Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mwisho wa game aliyeshinda ni Man city, wewe na ubora wako ulipigwa. Allison ni risk kwenye penalty, usiombe mufike hatua hiyo kwenye final yeyote mtakayocheza msimu huu.(bahati mbaya sana hakuna final mutaingia tena)
Ila chelsea itaingia? Miracles
 
Unaongea tu ili tuendelee kubishana...ligi ya epl miaka kumi nyuma unajua aina ya wachezaji waliokuwepo mpaka umuweke salah top 3!!?au ndio mahaba yamezid kwa salah.!!? An mind u nilimaanisha aguero na Harry wanauhakika wa magoli 20 na kuendelea kwa sababu alietoa hoja ya mwanzo alisema hawana uwezo Kama salah...
Soma vizuri ninachoandika ndugu yangu,kwanza hayo maneno ya kusema naongea tu ili ubishi uendelee yanatoka wapi kama unaona huwezi kubisha kwa fact unaacha haina ulazima wa kuniattack personal kua ‘mahaba yamezidi’

Nimesema hivi,kwa miaka kumi iliyopitwa kwa wachezaji wa LIVERPOOL salah anaingia top 3 ya attackers na haHAKUNA aliemzidi..una statistics weka hapa mimi nakuwekea zangu
Kwanza kawazidi Suarez na Torres scoring rate,
Pili kaweka record ya premier league goals
Tatu anaongoza kwa goal contribution kwa michezo aliyocheza hapo kuliko

Salah amefunga magoli 50 ya league kwenye mechi 65,hio ni record hakuna mchezaji wa liver tangu mwaka 94 amewahi kufanya hivo

Salah kafunga magoli 32 ya league..tangu premier league ianze kua na mechi 38 hakuna aliewahi kumfikia..wengine wooote kina Ronaldo na suarez wameishia 31

Ana goal contribution ya 100,nadhani rate yake inaongoza kwa mchezaji yyte wa liver au suarez anaweza kua anamzidi kidogo so akifunga 10goals na kuasist kidogo tu this season atamzidi

Tangu ajiunge liver hakuna aliemzidi kwa magoli,na hakuna mshambuliaji yyte wa liver aliemzidi kwa assist

Anaongoza kwa kucreate chances kuliko mchezaji yyte wa liver aliepo kwenye kikosi sasa hivi

Anaongoza kwa shots on goal kuliko yyte tangu ajiunge na liver,kamzidi mane na firmino

Anaongoza kwa dribbles completed kuliko mshambuliaji yyte wa piver active

Yeye ndio anakua marked kuliko mchezaji yyte wa liver kwenye mechi.

Anasababisha penalties kuliko mchezaji yyte wa liver,inaonesha kua mabeki wa timu pinzani ni aggresive kwake kuliko kwa yyte wa liver.

Mwaka huu akifunga goli chache sana sikumbuki ngapi ila ntakuletea badae (ambazo atafunga)atakua anaongoza kwa goal contribution rate kuliko mchezaji yyte wa liver tangu league iwe na games 38

NAOMBA UKIWA UNAJIBU UWE NA FACTS WATU WAONE SIO KUSEMA TU WENZAKO WANA MAHABA MARA UPOFU AS IF WEWE HUNA KWA HAO WACHEZAJI WENGI E LAKINI SIOBI HAJA YA KUTUMIA HIZO KAULI MIMI NAWEKA DATA TU MAANA ZINAJULIKANA...
 
Juzi city kacheza chini ya kiwango(kiwango cha kucheza na timu kna Arsenal iv au Man united) lakin mumeshindwa kabisa kumtoboa. Hope Klopp kajifunza, ila katika gem mbili zilizobakia dhid ya city tuna uhakika hamutabeba point hata moja..
Mkuu kwani na sisi ndio kiwango chetu? hapana wote tulikua tupo sawa upande wa ushindani, wao walinikimbiza kipindi cha kwanza na sisi cha pili tukawakimbiza hivyo mechi zijazo msimu huu tutakwenda sawa nao jino kwa jino....
 
Hendo atasugua sana bench

He's passed his prime and we have Naby, Gini, Ox, Faby doing better... the snake will come on loan as well, and that will put Hendo to bed

Timing
hio ndio wish yangu awe part time player na sio 1st 11 ya gaffer pale kati...

huyu Hendo sijui hua anajiamini Uingereza wake ama ni nini, mechi ya ugenini vs ManU last season alivyopata sub alimkolomea Klopp na ajabu mechi ya Jumapili wakati Klopp wanapashana na Pep huku gemu ikiedelea nilimuona akitoka benchi na kwenda kumrushia maneno Pep mpaka wasaidizi wa Klopp wakawa wanamwambia atulie....

yaani jamaaa anajipa kichwa ile mbay...

ingekua raha sana asugue benchi au awe anatokea benchi baada ya vijana kumaliza kazi...

nwei tutajua sooon
 
Ryan Kent could leave before the deadline but not available for loan. Liverpool want close to £10 ml for the winger.........................If suitable offer not tabled Reds inted to keep him for season ahead.
Wilson going, Kent going and still no incomings...ipo shinda maana wear n tear il catch wt this lads..EPL, Carabao, UCL, FA, Supercup, World Club jamani kwa wachezaji hawa hawa....

Mind you msimu ulipopita tulikosa ubingwa kwa kukosa depth ya like for like players...sasa na msimu huu tena lol motherluck be on our side atuepushie majeraha kwa kikosi chetu
 
Kikosi hichihichi tulichonacho ikiwa hatutapata injury kwa Front 3 yetu basi tuna asilimia 90 ya kubeba EPL iwapo Klopp katika kipindi cha Jan - Feb atakuwa na Management nzuri kwasababu Hichi ndiyo Kipindi tulichokosa ubingwa last season.
 
Kwahiyo Man City ni mbovu sio?
Sikusema Man City ni wabovu, nimejaribu kuihuisha fuse iliyokufa kwenu wana Yanhwa kwamba mkiizidi timu kama Man City always nyie ndio wazuri. Technically labda nyie mlicheza kawaida yenu ila Man City walikuwa chini ya kiwango that is what I wanted to show you guys
 
Pep mwaka huu possibly ataweka kipaumbele UCL kwa hiyo kazeni buti msiliache hili kombe la EPL mwaka huu, likiwatoka who knows, fursa inaweza kupotea mpaka miaka mingine 20 iajyo
 
Uliangalia mpira?
Sikusema Man City ni wabovu, nimejaribu kuihuisha fuse iliyokufa kwenu wana Yanhwa kwamba mkiizidi timu kama Man City always nyie ndio wazuri. Technically labda nyie mlicheza kawaida yenu ila Man City walikuwa chini ya kiwango that is what I wanted to show you guys
 
nimeona kwenye BBC Sport gossip column eti Manure watamsajili Eriksen.

nimepata khofu kidogo maana this guy will significantly transform that Manure static and slow midfield - not so good news to us oh!

Tutapata shida sana maana watakuwa wameng'amua improvement ya nguvu sana

Eriksen a top quality Attacking Midfielder
 
Soma vizuri ninachoandika ndugu yangu,kwanza hayo maneno ya kusema naongea tu ili ubishi uendelee yanatoka wapi kama unaona huwezi kubisha kwa fact unaacha haina ulazima wa kuniattack personal kua ‘mahaba yamezidi’

Nimesema hivi,kwa miaka kumi iliyopitwa kwa wachezaji wa LIVERPOOL salah anaingia top 3 ya attackers na haHAKUNA aliemzidi..una statistics weka hapa mimi nakuwekea zangu
Kwanza kawazidi Suarez na Torres scoring rate,
Pili kaweka record ya premier league goals
Tatu anaongoza kwa goal contribution kwa michezo aliyocheza hapo kuliko

Salah amefunga magoli 50 ya league kwenye mechi 65,hio ni record hakuna mchezaji wa liver tangu mwaka 94 amewahi kufanya hivo

Salah kafunga magoli 32 ya league..tangu premier league ianze kua na mechi 38 hakuna aliewahi kumfikia..wengine wooote kina Ronaldo na suarez wameishia 31

Ana goal contribution ya 100,nadhani rate yake inaongoza kwa mchezaji yyte wa liver au suarez anaweza kua anamzidi kidogo so akifunga 10goals na kuasist kidogo tu this season atamzidi

Tangu ajiunge liver hakuna aliemzidi kwa magoli,na hakuna mshambuliaji yyte wa liver aliemzidi kwa assist

Anaongoza kwa kucreate chances kuliko mchezaji yyte wa liver aliepo kwenye kikosi sasa hivi

Anaongoza kwa shots on goal kuliko yyte tangu ajiunge na liver,kamzidi mane na firmino

Anaongoza kwa dribbles completed kuliko mshambuliaji yyte wa piver active

Yeye ndio anakua marked kuliko mchezaji yyte wa liver kwenye mechi.

Anasababisha penalties kuliko mchezaji yyte wa liver,inaonesha kua mabeki wa timu pinzani ni aggresive kwake kuliko kwa yyte wa liver.

Mwaka huu akifunga goli chache sana sikumbuki ngapi ila ntakuletea badae (ambazo atafunga)atakua anaongoza kwa goal contribution rate kuliko mchezaji yyte wa liver tangu league iwe na games 38

NAOMBA UKIWA UNAJIBU UWE NA FACTS WATU WAONE SIO KUSEMA TU WENZAKO WANA MAHABA MARA UPOFU AS IF WEWE HUNA KWA HAO WACHEZAJI WENGI E LAKINI SIOBI HAJA YA KUTUMIA HIZO KAULI MIMI NAWEKA DATA TU MAANA ZINAJULIKANA...
Rudi ukaangalie ulichosema mwenyewe unamuongelea Suarez na Torres wakati umesema lfc na epl nzima miaka kumi nyuma.
Anyways huwa siwezi kuandika maelezo marefu.so ewew amini unachoamini niache na mm niamin yangu maana tutabadilishiana maneno Kila sehemu.
 
Mpira una statistics sio imani...

Nilisemabkwa wachezaji wa liverpool hakuna aliemzidi salah statistics kwa miaka kumi iliyopita atakua top 3
Nikasema kwa EPL yote ataingia top 10
Ni kwamba hukuona neno top 3 na top 10 au??
 
Hajawatoa ila amesema yeye anaona salah ndio bora hata wewe pia kuna unaeona ni bora lakini nimequestion kusema wawili tu ndio PEKEE wanakupa 20+ goals kwa season kwa UHAKIKA wakati Salah AMETHIBITISHA kua magoli kwake ni hatari ndio maana nikasema kwa kigezo gani ememtoa wakati yeye magoli ndio ubora wake mkuu.

Hata tukienda statistically hakuna mchezaji kwa miaka 10 iliyopita atakaekua amemzidi kwa wachezaji wa liverpool na wa EPL statistically atakua 3 bora.
Labda Mimi sijui kusoma hapo ni sehemu gani umeongelea top ten na top 3!!?
 
Labda Mimi sijui kusoma hapo ni sehemu gani umeongelea top ten na top 3!!?
Ok nilikosea sikutype nilichokua nawaza.Lakini hakuna mchezaji wa liverpool mwenye uwezo wa kufunga na kuassist kama Salah kwa sasa mlikua mnamshambulia jamaa wakati alisema kitu kilichowazi kabisa.
Na sehemu nyingine nilipokataa ni kusema Aguero na Kane PEKEE hapo ilibidi nikuweke sawa maana Salah ni proven attacker.
 
True

Labda na Keita
Mbona majuzi walivyo tolewa na hendo ndo team ikakaa sawa?

Hujo fabinho mkabaji tu hata ku tan na mpira hawezi wala msimzidishie sifa.

Mwchi na city kipindi cha pile Gini alirudishwa namba sita hali ikawa waalau kidogo akatolewa Fabi baadae Hendo ndo tea ikawa sawa kabsaa city wakawa wakabaji.
 
kabisa ndugu na hata alipo penetrate hakukua na wachezaji wa Liverpool wa kutosha ili apige hata klosi...

jana plan ya Pep ya kuwazuia our best attacking LB na RB alifanikiwa kabisa kuwazima kusaidia kupeleka mashambulizi mbele...matokeo yake ni yake yale ya siku zote hatuna creativity pale kati sio Hendo wala Gini aliesaidia kupeleka mashumbulizi kuwasaidia Origi, Bobby na Salah...

Salah jana baada ya kuona hivyo muda mwingi mpira aliufuata almost katikati ya uwanja na kukikmbia nao, ni dhahiri alijitahidi sana ila Bravo nae akawa yupo upto game jana...

Klopp na jopo lake la makocha lazima waje na Plan B endapo our LB n RB cant attact then abadili mfumo otherwise tofauti na hapo ni kuedelea kukaribisha mashambulizi kwetu kama jana...

all in all am positive vs Norwich we are good to go...
Watosheje na washambuliaji ni 3 tu. Salah kamnyima pasi ya goli Firminho na baadae kamnyima Chambalini wazi kabsaa.Origi ni chipukizi asifananishwe na Salah.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom