Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ulaya kwa Wazungu Hakuna Kitu Kinachoitwa Bifu la Salah na Mane! Lakini Huku Mkuranga Kuna Washabiki wa JF wanatengeneza inexistence Bifu utadhani wanalala Chumba kimoja na Mane.

Mohamed Salah isn’t worried about what happened yesterday.

Salah seemed to get it in the neck from Sadio Mane for not passing to him during Liverpool’s 3-0 win at Burnley, but all was well afterwards and the Egyptian even made light of the incident by posting that Roberto Firmino vid on his Instagram.

Firmino was withdrawn alongside Mane and was seen trying to calm him down on the sidelines during the remainder of the game.

And he was caught on camera, very much seeing the funny side when standing between Mane and Salah as they returned to the the dressing room after the final whistle.
 
Nadhani iko Siku watu watakuja Kuijua Tafsiri Sahihi ya "Kujifanya Mkubwa Kuliko Timu".

Katika Kumbukumbu zangu sijawahi Kumuona au Kusikia hata Siku moja Salah aki-misbehave kwa Benchi la Ufundi la Liverpool.

Lakini Mane tumeshashuhudia zaidi ya mara moja anavyomisbehave kwa bench la Ufundi kufoka pale anapofanyiwa Sub.

Hata kusaini Mkataba Mpya ilikuwa ni kubembelezwa tu mwanzo mwisho tofauti na Salah.

Kitendo cha Jana kufoka mbele ya Kocha na Wasaidizi wake ni utovu wa Nidhamu na kujiona yeye ni Mkubwa kuliko Timu. Hata watu walete excuse kiasi gani kuwa hakupewa pasi na Salah, hilo haliondoshi uovu aliofanya.

Kwahiyo Hapo ndiyo tunaona Nani Anajifanya ni Mkubwa kuliko Timu.

Kuto kutoa pasi sio tafsiri ya Kujifanya Mkubwa kuliko Timu kama watu wanavyoclaim! Hiyo ni tabia tu ya mchezaji husika lakini si kuwa ni kujiona Mkubwa.

Anayejiona Mkubwa ni yule anayesema chochote mbele ya Viongozi wake kwa kisingizio cha yaliotokea uwanjani wakati ukweli halisi kanuna kwasababu ya kufanyiwa Sub.

Simchukii Mane ila naongelea hali halisi inayoendelea.
 
kaka

ukipata nafasi uwe una peruzi na forum za team zingine mara moja ili uweze kufahamu maoni zaid kuhusu wachezaji wako nje ya mapenzi binafsi yq liverpool..mfano chini
spurs(thefightingcock.com)..wanamwogopa mane kuliko salah
mancity(bluemoon.com)...ikikaribia mechi na wao akili ipo kwa mane,wakiomba walker aamke vizuri kweli)
na pia vs barcelona recently ni mane aliyetubeba single ended na kusababibisha origi awe free kuperform na hakujali kama alifunga yeye au la..wakati hapo salah angetaka kuwa kama messi
Hata fainal ni Mane pia
 
Salah anakiburi
Nadhani iko Siku watu watakuja Kuijua Tafsiri Sahihi ya "Kujifanya Mkubwa Kuliko Timu".

Katika Kumbukumbu zangu sijawahi Kumuona au Kusikia hata Siku moja Salah aki-misbehave kwa Benchi la Ufundi la Liverpool.

Lakini Mane tumeshashuhudia zaidi ya mara moja anavyomisbehave kwa bench la Ufundi kufoka pale anapofanyiwa Sub.

Hata kusaini Mkataba Mpya ilikuwa ni kubembelezwa tu mwanzo mwisho tofauti na Salah.

Kitendo cha Jana kufoka mbele ya Kocha na Wasaidizi wake ni utovu wa Nidhamu na kujiona yeye ni Mkubwa kuliko Timu. Hata watu walete excuse kiasi gani kuwa hakupewa pasi na Salah, hilo haliondoshi uovu aliofanya.

Kwahiyo Hapo ndiyo tunaona Nani Anajifanya ni Mkubwa kuliko Timu.

Kuto kutoa pasi sio tafsiri ya Kujifanya Mkubwa kuliko Timu kama watu wanavyoclaim! Hiyo ni tabia tu ya mchezaji husika lakini si kuwa ni kujiona Mkubwa.

Anayejiona Mkubwa ni yule anayesema chochote mbele ya Viongozi wake kwa kisingizio cha yaliotokea uwanjani wakati ukweli halisi kanuna kwasababu ya kufanyiwa Sub.

Simchukii Mane ila naongelea hali halisi inayoendelea.
 
Nadhani iko Siku watu watakuja Kuijua Tafsiri Sahihi ya "Kujifanya Mkubwa Kuliko Timu".

Katika Kumbukumbu zangu sijawahi Kumuona au Kusikia hata Siku moja Salah aki-misbehave kwa Benchi la Ufundi la Liverpool.

Lakini Mane tumeshashuhudia zaidi ya mara moja anavyomisbehave kwa bench la Ufundi kufoka pale anapofanyiwa Sub.

Hata kusaini Mkataba Mpya ilikuwa ni kubembelezwa tu mwanzo mwisho tofauti na Salah.

Kitendo cha Jana kufoka mbele ya Kocha na Wasaidizi wake ni utovu wa Nidhamu na kujiona yeye ni Mkubwa kuliko Timu. Hata watu walete excuse kiasi gani kuwa hakupewa pasi na Salah, hilo haliondoshi uovu aliofanya.

Kwahiyo Hapo ndiyo tunaona Nani Anajifanya ni Mkubwa kuliko Timu.

Kuto kutoa pasi sio tafsiri ya Kujifanya Mkubwa kuliko Timu kama watu wanavyoclaim! Hiyo ni tabia tu ya mchezaji husika lakini si kuwa ni kujiona Mkubwa.

Anayejiona Mkubwa ni yule anayesema chochote mbele ya Viongozi wake kwa kisingizio cha yaliotokea uwanjani wakati ukweli halisi kanuna kwasababu ya kufanyiwa Sub.

Simchukii Mane ila naongelea hali halisi inayoendelea.
Fact 💯💯
 
Duh mkuu mbona unaukuza mjadala wakati ushaisha? Mara wote ni muhimu, mara no salah no liverpool, mara mane anafoka so anajifanya mkubwa kuliko timu? Mara ngapi mane anakua na good game and still anatolewa?compare na mo salah hata akiwa hovyo ni mara chache hutolewa. Anyway wewe ukimponda captain sawa, ukimwombea akae nje maheruhi miezi sita sawa, ila watu wakiwa wakali kwenye uzembe wa magoli we unachukua upande na kuokoteza reference mbalimbali. Watu tunaona city anashinda 4-0, 5-0 sisi tunapata fursa tuongeze magoli tunapoteza kiboya boya why tusin'gake???
 
Bobby is the SYSTEM. Daily Anaweka timu mbele kuliko maslahi yake binafsi. Huwapa nafasi teammates kuliko yeye. Nakumbuka kuna match moja Mane alipiga chenga kisha akashoot ila mpira ukawa unaenda slow kiasi kwamba Bobby alikuwa na uwezo wa kumalizia ila badala yake akafanya kama kuulinda mpira ule pasipo kuugusa mpaka ukazama ndani. Goli likawa la Mane.

The least selfish player in the team.
 
Wewe humkubali Mane, na unampenda sana salah na haukatazwi! You can defend him at any cost! I can read you between the lines.
 
Hapa umeongea points

Hii Timu hatuwezi kuwa na Mane pekee wala Salah pekee! Tunawahitaji wote wawili.

Na tuliwahi kucheza Chandimu vijijini tunajuwa kuwa sometimes inatokea mpaka Teammates mukarushiana Ngumi uwanjani kwa kulaumiana uzembe lakini Siku ya pili kwenye Mazoezi Munakuwa kama Jana hakuna kilichotokea.

Na kwahili la Mane na Salah ni issue ya Kawaida kulaumiana! Kwa wale waliowahi kucheza Chandimu vijijini Magungumka Kama Mimi.

Lakini Hawa Washabiki wa Mitandaoni ndiyo shida kufanya jambo hili ni bonge la issue.

Nakumbuka kwenye game ya Everton Mane alipofanya bad decision (Sipendi kuita selfish/Uchoyo) basi Mashabiki wa Salah (Mostly ni Egyptians) walimshambulia Mane mpaka Akafuta Posts zake Twitter.

Na Leo Mashabiki wa Mane (Mostly ni Africans) wanamshambulia Salah kwa Kufanya Bad decisions (Sipendi Kuita selfish/Uchoyo) katika Mitandao.

Hii issue naamini imeshasolvika kwenye Timu, Bali Mitandaoni tu ndiyo Watabakia kupiga kelele zisizo na Maana.

Salah ni binaadamu tabadilika tu hilo naamini.

