Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Naona analaumiwa Salah badala ya Sterling ambaye alipaswa kumaliza gemu mapema mno ,Salah alikuwa safi ila sterling kawakera hata Liverpool anakosaje nafasi za wazi vile
Sterling ile nafasii duh ni ngumu kujua kashindwa aje pale kumaliza gemu...
 
kabisa Salah was the best attacking player upande wetu, kagonga mwamba mara mbili...

Yani nashangaa sana watu wanapomlaumu Salah kisa tu hakufunga! Kwa Jana kama sio Salah basi hata golini kwa Man City tusingefika kwani mashambulizi mengi tuliyofanya ni Juhudi za Salah.

Liverpool nzima hakuna mchezaji yeyote anayefikia hata Nusu ya uwezo wa Salah.

Ingawa Mabeki wa City walikuwa Makini sana na Salah lakini still alimanage Kupenetrate Backline yao na kuattack jambo ambalo kina Origi walishindwa kabisa ingawa hawakuwa Focused sana na Mabeki wa City.
 
Kuondoka kwa Mignolet means Liverpool haina Golikipa namba 2 kwa kipindi hichi, Akiumia Alisson leo hii Game yetu ya ufunguzi ya EPL kipa atakaa Fabinho.

Kwani Makipa wetu Wawili Madogo wa U23 Caiomhin Kelleher na Viteszlav Jaros wote ni injured.
 
Fabinho kumbe yupo njema kidogo kwenye ugolikipa pia?
Kuondoka kwa Mignolet means Liverpool haina Golikipa namba 2 kwa kipindi hichi, Akiumia Alisson leo hii Game yetu ya ufunguzi ya EPL kipa atakaa Fabinho.

Kwani Makipa wetu Wawili Madogo wa U23 Caiomhin Kelleher na Viteszlav Jaros wote ni injured.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom