Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

EPL ndio murwa zaidi tukiipata ndugu yangu ila sasa namna ya kumzima huyu Manciti itabidi kujipanga zaidi...
Juzi city kacheza chini ya kiwango(kiwango cha kucheza na timu kna Arsenal iv au Man united) lakin mumeshindwa kabisa kumtoboa. Hope Klopp kajifunza, ila katika gem mbili zilizobakia dhid ya city tuna uhakika hamutabeba point hata moja..
 
Kucheza vibaya kwa Man City ni kutokana na Ubora wa Mpinzani wake Liverpool.

City huyuhuyu angelicheza na Chelsea basi musingelionekana uwanjani mukaishia kupigwa 6 kama kawaida yenu.
 
Ryan Kent could leave before the deadline but not available for loan. Liverpool want close to £10 ml for the winger.........................If suitable offer not tabled Reds inted to keep him for season ahead.
 
Kucheza vibaya kwa Man City ni kutokana na Ubora wa Mpinzani wake Liverpool.

City huyuhuyu angelicheza na Chelsea basi musingelionekana uwanjani mukaishia kupigwa 6 kama kawaida yenu.
Heheheh intensity ya Liverpoolfc sio ndogo pep hapo anajiuliza how comes they won possession??

mkumbushe game ya Barca. camp nou barca alipata tabu kutoa matokeo.

Tangu lini pep akachezesha chini ya kiwango??

Na mwisho mwambie mechi iliisha draw (1-1) ndio maana hata magoli ya matuta ya mtoano hayawekwi kwenye rekodi yoyote (kila atakayefunga aongezewe idadi ya magoli yake).
 
mkuu sioni Hendo akisugua benchi labda awe majeruhi otherwise mido ya Fabi-Gini-Keita ingetufaa sanaa ama Fabi-Ox-Keita na wakati mwingine Fabi-Naby-Milner...

Kuhusu beki wasiwasi wangu ni TAA akicheza upande mmoja na Hendo hapo naona majanga maana zile diagnol balls zitamsumbua tumeona juzi alipata shinda ya kutosha na pia vs Napoli, vs Sporting CP ilikua hivyo hivyo...he was caught offguard a few times na hilo linanipa wasiwasi cz oflate amekua so poor without the ball...

am positive by Furahaday vs Norwich the boys il be upto th task...

Come on Reds here we goooooo....💯💯💯😎😎😎
Hendo atasugua sana bench

He's passed his prime and we have Naby, Gini, Ox, Faby doing better... the snake will come on loan as well, and that will put Hendo to bed

Timing
 
Kucheza vibaya kwa Man City ni kutokana na Ubora wa Mpinzani wake Liverpool.

City huyuhuyu angelicheza na Chelsea basi musingelionekana uwanjani mukaishia kupigwa 6 kama kawaida yenu.
Mwambie pep hajawahi kua na masihara na mechi yoyote ile.

Mkumbushe lile soka lilipigwa camp nou pale barca ikaonekana Chelsea kuyatoa matokeo tu.

Mkumbushe City huyu huyu wa pepe kwenye kapigwa nje ndani UEFA.

Mwisho mwambie mechi iliisha sare ya 1-1,. Matuta ni kuamua mshindi wa nje ya dakika 90 au 120, ndio maana magoli yake hayahesabiwi kwa yeyote atakayefunga.
 
German journalist: History suggests whenever Liverpool finish second on the log, the next season they fail to make top four and struggle. Do you fear a repeat?

Jurgen Klopp: History is broad, it depends on which part you read it. There is also a history that whenever I lose 3 games of my opening 6 games, I win the trophy. At Dortmund I lost 3 games in opening 6 games, I won league for first time. In Champions league I lost 3 games of opening 6 games, I won it for first time. I have lost 3 games in opening 6 friendly games. That is a good sign eerh?

Klopp
 
Kucheza vibaya kwa Man City ni kutokana na Ubora wa Mpinzani wake Liverpool.

City huyuhuyu angelicheza na Chelsea basi musingelionekana uwanjani mukaishia kupigwa 6 kama kawaida yenu.
Not always true!!
Inawezekana pia kucheza vizuri kwa Liverpool ni kwa sababu ya ubovu wa Mancity - Yeyote inaweza kuwa sahihi
 
Heheheh intensity ya Liverpoolfc sio ndogo pep hapo anajiuliza how comes they won possession??

mkumbushe game ya Barca. camp nou barca alipata tabu kutoa matokeo.

Tangu lini pep akachezesha chini ya kiwango??

Na mwisho mwambie mechi iliisha draw (1-1) ndio maana hata magoli ya matuta ya mtoano hayawekwi kwenye rekodi yoyote (kila atakayefunga aongezewe idadi ya magoli yake).

Amesahau kuwa Pep hata kwenye Ndondo yeye anakamia game! Mfano mdogo kwenye Preseason alikuwa akikazia hata kama anacheza na timu iliyo na kiwango cha Mbagala United na akipiga mpaka goli 7.

Juzi alizidiwa tu ndiyomana akapoteana.

Na Msimu huu alipo tupo.
 
German journalist: History suggests whenever Liverpool finish second on the log, the next season they fail to make top four and struggle. Do you fear a repeat?

Jurgen Klopp: History is broad, it depends on which part you read it. There is also a history that whenever I lose 3 games of my opening 6 games, I win the trophy. At Dortmund I lost 3 games in opening 6 games, I won league for first time. In Champions league I lost 3 games of opening 6 games, I won it for first time. I have lost 3 games in opening 6 friendly games. That is a good sign eerh?

Klopp

Mkuu hii Interview haikutungwa na Wahuni wa Liverpool kweli? 😀😀😀
Manake imekalia Kiliverpooli-liveepooli 😀😀😀
 
Kucheza vibaya kwa Man City ni kutokana na Ubora wa Mpinzani wake Liverpool.

City huyuhuyu angelicheza na Chelsea basi musingelionekana uwanjani mukaishia kupigwa 6 kama kawaida yenu.
Kutokana na ubora wa Liverpool umeshindwa kumfunga city aliyecheza chini ya kiwango. Sasa ukikutana na timu zenye hasira kama man united au Chelsea hesabu maumivu.
 
Heheheh intensity ya Liverpoolfc sio ndogo pep hapo anajiuliza how comes they won possession??

mkumbushe game ya Barca. camp nou barca alipata tabu kutoa matokeo.

Tangu lini pep akachezesha chini ya kiwango??

Na mwisho mwambie mechi iliisha draw (1-1) ndio maana hata magoli ya matuta ya mtoano hayawekwi kwenye rekodi yoyote (kila atakayefunga aongezewe idadi ya magoli yake).
Mwisho wa game aliyeshinda ni Man city, wewe na ubora wako ulipigwa. Allison ni risk kwenye penalty, usiombe mufike hatua hiyo kwenye final yeyote mtakayocheza msimu huu.(bahati mbaya sana hakuna final mutaingia tena)
 
Hata Messi huwa anakosakosa ila quality ya umaliziaji yake ndio tunasema ni deadly finisher, kwamba anapokukosa ni basi tu bahati ya aliekoswa

Eriksen ni top finisher chance zinapomkuta kumkosa mtu ni aghalabu different from Harry Kane ambae timing&accuracy sio mzuri same to Son Hyeung-min

Wacheki Spurs msimu huu hata kama huwashabikii uone jamaa(Eriksen) chances zikija alivyo mzuri/sharp kuzitumia ipasavyo
nimeona kwenye BBC Sport gossip column eti Manure watamsajili Eriksen.

nimepata khofu kidogo maana this guy will significantly transform that Manure static and slow midfield - not so good news to us oh!
 
nimepata khofu kidogo maana this guy will significantly transform that Manure static and slow midfield!
Inawezekana mkuu kwa sababu tetesi zinazotrend zinasema Bruno Fernandes ameshamalizana na Spurs kwahiyo Eriksen anaweza kwenda united.
 
nimeona kwenye BBC Sport gossip column eti Manure watamsajili Eriksen.

nimepata khofu kidogo maana this guy will significantly transform that Manure static and slow midfield - not so good news to us oh!

Kwa kujifariji mpo vizur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom