Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Alicho kifanya MANE View attachment 1195433ni sahihi kwa faida ya team,ile ilikuwa ni bao la wazi kamnyima mwenzake,asingefanya vile asinge jirekebisha na tuna furahi Mane kaleta issue mapema so Salah atajirekebisha.

Hii Ndiyo Post Ya Kimpira! Sio Wale Wanaoropoka Salah auzwe, Aekwe Bench n.k.

💪 💪 💪 💪
 
Yani ueke Bench Salah kwasababu eti ni selfish umchezeshe Xhaqiri?????
Yani tunatafuta EPL halafu umueke benchi Salah??? Are you serious??
Haekwi Mtu benchi hapa!

Uchoyo wa Salah ni bora Mara ×100 kuliko uzima wa Xhaqiri na Origi.

Njoni museme tulimfunga Barcelona bila ya Salah! Lakini hilo haliondoshi ubora na umuhimu wa Salah
 
EPL bado ipo mikononi mwa Guardiola

Nyie subirini tu muone big match za Man Utd na Man City zitakavyopoka Ubingwa

Kikosi finyu sana pale Liverpool, huku Man City namba zote zina watu wakutosha benchi

Man City kama kawaida atanyuka timu zote hata iwe Manchester derby, Liverpool derby yake na Everton lazima adondoshe point
 
We ni timu gani hebu tuanzie hapo kwanza !
 
EPL bado ipo mikononi mwa Guardiola

Nyie subirini tu muone big match za Man Utd na Man City zitakavyopoka Ubingwa

Kikosi finyu sana pale Liverpool, huku Man City namba zote zina watu wakutosha benchi

Man City kama kawaida atanyuka timu zote hata iwe Manchester derby, Liverpool derby yake na Everton lazima adondoshe point
Kwann alidraw na tot...
Mpira hauko hvyo unavyosema,

Man city kwa liverpool anapata wakati mgumu sana kushinda kama unafatilia

Pia man united mtoe katika kumzuia liverpool,
 
Yani ueke Bench Salah kwasababu eti ni selfish umchezeshe Xhaqiri?????
Yani tunatafuta EPL halafu umueke benchi Salah??? Are you serious??
Haekwi Mtu benchi hapa!

Uchoyo wa Salah ni bora Mara ×100 kuliko uzima wa Xhaqiri na Origi.

Njoni museme tulimfunga Barcelona bila ya Salah! Lakini hilo haliondoshi ubora na umuhimu wa Salah
Ishu ya salah iwe closed bhasi

Dah

Haijaisha tu kwani ?
 
Bobby Duncun anaenda Fiorentina kwa £2m na clause ya kupata 20% kwa mauzo yoyote ya baadae.

Huyu dogo na wakala wake wameamua kukichafua...

Na upande wa Timu Klopp & Michael Edwards wanalaumiwa kwa Kumtreat vibaya huyu dogo ikiwemo kumzuia kwenda Fiorentina on Loan

Lakini Mimi nalaumu kwa Timu kushindwa kuihandle hii issue.

Huenda baade huyu dogo tukaja tukamjutia
 
Tunapoelekea tutakua kama chelsea, tunakua na vijana wenye vipaji ila nafasi hata ya benchi hakuna mwishowe wanaenda kwingine wanang'ara. Hii itatucost sana endapo majeruhi yatapita mbali na timu yetu.
 
Naona bado Klopp hana mpinzani UEFA, kwa kikosi alichonacho Mechi za hom and away bado atatisha..
Namtabiria kuchukua tena UEFA
 
kaka wak
Only Stats Ndiyo Zinazoongea hapa! The so called selfish anaongoza kwa mbali sana kuwaassists hao wasio selfish last season

See the difference

View attachment 1194861
kaka wakati mwingine stats hazikuelezi kila kitu uwanjani,na kuna tofauti kubwa sana kuangalia mpira kwenye TV ,na kuangalia live uwanjani...kwa sababu mfano wanachokifanya gini ,hendo na firmino OFF THE BALL,huwezini kuona kwenye stats sehemu yoyote ile mpaka uwe uwanjani...na hapa ni pale timu inapokuwa na mpira au wakati kudefendi...workrate...kwa bahati mbaya TV inaonyesha uelekeo wa mpira tu....ukiangalia trent anavyolindwa na akina hendo na gini akiwa kwenye zone ya adui huwezi kuona kwenye TV.Lakini cha watu watakwambia hendo anakimbia kimbia tu uwanjani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom