bobby Manne,Original,Fabinho wakimchunia kumpa pass?