Labda sielewi maana ya finisher, Eriksen anakuwaje finisher mzuri hapo tot? Ungeniambia eriksen ni mpika mabao tot ningeelewa
The same kwa man city ,finisher pale ni rahim ,ambaye hana tofauti na salah kosa kosa zao, salah ninachokiona mm ,ana aina ya mpira ili umfaidi ,atanguliziwe awe free hatakuacha ,ila akiwa na watu anakuwa kama anataka kufanya vitu kama messi , pia hana first touch nzuri ,ila akiwa free au aletewe mipira free ambapo watu waliompatia sana niliowaona ni TAA, OX na hata COUTINHO alikuwa anajua amuwekee mipira kwa wakati gani, bas salah atakumaliza mapema.