Salah and Mane are both profesionals and wapo chini ya one of the best gaffers around so hi ishu mpaka sasa ipo buried tangu jana...na Klopp alisema Mane is a sensitive guy hivyo anajua how to handle this guys...

Nakumbuka last season pale Traford vs Manu Hendo alitolewa na alimaidi fulani na hakuficha, wengine tulitegea Klopp angeng'aka na kuonyesha who is the boss na paparazi walikua standby kuikuza lile swala lakini Klopp alii handle very calmly maana its just one of those issues in football...badala ya Hendo kua sidelined Klopp aliedelea kumtumia na surely those who expected a hill out of a mole were disapointed kabisaaa...

Naamini na hii ya Mane is solved and forgoten...Klopp is that kind of guy he has been in this industry for long to know how to sort this type of scenarios....living for what ifs wont bring us glory..mistakes are made and rectified we proceed to the next chapter which is Newcastle at Home....
 
Liverpool sasahivi ipo vizuri muhimu tu tusipate injuries zile za muda mrefu
true kabisa jana hata the Alpine Messi kapata minutes...

the positives ni kwamba jana nimeona our back four operating as a unit, composure, no lose passes, mismarking, mishiting balls nk na pia Faby jana covered his ground very well...

when the system works efficiently kama jana we are unstoppable...

all th players are now raising thier game tofauti na mechi tatu za awali ilikua ngumu kujua tupo wapi kimaandalizi....

mpaka sasa sijajua why Klopp has choosen to go wt the high line defence that is my only concern for me..hopefuly th boys can master this new defence na pale kati pia waplay part yao vizuri...
 
Mzozo wa jana umenilazimu ningie google nione bonuses za goals and assists nimegundua goals zina bonus tamu maradufu ya assists ndio mana mana yanatokea haya
mkuu katazame bonous za wachezaji Manu ndio utachoka...nakumbuka kuna mechi Sanchez na Pogba walikua wanagombania penati...

ukisikia kile kipengele kwenye mktaba huitwa ADDS ON ndio kinabeba haya yote...
 
Wewe umeona vyema kuna mtu kamsifia Salah akizani katoa pasi kumbe Boby kavamaia tu.

Kuna vitu nilisha ona mechi iliopita ni wazi Salah alshatengwa na wenzie na Mane kumsifia Boby ile mechi ya Asenal ilikua ni ujumbe kwa Salah ajabu hajajimfunza ndo anazidisha.
hapa tunaomba Klopp asimame nafasi yake kama baba yao na kwa vile wanamsikiliza tunaamini huu upepo utapita...

kuna kipindi ilisadikika Torres pale Chelsea alikua ananyimwa pasi maksudi kabisa na wenzie...sasa nisingependa kipindi hiki tunaisaka EPL hayo yajitokeza kwemye timu yetu....

hawa mandogo tunawahitaji wote wakiwa na moyo ule ule wa team work na si vingine...

bila team work tunsingekosa EPL kwa pointi moja msimu uliopita na pia tusingechukua UCL ya 6...mafanikio yote hayo ni kwa vile vijana walijituma sana tu kuanzia kikosi cha kwanza mpaka benchi la sub na Klopp na jopo.lake bila kuwasahau mashibiki waliosimama na timu mwanzo mwisho....

DIVIDED WE WILL FALL TOGETHER WE SHALL WIN..
 
Bobby is the SYSTEM. Daily Anaweka timu mbele kuliko maslahi yake binafsi. Huwapa nafasi teammates kuliko yeye. Nakumbuka kuna match moja Mane alipiga chenga kisha akashoot ila mpira ukawa unaenda slow kiasi kwamba Bobby alikuwa na uwezo wa kumalizia ila badala yake akafanya kama kuulinda mpira ule pasipo kuugusa mpaka ukazama ndani. Goli likawa la Mane.

The least selfish player in the team.
he is the diamond...so rare to find..
 
Ukweli usiofichika MATIP ni most underrated player kwa Mashabiki wa Liverpool, Hawamzungumzii wala Kumpa sifa anayostahili.

Jamaa Kamfanya VVD awe huru muda wote uwanjani Kumonitor situation nzima ya Defence inaendaje.

Niliwahi kupingwa Siku niliposema kuwa Liverpool ndiyo yenye Defence bora kwa sasa Duniani coz watu bado Wanakariri kina Pique na Chiellini wakidhani bado wana uwezo uleule wa miaka ya 2010.

Narudia kusema tu Partnership ya VVD-MATIP kwasasa haina mpinzani.

Subiri arudi Alisson tuanze kuhesabu Clean sheet

View attachment 1194870
Nawakubali hawa watu

Ndugu , yaan matip namkubali sana
 
931d242f-5595-48e7-8977-4389c347fbea.jpg

Is not bad as tulivyo kuwa tunafikiri.
Klopp atarekebidha hii na umoja utakuwa imara zaidi.
 
Nadhani iko Siku watu watakuja Kuijua Tafsiri Sahihi ya "Kujifanya Mkubwa Kuliko Timu".

Katika Kumbukumbu zangu sijawahi Kumuona au Kusikia hata Siku moja Salah aki-misbehave kwa Benchi la Ufundi la Liverpool.

Lakini Mane tumeshashuhudia zaidi ya mara moja anavyomisbehave kwa bench la Ufundi kufoka pale anapofanyiwa Sub.

Hata kusaini Mkataba Mpya ilikuwa ni kubembelezwa tu mwanzo mwisho tofauti na Salah.

Kitendo cha Jana kufoka mbele ya Kocha na Wasaidizi wake ni utovu wa Nidhamu na kujiona yeye ni Mkubwa kuliko Timu. Hata watu walete excuse kiasi gani kuwa hakupewa pasi na Salah, hilo haliondoshi uovu aliofanya.

Kwahiyo Hapo ndiyo tunaona Nani Anajifanya ni Mkubwa kuliko Timu.

Kuto kutoa pasi sio tafsiri ya Kujifanya Mkubwa kuliko Timu kama watu wanavyoclaim! Hiyo ni tabia tu ya mchezaji husika lakini si kuwa ni kujiona Mkubwa.

Anayejiona Mkubwa ni yule anayesema chochote mbele ya Viongozi wake kwa kisingizio cha yaliotokea uwanjani wakati ukweli halisi kanuna kwasababu ya kufanyiwa Sub.

Simchukii Mane ila naongelea hali halisi inayoendelea.

Alicho kifanya MANE
4f37f098-af6e-466c-bd6b-50d9f026ab6a.jpg
ni sahihi kwa faida ya team,ile ilikuwa ni bao la wazi kamnyima mwenzake,asingefanya vile asinge jirekebisha na tuna furahi Mane kaleta issue mapema so Salah atajirekebisha.
 
Duh mkuu mbona unaukuza mjadala wakati ushaisha? Mara wote ni muhimu, mara no salah no liverpool, mara mane anafoka so anajifanya mkubwa kuliko timu? Mara ngapi mane anakua na good game and still anatolewa?compare na mo salah hata akiwa hovyo ni mara chache hutolewa. Anyway wewe ukimponda captain sawa, ukimwombea akae nje maheruhi miezi sita sawa, ila watu wakiwa wakali kwenye uzembe wa magoli we unachukua upande na kuokoteza reference mbalimbali. Watu tunaona city anashinda 4-0, 5-0 sisi tunapata fursa tuongeze magoli tunapoteza kiboya boya why tusin'gake???

Mimi Ninawatete wachezaji Wenye Mchango Kwenye Timu, Sitetei Magara yasiyo na Mchango wowote wa Maana kwenye Timu.

Na ndiyomana nilishawahi kuwatete:

1) TAA
2) MATIP
3) GINI
4) SALAH
Kwasababu ni wachezaji wenye Mchango wa Kimafanikio.

Lakini siwezi Kutetea Magarasa kama Lovren, Lallana na Huyo Captain wenu ambao msaada wao kwenye Timu ni Sifuri square.
 
Wewe humkubali Mane, na unampenda sana salah na haukatazwi! You can defend him at any cost! I can read you between the lines.

Mkuu hapo umeniquote vibaya! Hapana sehemu niliyoandika kuwa Simkubali Mane.
Nakataa tena hapana sehemu niliyosema simkubali Mane
Nazidi kukataa hapana sehemu niliyosema simkubali Mane.

Najua kama Watu watakuja kutumia Future reference kuwa nilikuwa simkubali Mane! Lakini Nakataa kuwa Nilisema Simkubali Mane.

Niliyowakuwa siwakubali kwenye kikosi cha Liverpool ni 3 tu ambao Siku zote nawasema.

1) HENDO
2) LOVREN
3) LALLANA

Sijawahi kumkataa Mane, tuweni Wakweli kwenye mijadala tunayojadiliana kwa kuyaquote Yale tunayoyaandika na wala tusisingiziane.

Mijadala yangu ya SALAH & MANE haina uhusiano wowote na Kumkataa Mane.

NARUDIA TENA SIJAWAHI KUSEMA SIMKUBALI MANE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom