Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,897
- 11,292
Adrian ,former WHU keeper anakuja!Fabinho kumbe yupo njema kidogo kwenye ugolikipa pia?
Keheller yoso wetu anaanza mazoezi karibuni!
We will be fine
Adrian ,former WHU keeper anakuja!Fabinho kumbe yupo njema kidogo kwenye ugolikipa pia?
Uzuri ni mawazo yako binafsi,so acha tuache uendelee kuamini unachoamini..."yaani Liverpool yote hakuna anaefikia uwezo wa SALAH"!!!?kweli ukipenda hata chongo unasema ni kengeza.Yani nashangaa sana watu wanapomlaumu Salah kisa tu hakufunga! Kwa Jana kama sio Salah basi hata golini kwa Man City tusingefika kwani mashambulizi mengi tuliyofanya ni Juhudi za Salah.
Liverpool nzima hakuna mchezaji yeyote anayefikia hata Nusu ya uwezo wa Salah.
Ingawa Mabeki wa City walikuwa Makini sana na Salah lakini still alimanage Kupenetrate Backline yao na kuattack jambo ambalo kina Origi walishindwa kabisa ingawa hawakuwa Focused sana na Mabeki wa City.
Alisema kunaweza kua na Surprise this summer.Nahisi Klopp atasaini Kipa wa hakiba kabla ya dirisha kufungwa ili kuepuka msala.
hakika upo sahihi....tangu ahamie Manciti jana ametufunga kwa mara ya kwanza nadhani ile furaha ya goli la kwanza pia ilimvuruga..Kufunga ni ART waingereza wanataka kufundishwa kila kitu
TrueMido yetu ukitoa FABINHO simuoni mwengine wa maana.
kabisa ndugu na hata alipo penetrate hakukua na wachezaji wa Liverpool wa kutosha ili apige hata klosi...Yani nashangaa sana watu wanapomlaumu Salah kisa tu hakufunga! Kwa Jana kama sio Salah basi hata golini kwa Man City tusingefika kwani mashambulizi mengi tuliyofanya ni Juhudi za Salah.
Liverpool nzima hakuna mchezaji yeyote anayefikia hata Nusu ya uwezo wa Salah.
Ingawa Mabeki wa City walikuwa Makini sana na Salah lakini still alimanage Kupenetrate Backline yao na kuattack jambo ambalo kina Origi walishindwa kabisa ingawa hawakuwa Focused sana na Mabeki wa City.
Hakuna penalt ya kumlaumu.goalkeeper overwise uwe umevuta bangiAllison failed to save any penalty ..what a goalkeeper![]()
Kwa Clinical finish EPL nzima labda Pogba na Bernado Silva kidogo ndio wanaweza kumfikia Mo SalahUzuri ni mawazo yako binafsi,so acha tuache uendelee kuamini unachoamini..."yaani Liverpool yote hakuna anaefikia uwezo wa SALAH"!!!?kweli ukipenda hata chongo unasema ni kengeza.
EPL ndio murwa zaidi tukiipata ndugu yangu ila sasa namna ya kumzima huyu Manciti itabidi kujipanga zaidi...mkuu ninyi ci munataka EPL na UEFA tu.?
Yupo mwingneKuondoka kwa Mignolet means Liverpool haina Golikipa namba 2 kwa kipindi hichi, Akiumia Alisson leo hii Game yetu ya ufunguzi ya EPL kipa atakaa Fabinho.
Kwani Makipa wetu Wawili Madogo wa U23 Caiomhin Kelleher na Viteszlav Jaros wote ni injured.
duh aodoke tu n all the best...japo sielewi hi bei yake imeshuka mno sijui ni zile mistake zake preseason ama ni vipi...Yah, tumevuta £6.2
Mbinafsi mchoyo sana...Suarez angekuwepo angemng'ata.Klopp should talk to salah he's a bit selfish, there was a time he should have passed the ball instead of shooting
Keita sijui ile jezi namba 8 ni kama vile ni nzito kwake...True
Labda na Keita
Kaka ni kuvumilia tuUzuri ni mawazo yako binafsi,so acha tuache uendelee kuamini unachoamini..."yaani Liverpool yote hakuna anaefikia uwezo wa SALAH"!!!?kweli ukipenda hata chongo unasema ni kengeza.
Kama kumbukumbu zangu hazijakosea ADRIAN ni Free Agent kwa sasa.Adrian kipa wa zamani wa WHU anakuja kabla ya Ijumaa!
Napenda idea ya Klopp ya kuwapa nafasi hasa vijana!
Kipa huyu yoso Kelleher ni mzuri sana,akicheza FA na Carabao ataimarika zaidi
Upo sahihi mkuuKama kumbukumbu zangu hazijakosea ADRIAN ni Free Agent kwa sasa.
Keita sijui ile jezi namba 8 ni kama vile ni nzito kwake...
nwei endapo atakua bila haya majeruhi ya mara kwa mara na pia achezeshwe namba yake basi pengine tutamuona yule Keita wa Vs Westham last season pale ambapo aling'aa kisawasawa...